Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Idris Sultan aitoa kimasomaso Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa Hotshots

10329972_10204046474311089_1055068807819044995_o

Mshiriki wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa Hotshots Idris Sultan ameibuka kidedea kwa kutwaa taji msimu wa 9 wa shindano BBA Hotshots na kujinyakulia kitita cha dola za kimarekani 300,000.

Shindano hilo lilidumu kwa muda miezi 2 sawa na siku 60 na kumalizika usiku leo nchini Afrika Kusini, ambalo lilishirikisha washiriki 26 kutoka nchi mbalimbali za bara la Afrika na kisha baadhi yao kutolewa kwa kukosa kura na matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea ndani ya jumba hilo na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWSSSS.... IDRIS SULTAN ASHINDA shindano la Big Brother ‘hotshots’ aondoka na dola elfu 300 za kimarekani

Mshiriki  wa Tanzania anayewakilisha ndani ya mjengo wa Big Brother ‘hotshots’ , Idris Sultan ndiye ameibuka kidedea leo usiku katika shindano hilo huko Afrika Kusini. Idris amekuwa Mtanzania wa pili kushinda shindano hilo, baada ya Richard Dyle Bezuidenhout kuibuka kidedea mwaka 2011 katika Big Brother Afrika II.

 

10 years ago

Michuzi

Vote Idris Sultan to win Big Brother Africa


How to Vote
1.Vote for free up to 100 times on the website and again up to 100
times on the mobile site

     FIRST register here
     https://connect.dstv.com/4.0.863/en-ZA/Login/?returnUrl=http%3A%2F%2Fbigbrotherafrica.dstv.com%2Fvote

     It will take you 5 minutes only to send 100 free votes to Idris
2.Download the WeChat app on your smartphone, add ID BigBrotherAfrica
and vote up to 100 times  FOR FREE !

3.In Tanzania through sms " VOTE Idris" and send to 15426  Vote up to
100 times by SMS...

 

10 years ago

Michuzi

Mshindi wa Big Brother Africa 2014,idris sultan awasili nchini

Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa 2014,Idris Sultan akishangilia wakati alilakiwa na Washabiki wake waliojitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere,Jijini Dar es salaam leo akitokea nchini Afrika Kusini yalikokuwa yakifanyika mashindano hayo.Kushoto kwake ni Laveda aliekuwa mshiriki mweza wa Idris.Idris akionekana ni mwenye furaha kubwa sana baada ya kuwasili nchini.Meneja Uhusiano wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Barbara Kambogi (kati) akijadiliana...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Mfahamu zaidi Idris Sultan, mwakilishi wa Tanzania kwenye BBA Hotshots

Mpiga picha na graphic designer anayefanya kazi kwenye kampuni ya I-View Studios, ni mwakilishi wa kwanza kutoka Tanzania aliyetajwa tayari kutuwakilisha mwaka huu kwenye shindano la Big Brother Africa. Majina bado yanaendelea kutajwa hivyo tunangoja kufahamu mshiriki wa pili. Tumepata bahati ya kukutana na Idris. Ni kijana mwenye vituko sana na ukikaa naye kwa muda […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani