Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yang’ara Chalinze

MGOMBEA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete, anaelekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa ubunge wa Chalinze, uliofanyika jana. Uchaguzi huo ulifanyika baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

CCM yang’ara kila kona, Chadema yafuatia

Ushindi wa CCM.MATOKEO ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika kote nchini juzi, yameanza kutangazwa huku Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiongoza katika maeneo mengi na kufuatiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania yang’ara kuogelea

Muogeleaji  wa Tanzania, Ammaar Ghadiyali amefanikiwa kuingia hatua 16 bora ya  Michezo ya Jumuiya ya Madola baada ya kuongoza kwenye mbizi za mita 50 hapo jana.

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania yang’ara mpango wa UN

TANZANIA imetajwa kufanya vizuri zaidi kuliko nchi nane, zilizokuwa zikishiriki katika Mpango wa Majaribio wa Kuwezesha mfumo wa Umoja wa Mataifa(UN) kufanya kazi kwa pamoja. Mpango huo sasa umepanuliwa kushirikisha nchi nyingi zaidi baada ya kuonesha faida kubwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yang'ara Kombe la Mapinduzi

Timu ya Yanga ya Tanzania Bara imezidi kung'ara katika michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar

 

11 years ago

Dewji Blog

IPTL yang’ara Afrika Mashariki

iptl

-Sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

-Kafulila aumbuka

Na Mwandishi Wetu

KAMPUNI ya kufua umeme ya Pan African Power Solution inayoimiliki kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imezidi kung’aa katika nchi za jumuia ya Afrika Mashariki katika kusambaza nishati ya  umeme.

Hatua hiyo inasababishwa na serikali ya Kenya kuipatia barua kampuni hiyo ya kufanya nao kazi ya usambazaji umeme katika mradi unaohusisha nchi mbili za jumuia hiyo, ambazo ni  Tanzania na Kenya.

Barua ya Kenya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Shoe Shine’ yang’ara kimataifa

SINEMA ya ‘Shoe Shine’ iliyofyatuliwa mwaka 2013  ikitengenezwa na kuongozwa na Amil Shivji, imeitangaza vema nchi katika tamasha la kimataifa la filamu  (Festicab), ililofanyika Burundi kuanzia Juni 13-20. ‘Shoe Shine’...

 

10 years ago

Mwananchi

Kenya yang’ara , yaaibika China

Licha ya kuongoza kwenye idadi ya medali kwenye mashindano ya ubingwa wa  dunia wa riadha yanayoendelea China, Kenya imepata aibu nyingine baada ya wanariadha wake wawili kufungiwa kwa madai ya matumizi ya dawa za kuongeza nguvu ya misuli.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBL yang’ara tuzo za rais

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) imekuwa mshindi wa tuzo mbili za rais zilizoandaliwa na Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI). Hafla ya kukabidhi tuzo hizo ilifanyika Dar es Salaam mwishoni mwa...

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania yang’ara mapinduzi ya kijani

TANZANIA imetajwa kuwa miongoni mwa nchi za Afrika, zinazosonga mbele vyema katika utekelezaji wa mapinduzi ya kijani kwa kuwezesha wananchi wake kuwa na chakula cha kutosha. Taasisi ya Mapinduzi ya Kijani barani Afrika (AGRA) imetoa maelezo hayo, wakati wataalamu wake walipokuwa na kikao cha mwaka mjini Unguja na kufafanua kuwa wameridhishwa na jinsi Tanzania inavyoendelea kukabiliana na tatizo la mbegu na uzalishaji wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani