Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HOTUBA YA MWISHO YA JK KUHUTUBIA UMOJA WA MATAIFA AKIWA RAIS

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA JK AKIWA UMOJA WA MATAIFA, NEW YORK, KWA MARA YA MWISHO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete jana jumanne amelihutubia kwa mara ya mwisho Baraza Kuu la 70 la Umoja wa Mtaifa akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.  Hotuba ya Mhe. Rais na ambayo iligusia mambo mengi ya kisiasa, kiuchumi, na maendeleo akitumia pia fursa hiyo kuwaanga viongozi wenzie na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompatia katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wake, iliwasisimua wajumbe wa mkutano huo kiasi cha kukatishwa mara...

 

10 years ago

Vijimambo

Hotuba ya Rais Kikwete kwenye mkutano wa tabianchi, Umoja wa Mataifa

Photo Credits: UN Photo/Ryan BrownSeptemba 23, 2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dk Jakaya Kikwete, ambaye pia ni kiongozi wa kamati ya viongozi wa nchi na serikali za Afrika kuhusu mabadiliko ya tabianchi alihutubia kikao kilichoandaliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Kin Moon kujadili changamoto za mabadiliko ya tabianchi duniani. Hii ni hotuba yake, kwa hisani ya Umoja wa Mataifa

 

10 years ago

Michuzi

Hotuba ya Rais Kikwete kwenye mkutano wa tabianchi, Umoja wa Mataifa, New York

Photo Credits: UN Photo/Ryan BrownSeptemba 23, 2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dk Jakaya Kikwete, ambaye pia ni kiongozi wa kamati ya viongozi wa nchi na serikali za Afrika kuhusu mabadiliko ya tabianchi alihutubia kikao kilichoandaliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Kin Moon kujadili changamoto za mabadiliko ya tabianchi duniani. Hii ni hotuba yake, kwa hisani ya Umoja wa Mataifa

 

10 years ago

Dewji Blog

AUDIO: Hotuba ya Rais Kikwete kwenye mkutano wa Tabianchi, Umoja wa Mataifa New York

Kikwete UN

Rais Jakaya Kikwete akihutubia Umoja wa Mataifa. (picha: UN Photo/Ryan Brown)

Septemba 23, 2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete, ambaye pia ni kiongozi wa kamati ya viongozi wa nchi na serikali za Afrika kuhusu mabadiliko ya tabianchi, alihutubia kikao kilichoandaliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon kujadili changamoto za mabadiliko ya tabianchi duniani.

Hii ni hotuba yake (kwa hisani ya Umoja wa Mataifa).

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AAGA RASMI UMOJA WA AFRIKA, ATUMIA KISWAHILI KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO

Rais Kikwete: Sera ya Nje itabakia ile ile
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa siasa ya nchi za nje na misingi mikuu ya kuongoza mahusiano ya Tanzania na nchi za kigeni hayatabadilika hata baada ya yeye kuondoka madarakani mwanzoni mwa Novemba, mwaka huu, 2015.
Aidha, Rais Kikwete amewahakikishia viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) kuwa yeye anaondoka madarakani lakini Tanzania waliyoizoea na kuijua itabakia pale pale na...

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MKUU AKIWA KATIKA PICHA NA AFISA WA USALAMA WA UMOJA WA MATAIFA

Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Mohamed Chande Othman akiwa na Mlinzi wa Usalama katika Umoja wa Mataifa, Afisa Ally Baruti kutoka Tanzania, Mhe. Jaji Mkuu yupo hapa Umoja wa Mataifa akiongoza Jopo Huru la Wataalam wanaopitia na kuchambua taarifa mpya kuhusu kifo cha Bw. Dag Hammarskjold ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon alimteua Mhe. Jaji Mkuu kuongoza jopo hilo mwezi uliopita, ...

 

11 years ago

Michuzi

Mdau Ruger Kahwa akiwa na Balozi wa Papua New Guinea katika Umoja wa Mataifa

Mdau Ruger Kahwa  ambaye ni mkuu wa ofisi ya United Nations Office   for the Coordination of Humanitarian Affairs(UNOCHA) nchini Papua New Guinea  akiwa na balozi wa Papua new Guinea  katika Umoja  wa Mataifa , Amb. Robert Aisi (kulia) na mwakilishi wa FAO nchini Papua New Guinea(kushoto) mara  baada ya Balozi  Aisi kufanya mazungumzo na   PNG United Nations  Country Team.

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA RAIS KIKWETE YA MWISHO WA MWEZI FEBRUARY, 2015

Hotuba Ya RAIS Mwisho Wa Mwezi Februari, 2015

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani