TAARIFA KAMILI KUHUSU JAMAA ATAKAYEIWAKILISHA TANZANIA KWENYE NYUMBA YA BIG BROTHER AFRICA MWAKA HUU
![](http://3.bp.blogspot.com/-zXn9yhvvcVk/VBvztdypjgI/AAAAAAAAhYc/sdBkFMBAFrI/s72-c/Idris.jpg)
Mpiga picha, Idris ni mmoja wa wawakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa mwaka huu.“Idris is a photographer from Tanzania, filled with positive energy. He admits to having a strategy, hoping that his fellow housemates will turn to him “when they want to be inspired or when they feel down,” wameandika BBA kumwelezea Idris. Bonyeza >hapahttp://bigbrotherafrica.dstv.com/video/631844/interview-with-idris< Kuangalia Video
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo511 Sep
Big Brother Africa ‘Hot Shots’ kufanyika Uingereza kwenye nyumba ya ‘Big Brother ya UK’?
10 years ago
Jamtz.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-Yaq1IkHnq1I/VCAGyB8eUbI/AAAAAAAABJ4/_BPKhVRDt48/s72-c/BIG-BROTHER-AFRICA.jpg)
HAWA NDO WATAKAOIWAKILISHA TANZANIA KWENYE BIG BROTHER AFRICA 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-Yaq1IkHnq1I/VCAGyB8eUbI/AAAAAAAABJ4/_BPKhVRDt48/s1600/BIG-BROTHER-AFRICA.jpg)
M-Net na wameendelea na utaratibu wa kutangaza washiriki wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali Africa, na katika majina matatu yaliyotajwa yamemjumuisha Mtanzania wa pili atakayewakilisha katika shindano hilo, mrembo Irene Laveda.
Irene ataungana na Idrisa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo yatakayochukua siku 63 badala ya siku takribani 90 zilizozoeleka.
Ingia kutazama picha zao...
![](http://1.bp.blogspot.com/-cm7VznTzRbk/VCAGScYZIlI/AAAAAAAABJo/y7eBU-R-nz0/s1600/Idris.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-WU1fzc2ZKU0/VCAGWOsqR2I/AAAAAAAABJw/ghLq5nVfsCc/s1600/laveda.jpg)
10 years ago
Dewji Blog07 Dec
Idris Sultan aitoa kimasomaso Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa Hotshots
Mshiriki wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa Hotshots Idris Sultan ameibuka kidedea kwa kutwaa taji msimu wa 9 wa shindano BBA Hotshots na kujinyakulia kitita cha dola za kimarekani 300,000.
Shindano hilo lilidumu kwa muda miezi 2 sawa na siku 60 na kumalizika usiku leo nchini Afrika Kusini, ambalo lilishirikisha washiriki 26 kutoka nchi mbalimbali za bara la Afrika na kisha baadhi yao kutolewa kwa kukosa kura na matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea ndani ya jumba hilo na...
10 years ago
Bongo505 Sep
Big Brother Africa kuwasafirisha washiriki na maproducer popote pale nyumba mpya itakapopatikana ‘duniani’
10 years ago
Bongo506 Sep
Big Brother Africa: M-Net yatangaza kuwa nyumba mpya imepatikana na show itaendelea ‘mwezi ujao’
10 years ago
Bongo501 Sep
Diamond kutumbuiza kwenye uzinduzi wa Big Brother Africa, Jumamosi
10 years ago
Vijimambo12 Nov
MPIGIE KURA IDRIS KUBAKI KWENYE JUMBA LA BIG BROTHER AFRICA