Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Korea Kaskazini yaitishia Korea Kusini

Korea kusini inasema kuwa korea kaskazini imepeleka silaha kwenda kwa mpaka baada ya kutoa vitisho vya kuishambulia

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini: Je nini kilichosababisha kulipulia kwa afisi ya mawasiliano na Korea Kusini?

Experts' views on why North Korea has chosen to provoke the South by destroying the liaison office.

 

5 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini na Korea Kusini zafyatuliana risasi baada ya Kim Jong-un kuonekana hadharani

Korea Kusini imesema risasi zimefyatuliwa kwenye mpaka wao, siku moja baada ya Kiongozi wa Korea Kaskazini kuoneakana hadharana.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wajumbe wa Korea Kusini na Kaskazini wakutana

Maafisa wa Korea Kaskazini na Kusini wamefanya mkutano wao wa kwanza katika kijiji kimoja mpakani mwa mataifa hayo mawili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanajeshi wa Korea Kaskazini atorokea Kusini

Mwanajeshi wa Korea Kaskazini ametorokea Korea Kusini akipitia mpaka wa mkoa wa Gangwo

 

5 years ago

BBCSwahili

Uhusiano kati ya Korea Kusini na Kaskazini: Nini chanzo cha Uhasama uliopo kati ya mataifa haya

Miezi ya hivi karibuni , kumekuwa na uvumi kuhusu hali ya uchumi na afya kutokana na virusi vya corona, licha ya kwamba Korea Kaskazini ilithibitisha kuwa hakuna maambukizi ya corona.

 

10 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yafyatua makombora

Korea kaskazini yafyatua makombora ya masafa mafupi kupinga mazoezi ya kijeshi katika peninsula ya Korea

 

9 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini na bomu la Hydrogen

Korea Kaskazini kufanya jaribio la bomu la nyuklia , Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekubaliana kuiwekea vikwazo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini kufikishwa ICC?

Baraza la umoja wa mataifa la haki za binadamu limesema Korea Kaskazini inastahili kufikishwa icc.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa UN kuzuru Korea Kaskazini

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon atazuru Korea Kaskazini wiki hii, kwa mujibu wa shirika la habari la Korea Kusini Yonhap.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani