Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA AOMBOLEZA VIFO VYA ABIRIA KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA

Mhe. Balozi Tuvako Manongi, Muwakilishi wa Kudumu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, jana Jumatano ameungana na Mabalozi wengine wanaoziwakilishi Nchi zao katika Umoja wa Mataifa, kutia saini kitabu cha maombolezo kilichofunguliwa katika Uwakilishi wa Kudumu wa Udachi ( Netherlandes) katika Umoja wa Mataifa kuwakumbuka watu 298 waliopoteza maisha baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria ya MH17 inayomilikiwa la Shirika la Ndege la Malaysia ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA AOMBOLEZA VIFO VYA ABIRIA KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA

Balozi Tuvako  Manongi,akiandika katika kitabu  cha maombolezo kilichofunguliwa katika Uwakilishi wa Kudumu wa  Udachi ( Nertherlands) kuomboleza familia 298   ambazo maisha yao yamekatishwa baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria MH17 kuangushwa nchini Ukraine wiki iliyopita.
Balozi Manongi akiwaombea marehemu…

 

11 years ago

GPL

NEWCASTLE YAOMBOLEZA VIFO VYA MASHABIKI WAKE 2 WALIOKUWA KATIKA NDEGE YA MALAYSIA

Eneo maalum ilipo sanamu ya Sir Bobby Robson iliyotengwa kwa ajili ya mashabiki kutoa salamu zao za mwisho kwa mashabiki John na Liam. TIMU ya Newcastle United inaomboleza vifo vya mashabiki wake wawili John Alder (60) na Liam Sweeney (28) waliofariki katika ajali ya ndege ya Malaysia iliyolipuliwa jana huko mashariki mwa Ukraine na kuua watu wote 298 waliokuwemo ndani yake. Mashabiki hao walikuwa wakielekea New Zealand ambapo...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Salim akutana na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika DRC

Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU),Dkt. Salim Ahmed Salim akizungumza na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika DRC Balozi Said Djinit ambaye alimtembelea nyumbani kwake jana kusalimiana naye. Balozi Djinit aliwahi kuwa Msaidizi wa Mheshimiwa Salim Ahmed Salim wakati akiongoza OAU.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA

Balozi wa Tanzania BELUX na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala akisaini Kitabu cha Maombolezo ya waliofariki katika ajali ya ndege ya Malaysia. Kitabu hicho kimefunguliwa leo hii katika Ubalozi wa Malaysia Brussels.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Abiria kuvaa barakoa na glovu katika viwanja vya ndege

Abiria wanaosafiri katika viwanja kadhaa vya ndege vya Uingereza sasa watahitajika kuvalia barakoa na glavu kwa sababu ya maradhi ya Covid- kumi na tisa

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA WIKI HII

Mkurugenzi wa  Idara ya  Masuala ya Sheria,  Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Balozi Irene Kasyanju akiwa na Kanali, Dkt. Edward Masalla kutoka Jeshi wa  Wananchi wa Tanzania ( JWTZ) na Afika Mkuu wa  Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Bw. Abdalla Khamis,  timu hii  ndiyo iliyoiwakilisha  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  katika  mkutano wa Marejeo wa Mkataba wa  Silaha za Nyukilia  (NP 2015) mkutano huu  ambao kwa kawaida hufanyika kwa wiki nne...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aomboleza vifo vya watu 18 kufuatia ajali iliyotokea eneo la Pandambili, Dodoma

BASI LA MOROBEST BAADA YA KUPATA AJALI 4

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi kufuatia ajali iliyotokea tarehe 30 Julai, 2014 katika eneo la Pandambili, Wilayani Kongwa na kuua watu wapatao 18.

Katika ajali hiyo, watu 13 walifariki katika eneo la ajali, na majeruhi wapatao 56 walifikishwa hospitalini. Kati ya majeruhi hao hadi sasa waliolazwa ni 30 na wengine wameruhusiwa baada ya kupata matibabu.

Rais amemuomba Dkt. Nchimbi kumfikishia rambirambi zake za dhati kwa...

 

11 years ago

Michuzi

USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA MIKUTANO INAYOENDELEA HAPA UMOJA WA MATAIFA

 Na Mwandishi Maalum   Wajumbe wanaoiwakilisha Tanzania katika Mkutano wa 45 wa Kamisheni ya Takwimu ya Umoja wa Mataifa na Mkutano wa wazi wa Tisa wa Kikosi Kazi kuhusu mapendekezo ya ajenda za malengo mpya ya maendeleo endelevu baada ya 2015 ( SDGs), wamendelea kutetea maslahi ya Tanzania kwa kushiriki na kuchangia majadiliano ya mada mbalimbali zinazohusiana na mikutano hiyo.   Akichangia katika mada iliyohusu Technolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) ambayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani