Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mjue Irene La Veda, mshiriki wa Big Brother HOTSHOTS kutoka Tanzania

 

LAVEDA

Irene Neema Vedastous ‘La Veda’, Mshiriki wa Big Brother Hotshots kutoka Tanzania.

IRENE NEEMA VEDASTOUS ni msichana mrembo wa Kitanzania, mwenye umri wa miaka 23 anayeiwakilisha Tanzania katika shindano la BIG BROTHER 2014 ‘HOTSHOTS’ nchini Afrika Kusini.

La Veda katika pozi na baadhi ya mastaa.

Mrembo huyu ambaye ameshawahi kuingia 10 bora ya shindano la Miss Tanzania mwaka 2012, baada ya kutwaa taji la Miss Lindi 2012, anaingia rasmi leo tarehe 5 Oktoba 2014 kwenye shindano hilo lenye...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MJUE IRENE LA VEDA, MSHIRIKI WA BBA KUTOKA TANZANIA

Irene Neema Vedastous 'La Veda', Mshiriki wa Big Brother Hotshots kutoka Tanzania. IRENE NEEMA VEDASTOUS ni msichana mrembo wa Kitanzania, mwenye umri wa miaka 23 anayeiwakilisha Tanzania katika shindano la BIG BROTHER 2014 ‘HOTSHOTS’ nchini Afrika Kusini. La Veda katika pozi na baadhi ya mastaa. Mrembo huyu ambaye ameshawahi kuingia 10 bora ya shindano la Miss Tanzania mwaka 2012, baada ya kutwaa taji la Miss...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yang’ara uzinduzi wa Big Brother HOTSHOTS!

DSC_0165

Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi, akiwakaribisha wageni waalikwa kwenye hafla ya uzinduzi wa shindano la Big Brother HOTSHOTS msimu wa tisa iliyoandaliwa maalum kwa wadau wa DStv na waandishi wa habari usiku wa kuamkia leo kwenye hoteli ya Dar es Salaam Serena.

Bi. Kambogi alitoa rai kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa kuwapigia kura nyingi washiriki wetu wawili wanaoiwakilisha nchi kwenye shindano hilo na kutoa angalizo kwa wazazi na walezi kuhusiana na shindano...

 

10 years ago

Vijimambo

HUYU NDO MSHIRIKI MWINGINE MWANAMKE TOKA TANZANIA ANAYE KWENDA BIG BROTHER AFRIKA ANAITWA LAVEDA

M-Net na wameendelea na utaratibu wa kutangaza washiriki wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali Africa, na katika majina matatu yaliyotajwa yamemjumuisha Mtanzania wa pili atakayewakilisha katika shindano hilo, mrembo Irene Laveda.Irene ataungana na Idrisa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo yatakayochukua siku 63 badala ya siku takribani 90 zilizozoeleka.

 

10 years ago

Dewji Blog

Idris Sultan aitoa kimasomaso Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa Hotshots

10329972_10204046474311089_1055068807819044995_o

Mshiriki wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa Hotshots Idris Sultan ameibuka kidedea kwa kutwaa taji msimu wa 9 wa shindano BBA Hotshots na kujinyakulia kitita cha dola za kimarekani 300,000.

Shindano hilo lilidumu kwa muda miezi 2 sawa na siku 60 na kumalizika usiku leo nchini Afrika Kusini, ambalo lilishirikisha washiriki 26 kutoka nchi mbalimbali za bara la Afrika na kisha baadhi yao kutolewa kwa kukosa kura na matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea ndani ya jumba hilo na...

 

10 years ago

Michuzi

Big Brother Hotshots revealed

Fans of Africa’s biggest reality show, Big Brother Africa, will no longer have to wait in anticipation until the launch on the 5th of October to meet the Big Brother Hotshots. 
In a bold and ground breaking move, M-Net and series producers Endemol SA will be delivering a new world first by unveiling the names of the participating housemates live on the official Big Brother website which launches at 14h00 CAT on  Wednesday 17 September.
Three Big Brother housemates will be introduced on a daily...

 

10 years ago

Bongo5

Big Brother Hotshots kuzinduliwa October 5

Shindano la Big Brother Hotshots litazinduliwa October 5, makampuni ya M-Net na Endemol SA yamesema. Makampuni hayo yamedai kuwa nyumba mpya ya Big Brother imepatikana jijini Johannesburg, Afrika Kusini baada ya kile walichodai moto kuunguza jumba la kwanza September 2. “M-Net and Endemol SA are pleased to announce that Big Brother Hotshots will officially launch […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani