TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA WIKI HII

Mkurugenzi wa Idara ya Masuala ya Sheria, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Irene Kasyanju akiwa na Kanali, Dkt. Edward Masalla kutoka Jeshi wa Wananchi wa Tanzania ( JWTZ) na Afika Mkuu wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Bw. Abdalla Khamis, timu hii ndiyo iliyoiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano wa Marejeo wa Mkataba wa Silaha za Nyukilia (NP 2015) mkutano huu ambao kwa kawaida hufanyika kwa wiki nne...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA AOMBOLEZA VIFO VYA ABIRIA KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA
11 years ago
GPL
MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA AOMBOLEZA VIFO VYA ABIRIA KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA
11 years ago
Michuzi.jpg)
USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA MIKUTANO INAYOENDELEA HAPA UMOJA WA MATAIFA
11 years ago
Michuzi.jpg)
TUTENDELEA KUSHIRIKANA NA UMOJA WA MATAIFA KATIKA ULINZI WA AMANI-TANZANIA
11 years ago
GPL
TUTANDELEA KUSHIRIKANA NA UMOJA WA MATAIFA KATIKA ULINZI WA AMANI - TANZANIA
5 years ago
Michuzi
SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LAPONGEZA JUHUDI ZA TANZANIA KATIKA KUPAMBANA NA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA
KAIMU Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya nchini James Kaji amesema kuwa Tanzania imefanikiwa kupunguza kwa asilimia 90 uingizwaji wa dawa za kulevya nchini kupitia ukanda wa Bahari ya Hindi na kwamba Serikali ya Awamu ya Tano imepongezwa na Umoja wa Mataifa kupitia Shirika lake la UNODC linaloshughulika na dawa hizo na uhalifu kutokana na kutambua juhudi zake katika kukomesha biashara hiyo.
Akizungumza leo...
10 years ago
Michuzi.jpg)
sumaye atembelea oisi za mwakilshi wa kudumu wa tanzania katika umoja wa mataifa jijini New york
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuzisupermodel flaviana matata atembelea ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York
Picha ya chini Flaviana akiwa na maafisa wa ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York.
11 years ago
MichuziWiki ya Umoja wa Mataifa kuadhimisha miaka 69 yazinduliwa