Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LAPF yang’ara mara ya 5 Tuzo za NBAA

MFUKO wa Pensheni wa LAPF kwa mara nyingine umeibuka Mfuko Kinara wa Tuzo za Bodi ya Uhasibu Nchini (NBAA) za Utunzaji Bora wa Mahesabu kuliko mifuko mingine ya pensheni nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TBL yang’ara tuzo za rais

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) imekuwa mshindi wa tuzo mbili za rais zilizoandaliwa na Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI). Hafla ya kukabidhi tuzo hizo ilifanyika Dar es Salaam mwishoni mwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Clouds Media yang’ara tuzo za ubora

rugeNa Adam Mkwepu, Dar es Salaam
KAMPUNI ya Clouds Media Group imeendelea kung’ara katika tuzo za ubora na viwango vya bidhaa (superbrands) baada ya majumuisho na uchambuzi wa kina kufanyika.
Tuzo hiyo ya mwaka 2015-16 ilitolewa na Taasisi ya Uchambazi wa Viwango yenye makao makuu London Uingereza.
Utoaji wake kwa kampuni zinazohusikana kutoa huduma na kuzalisha bidhaa umeelezwa unazingatia ushauri wa wataalamu wa masoko na maoni ya watumiaji zaidi ya 600.
Akizungumza na waandishi wa habari...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tanzania yang’ara Kimataifa,Asasi yake yatwaa tuzo ya Ikweta 2015 zinazotolewa na Umoja wa Mataifa-UN

UNMBi. Helen Clark, Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo  wa Umoja wa Mataifa ( UNDP)  akiwatangaza washindi wa Tuzo ya Ikweta ambayo hutolewa na Umoja Mataifa kwa  NGO ambazo zinajihusisha na utunzaji wa  mazingira, ulinzi na uhifadhi wa misitu, matumizi bora na endelevu ya ardhi na mali asili na  kupiga vita umaskini.Tuzo ya mwaka huu wa 2015 ambayo ni  dola  za kimarekani 10, 000 kwa kila mshindi inakwenda kwa NGO 21 ambapo  NGO ya Tanzania ijulikanayo kama Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu...

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania yang’ara mpango wa UN

TANZANIA imetajwa kufanya vizuri zaidi kuliko nchi nane, zilizokuwa zikishiriki katika Mpango wa Majaribio wa Kuwezesha mfumo wa Umoja wa Mataifa(UN) kufanya kazi kwa pamoja. Mpango huo sasa umepanuliwa kushirikisha nchi nyingi zaidi baada ya kuonesha faida kubwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania yang’ara kuogelea

Muogeleaji  wa Tanzania, Ammaar Ghadiyali amefanikiwa kuingia hatua 16 bora ya  Michezo ya Jumuiya ya Madola baada ya kuongoza kwenye mbizi za mita 50 hapo jana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM yang’ara Chalinze

MGOMBEA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete, anaelekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa ubunge wa Chalinze, uliofanyika jana. Uchaguzi huo ulifanyika baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Stars yang’ara, mbinu zaiangusha

Taifa Stars ya Tanzania jana ilipata pointi ya kwanza kwenye safari ya kuelekea fainali za Afrika mwaka 2017 nchini Gabon baada ya sare ya 0-0 dhidi ya Super Eagles ya Nigeria.

 

10 years ago

Habarileo

Dar yang’ara katika BRN

BAADA ya kuongoza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba mwaka jana, Mkoa wa Dar es Salaam umeendelea kufanya vizuri katika utekelezaji wa mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN), kwa shule zake kusimamia na kutoa mitihani ya utamilifu (mock) kwa manispaa zote tatu.

 

9 years ago

Mwananchi

Kenya yang’ara , yaaibika China

Licha ya kuongoza kwenye idadi ya medali kwenye mashindano ya ubingwa wa  dunia wa riadha yanayoendelea China, Kenya imepata aibu nyingine baada ya wanariadha wake wawili kufungiwa kwa madai ya matumizi ya dawa za kuongeza nguvu ya misuli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani