Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAWA NDO WATAKAOIWAKILISHA TANZANIA KWENYE BIG BROTHER AFRICA 2014

Tweet

M-Net na wameendelea na utaratibu wa kutangaza washiriki wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali Africa, na katika majina matatu yaliyotajwa yamemjumuisha Mtanzania wa pili atakayewakilisha katika shindano hilo, mrembo Irene Laveda.

Irene ataungana na Idrisa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo yatakayochukua siku 63 badala ya siku takribani 90 zilizozoeleka.

Ingia kutazama picha zao...




Jamtz.com

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Big Brother Africa ‘Hot Shots’ kufanyika Uingereza kwenye nyumba ya ‘Big Brother ya UK’?

Kuna habari mpya zinazosema kuwa kuna uwezekano shindano la Big Brother Africa ‘Hot Shots’ likahamishiwa jijini London, Uingereza baada ya nyumba ya Afrika Kusini iliyokuwa imeandaliwa kwaajili ya msimu wa tisa kuungua wiki iliyopita na kupelekea uzinduzi uliokuwa umepangwa kufanyika Jumapili iliyopita (September 7) kuahirishwa. Taarifa hiyo ambayo bado haijathibitishwa imetolewa kupitia ukurasa rasmi wa […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Idris Sultan aitoa kimasomaso Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa Hotshots

10329972_10204046474311089_1055068807819044995_o

Mshiriki wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa Hotshots Idris Sultan ameibuka kidedea kwa kutwaa taji msimu wa 9 wa shindano BBA Hotshots na kujinyakulia kitita cha dola za kimarekani 300,000.

Shindano hilo lilidumu kwa muda miezi 2 sawa na siku 60 na kumalizika usiku leo nchini Afrika Kusini, ambalo lilishirikisha washiriki 26 kutoka nchi mbalimbali za bara la Afrika na kisha baadhi yao kutolewa kwa kukosa kura na matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea ndani ya jumba hilo na...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KAMILI KUHUSU JAMAA ATAKAYEIWAKILISHA TANZANIA KWENYE NYUMBA YA BIG BROTHER AFRICA MWAKA HUU

Mpiga picha, Idris ni mmoja wa wawakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa mwaka huu.“Idris is a photographer from Tanzania, filled with positive energy. He admits to having a strategy, hoping that his fellow housemates will turn to him “when they want to be inspired or when they feel down,” wameandika BBA kumwelezea Idris. Bonyeza >hapahttp://bigbrotherafrica.dstv.com/video/631844/interview-with-idris< Kuangalia Video

 

10 years ago

Vijimambo

HUYU NDO MSHIRIKI MWINGINE MWANAMKE TOKA TANZANIA ANAYE KWENDA BIG BROTHER AFRIKA ANAITWA LAVEDA

M-Net na wameendelea na utaratibu wa kutangaza washiriki wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali Africa, na katika majina matatu yaliyotajwa yamemjumuisha Mtanzania wa pili atakayewakilisha katika shindano hilo, mrembo Irene Laveda.Irene ataungana na Idrisa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo yatakayochukua siku 63 badala ya siku takribani 90 zilizozoeleka.

 

10 years ago

Bongo5

Diamond kutumbuiza kwenye uzinduzi wa Big Brother Africa, Jumamosi

Diamond Platnumz atakuwa miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye uzinduzi wa msimu mpya wa shindano la Big Brother Africa utakayofanyika Jumamosi hii, September 7 nchini Afrika Kusini. Akizungumza na bongo5 leo, meneja wa staa huyo, Babu Tale amesema Diamond atarejea leo akitokea nchini Ujerumani ili kujianda ya na show hiyo. “Diamond anarudi leo saa tano usiku […]

 

10 years ago

Michuzi

Mshindi wa Big Brother Africa 2014,idris sultan awasili nchini

Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa 2014,Idris Sultan akishangilia wakati alilakiwa na Washabiki wake waliojitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere,Jijini Dar es salaam leo akitokea nchini Afrika Kusini yalikokuwa yakifanyika mashindano hayo.Kushoto kwake ni Laveda aliekuwa mshiriki mweza wa Idris.Idris akionekana ni mwenye furaha kubwa sana baada ya kuwasili nchini.Meneja Uhusiano wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Barbara Kambogi (kati) akijadiliana...

 

10 years ago

Vijimambo

MPIGIE KURA IDRIS KUBAKI KWENYE JUMBA LA BIG BROTHER AFRICA

BOFYA HAPO JUU VOTE AU PIGA KURA KISHA CHAGUA JINA LA IDRIS PIGA KURA YAKO HAPO MOJA KWA MOJA. PIA UNAWEZA KUMPIGIA KURA KWA UJUMBE MFUPI WA MAANDISHI YAANI SMS ANDIKA NENO VOTE IDRIS TUMA KWENDA NAMBA 15426 MPIGIE KURA MARA NYINGI UWEZAVYO

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani