KIJANA WA KITANZANIA ANG’ARA PANDE ZA KOREA KUSINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-he7EgjSaAeM/UvT5kNtVyWI/AAAAAAAFLnM/NJ-dgpDgaHs/s72-c/k1.png)
Kijana wa kitanzania asomae Korea Kusini Bw. Sunday Sokoni ameibuka kidedea kwa kushinda nafasi ya pili katika mashindano ya kukariri na kuongea mashairi ya kikorea kwa hisia. Shindano hilo liliwakutanisha washindani mia moja na therethini (130) wengi wao wakiwa ni Wakorea lakini Sunday Sokoni alifanikiwa kuwabwaga Wakorea hao na kuwa raia pekee wa kigeni aliyeingia kwenye Tatu bora. Ushindi wa Sunday ulikuwa gumzo jijini Seoul-Korea na kupelekea Television za Korea kufanya mahojiano na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili19 Jun
Korea Kaskazini: Je nini kilichosababisha kulipulia kwa afisi ya mawasiliano na Korea Kusini?
5 years ago
BBCSwahili03 May
Korea Kaskazini na Korea Kusini zafyatuliana risasi baada ya Kim Jong-un kuonekana hadharani
11 years ago
Mwananchi09 Mar
Nikijiangalia namwona kijana wa Kitanzania
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-q7bhrbjRMfU/VOyiYB2nqFI/AAAAAAAAqXo/Yt4C8JOtUHg/s72-c/unnamed..jpg)
KIJANA WA KITANZANIA AUNDA REDIO STESHENI
![](http://1.bp.blogspot.com/-q7bhrbjRMfU/VOyiYB2nqFI/AAAAAAAAqXo/Yt4C8JOtUHg/s640/unnamed..jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-JCDFCrSJDNw/VOymUsZqDII/AAAAAAAAqX8/_-pn-Rjm0BQ/s640/unnamed%2C.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-OSFS_e5ZmQ4/VOyWc3lazOI/AAAAAAAHFmc/geaUUPsSqmw/s72-c/unnamed%2B(4).jpg)
KIJANA WA KITANZANIA AUNDA REDIO STESHENI - SHUJAAZ!
![](http://1.bp.blogspot.com/-OSFS_e5ZmQ4/VOyWc3lazOI/AAAAAAAHFmc/geaUUPsSqmw/s1600/unnamed%2B(4).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-84-TZkMTloc/VOyWdjPRT5I/AAAAAAAHFmk/NAbX8hKCf-o/s1600/unnamed%2B(5).jpg)
10 years ago
Dewji Blog25 Feb
Kijana wa Kitanzania aunda Redio Stesheni — Shujaaz!
DJ Tee (19) ni kijana mwenye ndoto kubwa katika maisha yake. Baada ya kuona mahangaiko ya vijana kuelekea kwenye mafanikio, wengi wakiwa wamemaliza shule na vyuo bila kupata kazi, ameamua kuunda redio stesheni ghetoni kwake aliyoipa jina la Shujaaz, ili aweze kushea ideas na vijana wote nchini Tanzania kuhusu mbinu mbalimbali za kuingiza pesa, kuwapa stori za vijana wanaochakarika katika maisha yao pamoja na kuwaburudisha.
“Nimeamua kuiita Shujaaz kwa sababu, naamini kuwa kijana ambaye...
9 years ago
BBCSwahili22 Aug
Korea Kaskazini yaitishia Korea Kusini
9 years ago
MichuziKITABU KILICHOTUNGWA NA MTOTO WA KITANZANIA CHANG"ARA KIMATAIFA
MTOTO wa Kitanzania mwenye miaka 14 ametunga kitabu ambacho kimetambulika kimataifa. Kitabu hicho ni cha hadithi kinachoitwa ''LUCIANA AND THE SEVEN MAGICAL RINGS'' ambacho kimepigwa chapa na kampuni ya Kimarekani inayoitwa KIDPUB PRESS ya mjini Boston. Kinasambazwa pia na kampuni za Marekani za Amazon na Bookstore.
Mtunzi wa kitabu hiki ni Redempta Rugeiyamu ambaye kwa sasa anaishi nchini Afrika Kusini ambaye alizaliwa nchini Botswana walikokuwa wakiishi wazazi wake akiwa na ugonjwa unaoitwa...
11 years ago
Michuzi12 Jul