Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mshiriki wa Tanzania Irene La Veda kwenye uzinduzi wa Big Brother

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mjue Irene La Veda, mshiriki wa Big Brother HOTSHOTS kutoka Tanzania

 

LAVEDA

Irene Neema Vedastous ‘La Veda’, Mshiriki wa Big Brother Hotshots kutoka Tanzania.

IRENE NEEMA VEDASTOUS ni msichana mrembo wa Kitanzania, mwenye umri wa miaka 23 anayeiwakilisha Tanzania katika shindano la BIG BROTHER 2014 ‘HOTSHOTS’ nchini Afrika Kusini.

La Veda katika pozi na baadhi ya mastaa.

Mrembo huyu ambaye ameshawahi kuingia 10 bora ya shindano la Miss Tanzania mwaka 2012, baada ya kutwaa taji la Miss Lindi 2012, anaingia rasmi leo tarehe 5 Oktoba 2014 kwenye shindano hilo lenye...

 

10 years ago

GPL

MJUE IRENE LA VEDA, MSHIRIKI WA BBA KUTOKA TANZANIA

Irene Neema Vedastous 'La Veda', Mshiriki wa Big Brother Hotshots kutoka Tanzania. IRENE NEEMA VEDASTOUS ni msichana mrembo wa Kitanzania, mwenye umri wa miaka 23 anayeiwakilisha Tanzania katika shindano la BIG BROTHER 2014 ‘HOTSHOTS’ nchini Afrika Kusini. La Veda katika pozi na baadhi ya mastaa. Mrembo huyu ambaye ameshawahi kuingia 10 bora ya shindano la Miss Tanzania mwaka 2012, baada ya kutwaa taji la Miss...

 

10 years ago

Vijimambo

HUYU NDO MSHIRIKI MWINGINE MWANAMKE TOKA TANZANIA ANAYE KWENDA BIG BROTHER AFRIKA ANAITWA LAVEDA

M-Net na wameendelea na utaratibu wa kutangaza washiriki wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali Africa, na katika majina matatu yaliyotajwa yamemjumuisha Mtanzania wa pili atakayewakilisha katika shindano hilo, mrembo Irene Laveda.Irene ataungana na Idrisa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo yatakayochukua siku 63 badala ya siku takribani 90 zilizozoeleka.

 

10 years ago

Bongo5

Diamond kutumbuiza kwenye uzinduzi wa Big Brother Africa, Jumamosi

Diamond Platnumz atakuwa miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye uzinduzi wa msimu mpya wa shindano la Big Brother Africa utakayofanyika Jumamosi hii, September 7 nchini Afrika Kusini. Akizungumza na bongo5 leo, meneja wa staa huyo, Babu Tale amesema Diamond atarejea leo akitokea nchini Ujerumani ili kujianda ya na show hiyo. “Diamond anarudi leo saa tano usiku […]

 

10 years ago

Bongo5

Big Brother Africa ‘Hot Shots’ kufanyika Uingereza kwenye nyumba ya ‘Big Brother ya UK’?

Kuna habari mpya zinazosema kuwa kuna uwezekano shindano la Big Brother Africa ‘Hot Shots’ likahamishiwa jijini London, Uingereza baada ya nyumba ya Afrika Kusini iliyokuwa imeandaliwa kwaajili ya msimu wa tisa kuungua wiki iliyopita na kupelekea uzinduzi uliokuwa umepangwa kufanyika Jumapili iliyopita (September 7) kuahirishwa. Taarifa hiyo ambayo bado haijathibitishwa imetolewa kupitia ukurasa rasmi wa […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yang’ara uzinduzi wa Big Brother HOTSHOTS!

DSC_0165

Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi, akiwakaribisha wageni waalikwa kwenye hafla ya uzinduzi wa shindano la Big Brother HOTSHOTS msimu wa tisa iliyoandaliwa maalum kwa wadau wa DStv na waandishi wa habari usiku wa kuamkia leo kwenye hoteli ya Dar es Salaam Serena.

Bi. Kambogi alitoa rai kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa kuwapigia kura nyingi washiriki wetu wawili wanaoiwakilisha nchi kwenye shindano hilo na kutoa angalizo kwa wazazi na walezi kuhusiana na shindano...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waliong’ara kwenye Red carpet uzinduzi wa Big Brother HOTSHOTS @ Dar es Salaam Serena Hotel

DSC_0005

Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Mauzo wa Hoteli ya DoubleTree by Hilton Bw. Florenso Kirambata, Meneja Masoko wa MultiChoice Tanzania, Furaha Samalu, Levina Bandihai wa Multichoice Tanzania pamoja na mmoja wa wadau wa DStv waking’ara kwenye red carpet wakati wa sherehe za uzinduzi wa shindano la Big Brother HOTSHOTS zilizoandaliwa na Mutlichoice Tanzania kwa ajili ya wadau wa DStv na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Dar es Salaam Serena ziliofanyika usiku wa kuamkia leo.

DSC_0091

Meneja Uhusiano...

 

10 years ago

Jamtz.Com

HAWA NDO WATAKAOIWAKILISHA TANZANIA KWENYE BIG BROTHER AFRICA 2014

Tweet

M-Net na wameendelea na utaratibu wa kutangaza washiriki wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali Africa, na katika majina matatu yaliyotajwa yamemjumuisha Mtanzania wa pili atakayewakilisha katika shindano hilo, mrembo Irene Laveda.

Irene ataungana na Idrisa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo yatakayochukua siku 63 badala ya siku takribani 90 zilizozoeleka.

Ingia kutazama picha zao...




 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani