Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mdau Ruger Kahwa akiwa na Balozi wa Papua New Guinea katika Umoja wa Mataifa

Mdau Ruger Kahwa  ambaye ni mkuu wa ofisi ya United Nations Office   for the Coordination of Humanitarian Affairs(UNOCHA) nchini Papua New Guinea  akiwa na balozi wa Papua new Guinea  katika Umoja  wa Mataifa , Amb. Robert Aisi (kulia) na mwakilishi wa FAO nchini Papua New Guinea(kushoto) mara  baada ya Balozi  Aisi kufanya mazungumzo na   PNG United Nations  Country Team.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mdau Ruger Kahwa akihani katika Ubalozi wa Malyasia nchini Papua New Guinea

Mdau Ruger  Kahwa ambaye ni mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia  uratibu wa majanga na misaada ya kibinadamu  nchini Papua New Guinea  akitia saini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa Malyasia  nchini Papua New Guinea kufuatia kutunguliwa  ndege ya nchi hiyo na kuua abiria wote nchini Ukraine.  

 

11 years ago

Michuzi

Mdau Ruger Kahwa Akihani msiba Ubalozi wa Malaysia nchini Papua New Guinea

Mdau Ruger Kahwa ambaye in mkuu wa ofisi ya umoja wa mataifa inayoshughulikia uratibu wa majanga na misaada ya kibinadamu nchini Papua New Guinea akitia saini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Malaysia nchini Papua New Guinea kufuatia kifo cha Sultan of Perak, His Royal Highness Sultan Azlan Muhibbuddin Shan Ibni Almarhum Sultan Yussuff Izzuddin Shan Ghafarullahu-Lah kilichotea Malaysia 28 May 2014.His Royal Highness served as the ninth King of Malaysia from...

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MKUU AKIWA KATIKA PICHA NA AFISA WA USALAMA WA UMOJA WA MATAIFA

Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Mohamed Chande Othman akiwa na Mlinzi wa Usalama katika Umoja wa Mataifa, Afisa Ally Baruti kutoka Tanzania, Mhe. Jaji Mkuu yupo hapa Umoja wa Mataifa akiongoza Jopo Huru la Wataalam wanaopitia na kuchambua taarifa mpya kuhusu kifo cha Bw. Dag Hammarskjold ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon alimteua Mhe. Jaji Mkuu kuongoza jopo hilo mwezi uliopita, ...

 

9 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA JK AKIWA UMOJA WA MATAIFA, NEW YORK, KWA MARA YA MWISHO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete jana jumanne amelihutubia kwa mara ya mwisho Baraza Kuu la 70 la Umoja wa Mtaifa akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.  Hotuba ya Mhe. Rais na ambayo iligusia mambo mengi ya kisiasa, kiuchumi, na maendeleo akitumia pia fursa hiyo kuwaanga viongozi wenzie na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompatia katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wake, iliwasisimua wajumbe wa mkutano huo kiasi cha kukatishwa mara...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Augustine Mahiga, balozi mstaafu Umoja wa Mataifa

Historia yake Dk Augustine Mahiga alizaliwa Agosti 28, 1945 huko Tosamanganga, Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa (atatimiza miaka 70 ifikapo Agosti mwaka huu). Amesoma elimu ya msingi katika shule za Serikali enzi ya mkoloni na alihitimu darasa la VIII muda mfupi baada ya uhuru. Safari ya elimu ya Dk Mahiga ilikuwa ya umaskini uliopitiliza, alishindwa kuendelea na elimu ya sekondari kwa kutokuwa na fedha za kulipia mashuka na mablanketi hadi aliposaidiwa na msamaria mwema kutoka Shirika la...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA KUDUMU WA UMOJA WA MATAIFA AUGUSTINE MAIGA AKUTANA NA RAIS DK.SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Balozi wa kudumu wa Umojawa Mataifa(mstaafu) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,New York,Marekani Mhe,Augustine Maiga alipofika Ikulu Mjini Unguja leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa kudumu wa Umojawa Mataifa(mstaafu) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,New York,Marekani Mhe,Augustine Maiga alipofika Ikulu Mjini Unguja...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Manongi aiongoza Kamati ya Sita ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

Balozi Tuvako Manongi ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sita ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, akimkaribisha Rais wa Baraza Kuu la 69 la Umoja wa Mataifa, Bw. Sam Kutesa ( wa kwanza kushoto) kuzungumza na wajumbe wa Kamati hiyo ya Sita ambayo jukumu lake ni kuratibu na kuendesha mijadala yote inayohusu masuala ya sheria. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndiyo mwenyekiti wa Kamati hiyo kwa kipindi cha mwaka moja. Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amekuwa akitembelea na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani