Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALLY HASSAN : Daxx mwandishi wa habari aliyejikita kwenye mitindo

Uanamitindo ni kazi ambayo watu wengi wamekuwa wakiizungumzia tofauti tofauti. Wengi huichukulia kama kazi ya kike isiyokuwa na faida.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

ZARA BEDEL : Muhudumu wa ndege aliyejikita kwenye mitindo

 Ilinichukua muda kuamini kuwa ninayemuona mbele yangu ndiye aliyenihudumia wiki moja iliyopita, nikiwa ndani ya ndege kuelekea Unguja.

 

10 years ago

Vijimambo

Ally Kheir Daxx: Nyota ya Kitanzania inayong’ara Afrika

DAXX: “Nilifika pale kwa ajili ya kumpa sapoti rafiki yangu, Mtanzania mwenzangu, mbunifu mahiri Shera Ngowi, aliyekuwa akishiriki katika onyesho hilo.” Safari ya staa huyo kama ilivyo wanamitindo wengine nchini ilianzia kwenye maonyesho ya Swahili Fashion Week. Yalipofanyika kwa mara ya kwanza nchini, yeye na wenzake walikuwa vinara waliofanya vizuri kwenye ndani ya ukumbi wa Diamond Jubelee jijini.
KWENYE orodha ya wanamitindo wanaofanya vizuri kwa sasa barani Afrika huwezi kulikosa jina la...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WA ZANZIBAR WASHIRIKI MAZIKO YA MWANDISHI WA HABARI MUANDAMIZI WA TBC MARIN HASSAN MARIN



WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiwa katika Ibada ya kuusalia Mwili wa Marehemu Marin Hassan Marin, Mwandishi wa Habari Muandamiziu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) sala na dua hiyo imefanyika katiuka Msikiti wa KMKM Kibweni Wilaya ya Magharibi”A” Unguja leo 2/4./2020,saa nne na kuzikwa katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Jijini Zanzibar.

 

11 years ago

Mwananchi

Miss Tanga aliyejikita kwenye muziki

Zubeida Seif maarufu kwa jina la Zoo Montanah, huenda siyo jina geni miongoni mwa wadau wa urembo nchini kwani alijizolea umaarufu, baada ya kutwaa taji la urembo la Miss Chumbageni, Miss Tanga na kisha Miss Kanda ya Kaskazini

 

5 years ago

Michuzi

Mwandishi wa habari ahukumiwa jela mwaka mmoja au faini ya shilingi milioni tano kwa kosa la kutoa maudhui kwenye mtandao wa youtube bila leseni




Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe imemtia hatiani na kumhukumu kulipa faini ya Shilingi Milioni 5 au kifungo Cha Mwaka mmoja jela Mwandishi wa habari Prosper Mfugale baada ya mwandishi huyo kukiri kutoa maudhui Katika Mtandao wa YouTube bila ya kuwa na leseni kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA), hata hivyo Mfugale amelipa faini hiyo na kuachiwa huru.

Mfugale alikamatwa mnamo Februari 29 Mwaka huu na kushikiliwa kwa siku nne kituo cha polisi Njombe na tarehe 4 Machi alifunguliwa...

 

10 years ago

GPL

UWANJA WA ALLY HASSAN MWINYI TABORA, WAFANYIWA UKARABATI

Mafundi wakiendelea na ukarabati wa uwanja huo. Sehemu ya lango kuu la kuingilia. Muonekano wa uwanja huo.…

 

10 years ago

Michuzi

MAMIA WAMUAGA MWANDISHI WA HABARI WA NEW HABARI 2006 LTD, MAREHEMU INOCENT MUNYUKU

Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd marehemu Inocent Munyuku wakati wa kuaga mwili katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd marehemu Inocent Munyuku wakati wa kuaga mwili katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Matinyi akisoma...

 

10 years ago

Vijimambo

MWANDISHI WA VITABU YASIN KAPUYA AKUTANA NA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI WASHINGTON, DC

Mwandishi wa vitabu Yasin Kapuya akimwelezea Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi ya jinsi gani vitabu vyake vinavyoweza kumkwamua mwananchi wa hali ya chini na kumfikisha juu katika kumboreshea maisha mapya. Akijitolea mfano wake mwenyewe alipoanzia shimoni Kariakoo mpaka kufika nchni Marekani na sasa kualikwa katika mikutano mikubwa ya kutoa semina ya jinsi gani unavyoweza au kampuni inavyoweza kuwa namba moja katika sekta ya biashara.Mwandishi wa vitabu Yasin Kapuya akichangia jambo na Katibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani