‘Shoe Shine’ yang’ara kimataifa
SINEMA ya ‘Shoe Shine’ iliyofyatuliwa mwaka 2013 ikitengenezwa na kuongozwa na Amil Shivji, imeitangaza vema nchi katika tamasha la kimataifa la filamu (Festicab), ililofanyika Burundi kuanzia Juni 13-20. ‘Shoe Shine’...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania16 Feb
Wizara ya Nishati na Madini yang’ara kimataifa
Na Teresia Mhagama
WIZARA ya Nishati na Madini, imepata tuzo ya ki¬mataifa ya mwaka ya Maendeleo ya Udhibiti wa sekta ndogo ya mafuta na gesi.
Tuzo hiyo ya mwaka 2014 inayotolewa na Kampuni ya Kimataifa ya Wildcat International ya nchini Marekani kupitia machapisho yake maarufu duniani ya The Oil & Gas Year (TO&GY), imekabidhiwa rasmi mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam kwa Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene kwa niaba ya wizara hiyo.
Tuzo hiyo iliyotolewa na Mratibu wa...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tEJoC3S2nPw/U7J-D5-n5SI/AAAAAAABBgA/oanR2ayhuSQ/s72-c/1.jpg)
NSSF YANG’ARA KATIKA MAONESHO YA 38 YA KIMATAIFA YA BIASHARA ‘SABASABA
![](http://2.bp.blogspot.com/-tEJoC3S2nPw/U7J-D5-n5SI/AAAAAAABBgA/oanR2ayhuSQ/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-DO4OSSt4y7o/U7J-GZCVUbI/AAAAAAABBgo/Ylq5s7sJo20/s1600/2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-qqnIO6flexk/U7J-Gjl5SyI/AAAAAAABBgs/3abbaRnW458/s1600/3.jpg)
10 years ago
MichuziWIZARA YA NISHATI NA MADINI YANG’ARA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA
9 years ago
Dewji Blog22 Sep
Tanzania yang’ara Kimataifa,Asasi yake yatwaa tuzo ya Ikweta 2015 zinazotolewa na Umoja wa Mataifa-UN
Bi. Helen Clark, Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa ( UNDP) akiwatangaza washindi wa Tuzo ya Ikweta ambayo hutolewa na Umoja Mataifa kwa NGO ambazo zinajihusisha na utunzaji wa mazingira, ulinzi na uhifadhi wa misitu, matumizi bora na endelevu ya ardhi na mali asili na kupiga vita umaskini.Tuzo ya mwaka huu wa 2015 ambayo ni dola za kimarekani 10, 000 kwa kila mshindi inakwenda kwa NGO 21 ambapo NGO ya Tanzania ijulikanayo kama Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu...
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Tanzania yang’ara kuogelea
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
CCM yang’ara Chalinze
MGOMBEA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete, anaelekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa ubunge wa Chalinze, uliofanyika jana. Uchaguzi huo ulifanyika baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge wa...
11 years ago
Habarileo16 Jan
Tanzania yang’ara mpango wa UN
TANZANIA imetajwa kufanya vizuri zaidi kuliko nchi nane, zilizokuwa zikishiriki katika Mpango wa Majaribio wa Kuwezesha mfumo wa Umoja wa Mataifa(UN) kufanya kazi kwa pamoja. Mpango huo sasa umepanuliwa kushirikisha nchi nyingi zaidi baada ya kuonesha faida kubwa.
11 years ago
Habarileo03 Mar
Tanzania yang’ara mapinduzi ya kijani
TANZANIA imetajwa kuwa miongoni mwa nchi za Afrika, zinazosonga mbele vyema katika utekelezaji wa mapinduzi ya kijani kwa kuwezesha wananchi wake kuwa na chakula cha kutosha. Taasisi ya Mapinduzi ya Kijani barani Afrika (AGRA) imetoa maelezo hayo, wakati wataalamu wake walipokuwa na kikao cha mwaka mjini Unguja na kufafanua kuwa wameridhishwa na jinsi Tanzania inavyoendelea kukabiliana na tatizo la mbegu na uzalishaji wake.
10 years ago
Habarileo18 Aug
Dar yang’ara katika BRN
BAADA ya kuongoza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba mwaka jana, Mkoa wa Dar es Salaam umeendelea kufanya vizuri katika utekelezaji wa mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN), kwa shule zake kusimamia na kutoa mitihani ya utamilifu (mock) kwa manispaa zote tatu.