TBL yang’ara tuzo za rais
KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) imekuwa mshindi wa tuzo mbili za rais zilizoandaliwa na Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI). Hafla ya kukabidhi tuzo hizo ilifanyika Dar es Salaam mwishoni mwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima24 Nov
TBL yang’ara siku ya mlipa kodi
KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) imeendelea kuongoza katika uchangiaji wa pato la taifa kupitia ulipaji kodi ambapo mwaka huu imetangazwa kuwa miongoni mwa wachingiaji wakubwa wa kodi hapa nchini. Akizungumza...
11 years ago
Habarileo15 Dec
LAPF yang’ara mara ya 5 Tuzo za NBAA
MFUKO wa Pensheni wa LAPF kwa mara nyingine umeibuka Mfuko Kinara wa Tuzo za Bodi ya Uhasibu Nchini (NBAA) za Utunzaji Bora wa Mahesabu kuliko mifuko mingine ya pensheni nchini.
10 years ago
Mtanzania30 Apr
Clouds Media yang’ara tuzo za ubora
Na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
KAMPUNI ya Clouds Media Group imeendelea kung’ara katika tuzo za ubora na viwango vya bidhaa (superbrands) baada ya majumuisho na uchambuzi wa kina kufanyika.
Tuzo hiyo ya mwaka 2015-16 ilitolewa na Taasisi ya Uchambazi wa Viwango yenye makao makuu London Uingereza.
Utoaji wake kwa kampuni zinazohusikana kutoa huduma na kuzalisha bidhaa umeelezwa unazingatia ushauri wa wataalamu wa masoko na maoni ya watumiaji zaidi ya 600.
Akizungumza na waandishi wa habari...
9 years ago
Dewji Blog22 Sep
Tanzania yang’ara Kimataifa,Asasi yake yatwaa tuzo ya Ikweta 2015 zinazotolewa na Umoja wa Mataifa-UN
Bi. Helen Clark, Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa ( UNDP) akiwatangaza washindi wa Tuzo ya Ikweta ambayo hutolewa na Umoja Mataifa kwa NGO ambazo zinajihusisha na utunzaji wa mazingira, ulinzi na uhifadhi wa misitu, matumizi bora na endelevu ya ardhi na mali asili na kupiga vita umaskini.Tuzo ya mwaka huu wa 2015 ambayo ni dola za kimarekani 10, 000 kwa kila mshindi inakwenda kwa NGO 21 ambapo NGO ya Tanzania ijulikanayo kama Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu...
11 years ago
Habarileo16 Jan
Tanzania yang’ara mpango wa UN
TANZANIA imetajwa kufanya vizuri zaidi kuliko nchi nane, zilizokuwa zikishiriki katika Mpango wa Majaribio wa Kuwezesha mfumo wa Umoja wa Mataifa(UN) kufanya kazi kwa pamoja. Mpango huo sasa umepanuliwa kushirikisha nchi nyingi zaidi baada ya kuonesha faida kubwa.
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Tanzania yang’ara kuogelea
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
CCM yang’ara Chalinze
MGOMBEA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete, anaelekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa ubunge wa Chalinze, uliofanyika jana. Uchaguzi huo ulifanyika baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge wa...
10 years ago
Dewji Blog24 Sep
IPTL yang’ara Afrika Mashariki
-Sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya
-Kafulila aumbuka
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya kufua umeme ya Pan African Power Solution inayoimiliki kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imezidi kung’aa katika nchi za jumuia ya Afrika Mashariki katika kusambaza nishati ya umeme.
Hatua hiyo inasababishwa na serikali ya Kenya kuipatia barua kampuni hiyo ya kufanya nao kazi ya usambazaji umeme katika mradi unaohusisha nchi mbili za jumuia hiyo, ambazo ni Tanzania na Kenya.
Barua ya Kenya...
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Ubelgiji yang’ara, Brazil yashikwa