WANANCHI WA ZANZIBAR WASHIRIKI MAZIKO YA MWANDISHI WA HABARI MUANDAMIZI WA TBC MARIN HASSAN MARIN

WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiwa katika Ibada ya kuusalia Mwili wa Marehemu Marin Hassan Marin, Mwandishi wa Habari Muandamiziu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) sala na dua hiyo imefanyika katiuka Msikiti wa KMKM Kibweni Wilaya ya Magharibi”A” Unguja leo 2/4./2020,saa nne na kuzikwa katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Jijini Zanzibar.
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
The Citizen Daily02 Apr
Messages flow freely as journalist Marin Hassan Marin is laid to rest in Zanzibar
5 years ago
CCM Blog
MARIN HASSAN MARIN

Mkurugenzi wa Shirika hilo la Utangazaji Tanzania (TBC), Dk. Ayub Rioba amesema kifo cha Marin Hassan Marin kicmetokea leo asubuhi katika Hospitali ya Jeshi Lugalo, jijini Dar es Salaam.
Amesema taarifa zaidi juu ya kifo cha Marin zitaendelea kutolewa na uongozi wa TBC.
10 years ago
Vijimambo
MAMIA YA WAOMBOLEZAJI WAJITOKEZA KATIKA MAZIKO YA MWANDISHI WA TBC SAMWELI CHAMULOMO



11 years ago
BBCSwahili09 Sep
Marin Cilic bingwa US Open
11 years ago
Vijimambo
MAZIKO YA MAREHEMU IDDI PANDU HASSAN MJINI ZANZIBAR LEO


9 years ago
Mwananchi03 Jan
ALLY HASSAN : Daxx mwandishi wa habari aliyejikita kwenye mitindo
10 years ago
Michuzi
MWANDISHI WA HABARI MWANDAMIZI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI NCHINI TBC FLORENCY DYAULI AMEFARIKI DUNIA LEO

FRORENCE DYAULI amefariki dunia majira ya saa kumi alfajiri akiwa amelazwa katika hospitali ya RABININSIA MEMORIAL jijini Dar es Salaam, ambako alikuwa akipata matibabu.
Dyauli alizaliwa tarehe 27 mwezi wa saba mwaka 1961 na amefariki dunia tarehe 18/06/2015.Marehemu DYAULI alisoma shule ya msingi CHANG’OMBE mwaka 1968 hadi...
5 years ago
Michuzi
RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA MAZIKO YA JAJI WA MAHKAMA KUU ZANZIBAR MKUSA SEPETU ALIYEZIKWA KIJIJI KWAO MBUZINI UNGUJA LEO.


10 years ago
Vijimambo
Mwandishi wa Habari Zanzibar, Ali Saleh Achukua Fomu leo kugombea Ubunge Mji Mkongwe Zanzibar



