Tanzania yang’ara uzinduzi wa Big Brother HOTSHOTS!
Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi, akiwakaribisha wageni waalikwa kwenye hafla ya uzinduzi wa shindano la Big Brother HOTSHOTS msimu wa tisa iliyoandaliwa maalum kwa wadau wa DStv na waandishi wa habari usiku wa kuamkia leo kwenye hoteli ya Dar es Salaam Serena.
Bi. Kambogi alitoa rai kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa kuwapigia kura nyingi washiriki wetu wawili wanaoiwakilisha nchi kwenye shindano hilo na kutoa angalizo kwa wazazi na walezi kuhusiana na shindano...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog06 Oct
Waliong’ara kwenye Red carpet uzinduzi wa Big Brother HOTSHOTS @ Dar es Salaam Serena Hotel
Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Mauzo wa Hoteli ya DoubleTree by Hilton Bw. Florenso Kirambata, Meneja Masoko wa MultiChoice Tanzania, Furaha Samalu, Levina Bandihai wa Multichoice Tanzania pamoja na mmoja wa wadau wa DStv waking’ara kwenye red carpet wakati wa sherehe za uzinduzi wa shindano la Big Brother HOTSHOTS zilizoandaliwa na Mutlichoice Tanzania kwa ajili ya wadau wa DStv na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Dar es Salaam Serena ziliofanyika usiku wa kuamkia leo.
Meneja Uhusiano...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-uYtPYEoTz6k/VDHLn6wMiLI/AAAAAAAGoMI/37lY6bTDcTg/s72-c/Laveda_med.jpg)
Tanzania yang'ara katika siku ya kwanza ya big brother afrika
![](http://1.bp.blogspot.com/-uYtPYEoTz6k/VDHLn6wMiLI/AAAAAAAGoMI/37lY6bTDcTg/s1600/Laveda_med.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-cTOdDCTLuXQ/VDHLpaMpelI/AAAAAAAGoMQ/jX0MvvTBSxg/s1600/LavedaSAx_med.png)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q*0FqWTixVI-xguw0PfoRtFDuV2--nZiOfelCpiLJ9kcE9ZFmz3FaYVls7NcNTecGHFhW733549BNhKGzN7nv3OuNXC818jO/1.jpg?width=650)
TANZANIA YANG'ARA KATIKA SIKU YA KWANZA YA BIG BROTHER AFRIKA
10 years ago
GPL10 Oct
WATANZANIA WALIVYOFUNIKA UZINDUZI WA BIG BROTHER HOTSHOTS
10 years ago
GPLUZINDUZI WA BIG BROTHER HOTSHOTS ULIVYOKUWA KWA MZEE MADIBA
10 years ago
Dewji Blog06 Oct
Mjue Irene La Veda, mshiriki wa Big Brother HOTSHOTS kutoka Tanzania
Irene Neema Vedastous ‘La Veda’, Mshiriki wa Big Brother Hotshots kutoka Tanzania.
IRENE NEEMA VEDASTOUS ni msichana mrembo wa Kitanzania, mwenye umri wa miaka 23 anayeiwakilisha Tanzania katika shindano la BIG BROTHER 2014 ‘HOTSHOTS’ nchini Afrika Kusini.
La Veda katika pozi na baadhi ya mastaa.
Mrembo huyu ambaye ameshawahi kuingia 10 bora ya shindano la Miss Tanzania mwaka 2012, baada ya kutwaa taji la Miss Lindi 2012, anaingia rasmi leo tarehe 5 Oktoba 2014 kwenye shindano hilo lenye...
10 years ago
Dewji Blog07 Dec
Idris Sultan aitoa kimasomaso Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa Hotshots
Mshiriki wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa Hotshots Idris Sultan ameibuka kidedea kwa kutwaa taji msimu wa 9 wa shindano BBA Hotshots na kujinyakulia kitita cha dola za kimarekani 300,000.
Shindano hilo lilidumu kwa muda miezi 2 sawa na siku 60 na kumalizika usiku leo nchini Afrika Kusini, ambalo lilishirikisha washiriki 26 kutoka nchi mbalimbali za bara la Afrika na kisha baadhi yao kutolewa kwa kukosa kura na matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea ndani ya jumba hilo na...
10 years ago
Vijimambo06 Oct