Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAJI MKUU AKIWA KATIKA PICHA NA AFISA WA USALAMA WA UMOJA WA MATAIFA

Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Mohamed Chande Othman akiwa na Mlinzi wa Usalama katika Umoja wa Mataifa, Afisa Ally Baruti kutoka Tanzania, Mhe. Jaji Mkuu yupo hapa Umoja wa Mataifa akiongoza Jopo Huru la Wataalam wanaopitia na kuchambua taarifa mpya kuhusu kifo cha Bw. Dag Hammarskjold ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon alimteua Mhe. Jaji Mkuu kuongoza jopo hilo mwezi uliopita, ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mdau Ruger Kahwa akiwa na Balozi wa Papua New Guinea katika Umoja wa Mataifa

Mdau Ruger Kahwa  ambaye ni mkuu wa ofisi ya United Nations Office   for the Coordination of Humanitarian Affairs(UNOCHA) nchini Papua New Guinea  akiwa na balozi wa Papua new Guinea  katika Umoja  wa Mataifa , Amb. Robert Aisi (kulia) na mwakilishi wa FAO nchini Papua New Guinea(kushoto) mara  baada ya Balozi  Aisi kufanya mazungumzo na   PNG United Nations  Country Team.

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Salim akutana na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika DRC

Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU),Dkt. Salim Ahmed Salim akizungumza na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika DRC Balozi Said Djinit ambaye alimtembelea nyumbani kwake jana kusalimiana naye. Balozi Djinit aliwahi kuwa Msaidizi wa Mheshimiwa Salim Ahmed Salim wakati akiongoza OAU.

 

9 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA JK AKIWA UMOJA WA MATAIFA, NEW YORK, KWA MARA YA MWISHO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete jana jumanne amelihutubia kwa mara ya mwisho Baraza Kuu la 70 la Umoja wa Mtaifa akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.  Hotuba ya Mhe. Rais na ambayo iligusia mambo mengi ya kisiasa, kiuchumi, na maendeleo akitumia pia fursa hiyo kuwaanga viongozi wenzie na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompatia katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wake, iliwasisimua wajumbe wa mkutano huo kiasi cha kukatishwa mara...

 

9 years ago

Michuzi

BARAZA KUU LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA LAIJADILI BURUNDI



Matthew Rycroft, Mwakilishi wa Kudumu wa Uingereza katika Umoja wa Mataifa na Rais wa Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa,  kwa mwezi  Novemba, akizungumza na waandishi wa habari   hawapo pichani, mara baada ya  Baraza Kuu la Usalama kumaliza kikao chake kilichojadili hali ya  Burundi, kikao ambacho pia kilipitisha azimio ambalo pamoja na mambo mengine linamuunga mkono  Rais wa Uganda  Yoweri Museven ambaye aliteuliwa na  Viongozi  wenzie wa Jumuiya ya Afrika  Mashariki kuwa msimamizi...

 

10 years ago

Vijimambo

WANAHABARI WAPEWA SEMINA KUHUSU WIKI YA USALAMA BARABARANI YA UMOJA WA MATAIFA DAR ES SALAAM LEO

 Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Mohamed Ally Mohamed (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari wakati akifungua semina hiyo Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Maafa na Dharura, Dk.Elias Kwesi. Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Maafa na Dharura, Dk.Elias Kwesi (kulia), akizungumza katika semina hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Mohamed Ally Mohamed kufungua semina hiyo. 

 Ofisa Mradi wa Usalama Barabarani wa Shirika...

 

10 years ago

GPL

WANAHABARI WAPEWA SEMINA KUHUSU WIKI YA USALAMA BARABARANI YA UMOJA WA MATAIFA JIJINI DAR LEO

 Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Mohamed Ally Mohamed (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari wakati akifungua semina hiyo Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Maafa na Dharura, Dk.Elias Kwesi.  Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Maafa na Dharura, Dk.Elias Kwesi (kulia), akizungumza katika semina hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Mohamed Ally...

 

10 years ago

Michuzi

UHISPANIA NA UTURUKI WACHUANA VIKALI NAFASI YA UJUMBE USIO WA KUDUMU WA BARAZA KUU LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA

Na Mwandishi Maalum, New York Wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa , jana Alhamisi waliwapigia kura ya siri wajumbe watano wasio wa kudumu watakaojiunga na Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa kuanzia January Mosi 2015.  Mataifa yaliyokuwa yanawania nafasi hizo kwa kuzingatia mgawanyo wa Kikanda ni nafasi moja kutoka nchi za Afrika, ambayo kwa sasa inashikiliwa na Rwanda, nafasi moja kwa kundi la nchi za Asia na Pacific ambayo kwa sasa inashikiliwa na Jamhuri ya...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YAONGOZA MKUTANO WA PAMOJA KATI YA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA (AU) NA KAMATI YA SIASA NA USALAMA YA UMOJA WA ULAYA (EU) MJINI BRUSSELS, UBELGIJI

Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU), pamoja na Balozi Walter Stevens (Kulia), Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa na Usalama ya Umoja wa Ulaya (EU) wakiwa katika mkutano huo. Kushoto ni Balozi Smail Chergui, Kamishna wa Amani na Usalama wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika. Katika Mkutano huo, pamoja na mambo mengine, vyombo hivyo viwili vilikubaliana kuendeleza ushirikiana zaidi katika kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa migogoro...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani