Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Obama kuhutubia umoja wa Afrika

Rais wa Marekani Barack Obama anaendelea na ziara yake nchini Ethiopia ambapo leo anatarajiwa kutoa hotuba kwa viongozi wa muungano wa Afrika.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Obama kuhutubia katika Umoja wa Afrika.

Rais Barack Obama leo anatarajia kuwahutubia viongozi wa Umoja wa Afrika, mjini Addis Ababa, Ethiopia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama leo kuhutubia wajasiriamali Kenya

Rais wa marekani Barack Obama anatarajiwaa kuhutubia kongamano la kimataifa la wajasiriamali linalofanyika nchini Kenya.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWASILI AFRIKA KUSINI KUHUDHURIA MKUTANO WA 25 WA UMOJA WA AFRIKA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa Mkutano wa 25 wa kawaidavwa Umojanwa Afrika. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa na Waziri Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini...

 

10 years ago

Michuzi

Huawei na Umoja wa Afrika zasaini makubaliano kuboresha miundombinu ya teknohama Afrika

Makamu wa Rais wa kampuni ya Huawei katika idara inayohusika na mahusiano ya serikali Ulimwenguni, Bw. David Harmon (wapili kushoto) akipeana mkono na Makamu Mweyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika Bw. Erastus Mwencha (wapili kulia), mara baada ya kusaini makubaliano yatakayosaidia kuongeza  ushirikiano baina yao katika kuimarisha maendeleo katika miundombinu ya teknolojia ya Habari na Mawasiliano (teknohama). Hafla ya kusaini makubaliano hayo ilifanyika mjini Addis Ababa, Ethiopia....

 

10 years ago

Michuzi

UMOJA WA AFRIKA (AU) WAWATUNUKU DKT. SALIM NA BALOZI MBITA TUZO ZA JUU ZA MWANA WA AFRIKA


Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim akipokea Tuzo ya Juu ya Umoja wa Afrika ya Mwana wa Afrika kwa Mwaka 2014 kutoka kwa Kamishna wa Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika, Mhe. Balozi Smail Chergui. Tuzo hiyo  ilitolewa mjini Arusha pembezoni mwa Warsha ya Tano ya Ngazi ya Juu kuhusu Amani na Usalama Bararani Afrika iliyoandaliwa na Umoja wa Afrika inayoendelea mjini humo. 

Tuzo hiyo pia imetolewa kwa Balozi Mstaafu na Mpigania Uhuru Mahiri Barani Afrika, Balozi Hashim Mbita. Tuzo hizo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tutashiriki katika ujenzi wa Afrika yenye umoja, mshikamano na miundombinu stahili — Benki ya Maendeleo Afrika

PIC 1 (3)

Katibu Mkuu Dkt.Servacius Likwelile akiwa na Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Kanda ya Afrika Mashariki Nd. Gabriel Negatu katika Mkutano uliofanyika katika ukumb wa Ecobank Jijini Kigali Rwanda.

PIC 2 (2) (1)

Mh.Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akijadiliana jambo na mmoja wa washiriki wa Mkutano wa 49 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika unafanyika Kigali Rwanda. Pembeni ni mwa Waziri ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile na msaidizi wa Waziri Bw.Thomas Mabeba.

PIC 3 (3)

Waziri...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YAONGOZA MKUTANO WA PAMOJA KATI YA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA (AU) NA KAMATI YA SIASA NA USALAMA YA UMOJA WA ULAYA (EU) MJINI BRUSSELS, UBELGIJI

Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU), pamoja na Balozi Walter Stevens (Kulia), Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa na Usalama ya Umoja wa Ulaya (EU) wakiwa katika mkutano huo. Kushoto ni Balozi Smail Chergui, Kamishna wa Amani na Usalama wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika. Katika Mkutano huo, pamoja na mambo mengine, vyombo hivyo viwili vilikubaliana kuendeleza ushirikiana zaidi katika kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa migogoro...

 

10 years ago

Michuzi

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM achaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Afrika Kanda ya Afrika Mashariki

 Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM),Mboni Mhita (katikati) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) pamoja na baadhi ya vijana wa Mkoa wa Dar es salaam leo,juu ushindi wake alioupata katika Uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana Barani Afrika,ambapo yeye amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja huo kwa upande wa Afrika Mashariki.Uchaguzi huo ulifanyika Mwishoni mwa mwezi uliopita katika Jiji la Johannesburg,nchini Afrika Kusini.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani