Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWCASTLE YAOMBOLEZA VIFO VYA MASHABIKI WAKE 2 WALIOKUWA KATIKA NDEGE YA MALAYSIA

Eneo maalum ilipo sanamu ya Sir Bobby Robson iliyotengwa kwa ajili ya mashabiki kutoa salamu zao za mwisho kwa mashabiki John na Liam. TIMU ya Newcastle United inaomboleza vifo vya mashabiki wake wawili John Alder (60) na Liam Sweeney (28) waliofariki katika ajali ya ndege ya Malaysia iliyolipuliwa jana huko mashariki mwa Ukraine na kuua watu wote 298 waliokuwemo ndani yake. Mashabiki hao walikuwa wakielekea New Zealand ambapo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA AOMBOLEZA VIFO VYA ABIRIA KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA

Balozi Tuvako  Manongi,akiandika katika kitabu  cha maombolezo kilichofunguliwa katika Uwakilishi wa Kudumu wa  Udachi ( Nertherlands) kuomboleza familia 298   ambazo maisha yao yamekatishwa baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria MH17 kuangushwa nchini Ukraine wiki iliyopita.
Balozi Manongi akiwaombea marehemu…

 

11 years ago

Michuzi

MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA AOMBOLEZA VIFO VYA ABIRIA KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA

Mhe. Balozi Tuvako Manongi, Muwakilishi wa Kudumu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, jana Jumatano ameungana na Mabalozi wengine wanaoziwakilishi Nchi zao katika Umoja wa Mataifa, kutia saini kitabu cha maombolezo kilichofunguliwa katika Uwakilishi wa Kudumu wa Udachi ( Netherlandes) katika Umoja wa Mataifa kuwakumbuka watu 298 waliopoteza maisha baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria ya MH17 inayomilikiwa la Shirika la Ndege la Malaysia ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ethiopia yaomboleza vifo vya Raia wake

Ethiopia imeanza siku tatu za maombolezo ya raia wake zaidi ya ishirini waliouawa kinyama na magaidi wa Islamic State nchini Libya

 

10 years ago

BBCSwahili

Kuwait yaomboleza vifo vya watu 27

Maombolezi yanaendelea nchini Kuwait kuwakumbuka watu 27 waliouawa kwenye shambulizi la kujitoa mhanga ndani ya msikiti wa kishia

 

11 years ago

GPL

SIKU YA 17 KUPOTEA NDEGE YA MALAYSIA: NDEGE YA MALAYSIA ILIRUKA CHINI YA FUTI 12,000

Naibu Waziri Mkuu wa Malaysia, Warren Truss, kulia, akizungumza na ofisa wa juu ya kikosi cha uokoaji na mratibu wa operesheni ya kuitafuta ndege iliyopotea, John Rice. Wataalamu wa Rada wakiwa wamepigwa picha ndani ya ndege ya Kijeshi ya New Zealand wakiwa katika msako wa chombo hicho kilichopotea Kusini mwa bahari ya…

 

10 years ago

BBCSwahili

Malaysia yaomboleza abiria wa MH17

Miili ya abiria 20 walioangamia katika mkasa wa ndege ya Malaysia ya MH17 imewasili Kual Lumpur

 

5 years ago

BBCSwahili

Thai Airways: Mama na watoto wake ni 'wanene sana' kukalia viti vya daraja la kwanza katika ndege

Wanawake watatu wanapigania kurudishiwa fedha zao bada ya kampuni ya ndege ya Thai kuwalazimu kukalia viti vya kawaida

 

11 years ago

GPL

MAOFISA WA MALAYSIA WAKABIDHIWA VIFAA VYA KUTUNZA KUMBUKUMBU YA NDEGE ILIYOLIPULIWA

Mwanajeshi wa wapiganaji wanaoiunga mkono Urusi akikabidhi mojawapo ya vifaa vya kutunza kumbukumbu (black boxes) vya ndege ya Malaysia MH17 iliyolipuliwa kwa maofisa wa Malaysia.
Vifaa viwili vya kutunza kumbukumbu (black boxes) vya ndege ya Malaysia vilivyokabidhiwa.…

 

11 years ago

GPL

WAHOLANZI 154 WAPOTEZA MAISHA KATIKA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOLIPULIWA NA KUUA 298

Ndege ya Malysia aina ya Boeing 777-200 ikiteketea kwa moto baada ya kulipuliwa. Mmoja wa waasi wanaoiunga mkono Urusi akiwa eneo la ndege iliyolipuliwa.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani