Ally Kheir Daxx: Nyota ya Kitanzania inayong’ara Afrika
DAXX: “Nilifika pale kwa ajili ya kumpa sapoti rafiki yangu, Mtanzania mwenzangu, mbunifu mahiri Shera Ngowi, aliyekuwa akishiriki katika onyesho hilo.” Safari ya staa huyo kama ilivyo wanamitindo wengine nchini ilianzia kwenye maonyesho ya Swahili Fashion Week. Yalipofanyika kwa mara ya kwanza nchini, yeye na wenzake walikuwa vinara waliofanya vizuri kwenye ndani ya ukumbi wa Diamond Jubelee jijini.
KWENYE orodha ya wanamitindo wanaofanya vizuri kwa sasa barani Afrika huwezi kulikosa jina la...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi03 Jan
ALLY HASSAN : Daxx mwandishi wa habari aliyejikita kwenye mitindo
9 years ago
MichuziKITABU KILICHOTUNGWA NA MTOTO WA KITANZANIA CHANG"ARA KIMATAIFA
MTOTO wa Kitanzania mwenye miaka 14 ametunga kitabu ambacho kimetambulika kimataifa. Kitabu hicho ni cha hadithi kinachoitwa ''LUCIANA AND THE SEVEN MAGICAL RINGS'' ambacho kimepigwa chapa na kampuni ya Kimarekani inayoitwa KIDPUB PRESS ya mjini Boston. Kinasambazwa pia na kampuni za Marekani za Amazon na Bookstore.
Mtunzi wa kitabu hiki ni Redempta Rugeiyamu ambaye kwa sasa anaishi nchini Afrika Kusini ambaye alizaliwa nchini Botswana walikokuwa wakiishi wazazi wake akiwa na ugonjwa unaoitwa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-he7EgjSaAeM/UvT5kNtVyWI/AAAAAAAFLnM/NJ-dgpDgaHs/s72-c/k1.png)
KIJANA WA KITANZANIA ANG’ARA PANDE ZA KOREA KUSINI
10 years ago
Mwananchi15 Dec
Nyota waliong'ara sana bila kutwaa Ballon d’Or
10 years ago
Mwananchi09 Feb
Vipaji Siri ya nyota Amerika Kusini kung’ara England, Ulaya
10 years ago
VijimamboNYOTA YA LOWASSA YAZIDI KUNG'ARA AWAPIKU WENZAKE KWA ASILIMIA 20 NI KATIKA KUWANIA URAIS WA TANZANIA
10 years ago
GPLNYOTA YA LOWASSA YAZIDI KUNG'ARA AWAPIKU WENZAKE KWA ASILIMIA 20 NI KATIKA KUWANIA URAIS WA TANZANIA
10 years ago
Dewji Blog24 Sep
IPTL yang’ara Afrika Mashariki
-Sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya
-Kafulila aumbuka
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya kufua umeme ya Pan African Power Solution inayoimiliki kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imezidi kung’aa katika nchi za jumuia ya Afrika Mashariki katika kusambaza nishati ya umeme.
Hatua hiyo inasababishwa na serikali ya Kenya kuipatia barua kampuni hiyo ya kufanya nao kazi ya usambazaji umeme katika mradi unaohusisha nchi mbili za jumuia hiyo, ambazo ni Tanzania na Kenya.
Barua ya Kenya...
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Uhuru Kenyatta ang’ara Afrika
![Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Uhuru-Kenyatta.jpg)
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta
WASHINGTON, Marekani
RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amewapiku marais wenzake wa Afrika Mashariki kwa kushika nafasi ya kwanza kwa ufanisi wa kazi, kwa mujibu wa utafiti wa Shirika la Gallup la nchini Marekani.
Utafiti huo ulitolewa jana ambapo licha ya Rais Kenyatta kuwa madarakani kwa kipindi cha mwaka mmoja ameweza kuwapiku wenzake waliodumu madarakani kwa muda mrefu.
Pamoja na Rais Jakaya Kikwete, kuingoza nchi kwa mwaka wa tisa sasa utafiti huo umeshindwa...