Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUYU NDO MSHIRIKI MWINGINE MWANAMKE TOKA TANZANIA ANAYE KWENDA BIG BROTHER AFRIKA ANAITWA LAVEDA

M-Net na wameendelea na utaratibu wa kutangaza washiriki wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali Africa, na katika majina matatu yaliyotajwa yamemjumuisha Mtanzania wa pili atakayewakilisha katika shindano hilo, mrembo Irene Laveda.Irene ataungana na Idrisa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo yatakayochukua siku 63 badala ya siku takribani 90 zilizozoeleka.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mjue Irene La Veda, mshiriki wa Big Brother HOTSHOTS kutoka Tanzania

 

LAVEDA

Irene Neema Vedastous ‘La Veda’, Mshiriki wa Big Brother Hotshots kutoka Tanzania.

IRENE NEEMA VEDASTOUS ni msichana mrembo wa Kitanzania, mwenye umri wa miaka 23 anayeiwakilisha Tanzania katika shindano la BIG BROTHER 2014 ‘HOTSHOTS’ nchini Afrika Kusini.

La Veda katika pozi na baadhi ya mastaa.

Mrembo huyu ambaye ameshawahi kuingia 10 bora ya shindano la Miss Tanzania mwaka 2012, baada ya kutwaa taji la Miss Lindi 2012, anaingia rasmi leo tarehe 5 Oktoba 2014 kwenye shindano hilo lenye...

 

10 years ago

Jamtz.Com

HAWA NDO WATAKAOIWAKILISHA TANZANIA KWENYE BIG BROTHER AFRICA 2014

Tweet

M-Net na wameendelea na utaratibu wa kutangaza washiriki wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali Africa, na katika majina matatu yaliyotajwa yamemjumuisha Mtanzania wa pili atakayewakilisha katika shindano hilo, mrembo Irene Laveda.

Irene ataungana na Idrisa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo yatakayochukua siku 63 badala ya siku takribani 90 zilizozoeleka.

Ingia kutazama picha zao...




 

10 years ago

GPL

LAVEDA: SIJAWAHI KUJICHUA BIG BROTHER

Srori: Shani Ramadhani ALIYEKUWA mwakilishi wa Tanzania katika Big Brother Africa Hotshots, Irene Laveda wiki hii alikuja na kufanya mazungumzo katika chumba chetu cha habari.Katika mahojiano maalum, Irene alizungumza mambo mbalimbali kama alivyonukuliwa na Global tv online. La Veda wakati wa Exclusive Interview na Global TV Online. Kwa sasa msichana huyo amedhamiria kufanya… ...

 

10 years ago

GPL

LAVEDA AFUNIKA UFUNGUZI WA BIG BROTHER HOTSHOTS

Irene 'Laveda' akionyesha ufundi wa kutumia saxophone wakati akitoa shoo kwenye ufunguzi wa Big Brother Hotshots. MSHIRIKI wa shinadano la Big Brother Hotshots kutoka Tanzania, Irene 'Laveda' amefunika vilivyo katika shoo ya ufunguzi wa shindano hilo usiku huu nchini Afrka Kusini. Laveda ameongoza kwa kura zilizopigwa na watu waliokuwa mjengoni akipata asilimia 85 kutokana na shoo yake kali aliyotoa akicharaza vilivyo...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yang'ara katika siku ya kwanza ya big brother afrika

 Mwanadada Laveda kutoka Tanzania akilakiwa kwa shangwe alipoingia ndani ya jumba la Big Brother Africa Hotshots usiku wa leo baada ya kushinda kwa kura nyingi sana shindano la vipaji ambapo kila mshiriki alipewa nafasi ya dakika tatu kuonesha kipaji chake. Laveda aliingia na Saxophone na kufurahisha kadamnasi kwa umahiri wake na hatimaye akapewa cheo cha kiongozi wa nyumba wa kwanza katika onesho hili kwa mwaka huu.Laveda akipuliza saxophone kwa umahiri mkubwa uliompa kura kibao usiku huu....

 

10 years ago

GPL

TANZANIA YANG'ARA KATIKA SIKU YA KWANZA YA BIG BROTHER AFRIKA

Mwanadada Laveda kutoka Tanzania akilakiwa kwa shangwe alipoingia ndani ya jumba la Big Brother Africa Hotshots usiku wa leo baada ya kushinda kwa kura nyingi sana shindano la vipaji ambapo kila mshiriki alipewa nafasi ya dakika tatu kuonesha kipaji chake. Laveda aliingia na Saxophone na kufurahisha kadamnasi kwa umahiri wake na hatimaye akapewa cheo cha kiongozi wa nyumba wa kwanza katika onesho hili kwa mwaka huu. Laveda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani