Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dkt. Salim akutana na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika DRC

Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU),Dkt. Salim Ahmed Salim akizungumza na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika DRC Balozi Said Djinit ambaye alimtembelea nyumbani kwake jana kusalimiana naye. Balozi Djinit aliwahi kuwa Msaidizi wa Mheshimiwa Salim Ahmed Salim wakati akiongoza OAU.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana Ban Ki Moon akimkaribisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenye ofisi yake iliyopo Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani jana tarehe 24/12/2013. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon akimwonyesha sehemu ya kukaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa ajili ya kufanya mazungumzo naye.…

 

11 years ago

GPL

MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA AOMBOLEZA VIFO VYA ABIRIA KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA

Balozi Tuvako  Manongi,akiandika katika kitabu  cha maombolezo kilichofunguliwa katika Uwakilishi wa Kudumu wa  Udachi ( Nertherlands) kuomboleza familia 298   ambazo maisha yao yamekatishwa baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria MH17 kuangushwa nchini Ukraine wiki iliyopita.
Balozi Manongi akiwaombea marehemu…

 

11 years ago

Michuzi

MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA AOMBOLEZA VIFO VYA ABIRIA KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA

Mhe. Balozi Tuvako Manongi, Muwakilishi wa Kudumu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, jana Jumatano ameungana na Mabalozi wengine wanaoziwakilishi Nchi zao katika Umoja wa Mataifa, kutia saini kitabu cha maombolezo kilichofunguliwa katika Uwakilishi wa Kudumu wa Udachi ( Netherlandes) katika Umoja wa Mataifa kuwakumbuka watu 298 waliopoteza maisha baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria ya MH17 inayomilikiwa la Shirika la Ndege la Malaysia ...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA AMPONGERA RAIS KIKWETE

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Ban Ki Moon.

 

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Mwakilishi wa IFAD nchini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberatta Mulamula akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa IFAD nchini Bw. Sana F.K. Jatta, alipokuja kumtembelea na kujadili juu ya ziara ya  Rais wa IFAD Mhe. Kanayo Nwanze mwezi Agosti 2015Mmoja wa wajumbe aliyeambatana na Bw. Jatta akifafanua jambo kwa Balozi Mulamula.Mazungumzo yakiendelea

 

11 years ago

Michuzi

Dkt. Salim Ahmed Salim akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri

Waziri Mkuu Mstaafu,Dkt. Salim Ahmed Salim akiwa katika mazungumzo na mgeni wake ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri,Balozi Nabil Fahmy wakati alipomtembelea nyumbani kwake leo Jumamosi 22 Februari 2014. Waziri Mkuu Mstaafu,Dkt. Salim Ahmed Salim na mgeni wake Wakiangalia picha za ukumbusho. Picha ya pili juu kushoto Dr Salim akiwakilisha credentials zake kwa Rais wa Zamani wa Misri, Gamal Abdul Nasser akiwa kama balozi wa Kwanza wa Tanzania nchini humo.

 

9 years ago

Vijimambo

Kaimu Katibu Mkuu azungumza na waandishi wa Habari kuhusu Wiki ya Umoja wa Mataifa

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Simba Yahaya (wa pili kutoka kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa. Pamoja kwenye picha ni Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez (wa kwanza kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na...

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MKUU AKIWA KATIKA PICHA NA AFISA WA USALAMA WA UMOJA WA MATAIFA

Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Mohamed Chande Othman akiwa na Mlinzi wa Usalama katika Umoja wa Mataifa, Afisa Ally Baruti kutoka Tanzania, Mhe. Jaji Mkuu yupo hapa Umoja wa Mataifa akiongoza Jopo Huru la Wataalam wanaopitia na kuchambua taarifa mpya kuhusu kifo cha Bw. Dag Hammarskjold ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon alimteua Mhe. Jaji Mkuu kuongoza jopo hilo mwezi uliopita, ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani