Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yang’ara mpango wa UN

TANZANIA imetajwa kufanya vizuri zaidi kuliko nchi nane, zilizokuwa zikishiriki katika Mpango wa Majaribio wa Kuwezesha mfumo wa Umoja wa Mataifa(UN) kufanya kazi kwa pamoja. Mpango huo sasa umepanuliwa kushirikisha nchi nyingi zaidi baada ya kuonesha faida kubwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tanzania yang’ara kuogelea

Muogeleaji  wa Tanzania, Ammaar Ghadiyali amefanikiwa kuingia hatua 16 bora ya  Michezo ya Jumuiya ya Madola baada ya kuongoza kwenye mbizi za mita 50 hapo jana.

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania yang’ara mapinduzi ya kijani

TANZANIA imetajwa kuwa miongoni mwa nchi za Afrika, zinazosonga mbele vyema katika utekelezaji wa mapinduzi ya kijani kwa kuwezesha wananchi wake kuwa na chakula cha kutosha. Taasisi ya Mapinduzi ya Kijani barani Afrika (AGRA) imetoa maelezo hayo, wakati wataalamu wake walipokuwa na kikao cha mwaka mjini Unguja na kufafanua kuwa wameridhishwa na jinsi Tanzania inavyoendelea kukabiliana na tatizo la mbegu na uzalishaji wake.

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania yang’ara katika utawala bora

MPANGO wa Afrika wa kujitathmini kiutawala bora (APRM) umebainisha kuwa Tanzania ni moja ya nchi zinazofanya vizuri katika utawala bora.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yang’ara uzinduzi wa Big Brother HOTSHOTS!

DSC_0165

Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi, akiwakaribisha wageni waalikwa kwenye hafla ya uzinduzi wa shindano la Big Brother HOTSHOTS msimu wa tisa iliyoandaliwa maalum kwa wadau wa DStv na waandishi wa habari usiku wa kuamkia leo kwenye hoteli ya Dar es Salaam Serena.

Bi. Kambogi alitoa rai kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa kuwapigia kura nyingi washiriki wetu wawili wanaoiwakilisha nchi kwenye shindano hilo na kutoa angalizo kwa wazazi na walezi kuhusiana na shindano...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yang'ara katika siku ya kwanza ya big brother afrika

 Mwanadada Laveda kutoka Tanzania akilakiwa kwa shangwe alipoingia ndani ya jumba la Big Brother Africa Hotshots usiku wa leo baada ya kushinda kwa kura nyingi sana shindano la vipaji ambapo kila mshiriki alipewa nafasi ya dakika tatu kuonesha kipaji chake. Laveda aliingia na Saxophone na kufurahisha kadamnasi kwa umahiri wake na hatimaye akapewa cheo cha kiongozi wa nyumba wa kwanza katika onesho hili kwa mwaka huu.Laveda akipuliza saxophone kwa umahiri mkubwa uliompa kura kibao usiku huu....

 

10 years ago

GPL

TANZANIA YANG'ARA KATIKA SIKU YA KWANZA YA BIG BROTHER AFRIKA

Mwanadada Laveda kutoka Tanzania akilakiwa kwa shangwe alipoingia ndani ya jumba la Big Brother Africa Hotshots usiku wa leo baada ya kushinda kwa kura nyingi sana shindano la vipaji ambapo kila mshiriki alipewa nafasi ya dakika tatu kuonesha kipaji chake. Laveda aliingia na Saxophone na kufurahisha kadamnasi kwa umahiri wake na hatimaye akapewa cheo cha kiongozi wa nyumba wa kwanza katika onesho hili kwa mwaka huu. Laveda...

 

10 years ago

Bongo5

Tanzania yang’ara kwenye All Africa Business Leaders Awards, Mengi, Ngowi na Shanker washinda

Wafanyabiashara watatu wa Tanzania wameshinda kwenye tuzo za ‘All Africa Business Leaders Awards’, AABLA zilizoandaliwa na CNBC Africa na kutangazwa Nairobi, Kenya September 20. Patrick Ngowi, Jacqueline Ntuyabaliwe na Reginald Mengi Hizo ni tuzo za biashara Africa zinazoheshimiwa zaidi zilizoandaliwa kuwatambua watu waliofanya mambo makubwa kwenye biashara zao. Tuzo za East African Business Leader of […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Tanzania yang’ara Kimataifa,Asasi yake yatwaa tuzo ya Ikweta 2015 zinazotolewa na Umoja wa Mataifa-UN

UNMBi. Helen Clark, Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo  wa Umoja wa Mataifa ( UNDP)  akiwatangaza washindi wa Tuzo ya Ikweta ambayo hutolewa na Umoja Mataifa kwa  NGO ambazo zinajihusisha na utunzaji wa  mazingira, ulinzi na uhifadhi wa misitu, matumizi bora na endelevu ya ardhi na mali asili na  kupiga vita umaskini.Tuzo ya mwaka huu wa 2015 ambayo ni  dola  za kimarekani 10, 000 kwa kila mshindi inakwenda kwa NGO 21 ambapo  NGO ya Tanzania ijulikanayo kama Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM yang’ara Chalinze

MGOMBEA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete, anaelekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa ubunge wa Chalinze, uliofanyika jana. Uchaguzi huo ulifanyika baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani