Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malaysia yaomboleza abiria wa MH17

Miili ya abiria 20 walioangamia katika mkasa wa ndege ya Malaysia ya MH17 imewasili Kual Lumpur

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Picha: Ndege ya Malaysian Airlines MH17 yadunguliwa na kuuwa abiria wote 295

Ndege ya abiria ya shirika la Malaysian Airlines yenye namba MH17 aina ya boeing 777 imeanguka katika eneo la mpaka wa Urusi na Ukraiane, na kusababisha vifo vya abiria wote 295 waliokuwemo kwenye ndege hiyo. Mabaki ya ndege hiyo katika eneo la ajali Ndege hiyo iliyokuwa ikitokea Amsterdam kuelekea Kuala Lumpur inadaiwa kuwa imedunguliwa na […]

 

11 years ago

Bongo5

Simu za abiria waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya MH17 zinapokelewa na watu walioziiba

Familia za abiria waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya MH17 wanasema simu za wapendwa wao zinapokelewa na wezi waliozichukuia kwenye eneo ilipoangakua ndege hiyo nchini Ukraine. Baadhi ya vitu vilivyosambaa baada ya ndege hiyo kudunguliwa na kuanguka Ndugu hao waliopiga simu za wapendwa wao, wameliambia gazeti moja la Uholanzi kuwa simu hizo zinapokelewa na […]

 

11 years ago

GPL

NEWCASTLE YAOMBOLEZA VIFO VYA MASHABIKI WAKE 2 WALIOKUWA KATIKA NDEGE YA MALAYSIA

Eneo maalum ilipo sanamu ya Sir Bobby Robson iliyotengwa kwa ajili ya mashabiki kutoa salamu zao za mwisho kwa mashabiki John na Liam. TIMU ya Newcastle United inaomboleza vifo vya mashabiki wake wawili John Alder (60) na Liam Sweeney (28) waliofariki katika ajali ya ndege ya Malaysia iliyolipuliwa jana huko mashariki mwa Ukraine na kuua watu wote 298 waliokuwemo ndani yake. Mashabiki hao walikuwa wakielekea New Zealand ambapo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ndege ya Malaysia yapotea na abiria 239

Juhudi za kimataifa zinaendelea kutafuta ndege ya shirika la ndege la Malaysia iyokuwa na abiria 239 ambayo imepotelea baharini.

 

11 years ago

BBCSwahili

Jamaa wa abiria wataka ukweli Malaysia

Jamaa wa abiria wa ndege ya Malaysia iliyopotea wataka wakuu wa Malaysia wajibu maswali yao

 

11 years ago

Michuzi

MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA AOMBOLEZA VIFO VYA ABIRIA KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA

Mhe. Balozi Tuvako Manongi, Muwakilishi wa Kudumu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, jana Jumatano ameungana na Mabalozi wengine wanaoziwakilishi Nchi zao katika Umoja wa Mataifa, kutia saini kitabu cha maombolezo kilichofunguliwa katika Uwakilishi wa Kudumu wa Udachi ( Netherlandes) katika Umoja wa Mataifa kuwakumbuka watu 298 waliopoteza maisha baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria ya MH17 inayomilikiwa la Shirika la Ndege la Malaysia ...

 

11 years ago

GPL

MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA AOMBOLEZA VIFO VYA ABIRIA KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA

Balozi Tuvako  Manongi,akiandika katika kitabu  cha maombolezo kilichofunguliwa katika Uwakilishi wa Kudumu wa  Udachi ( Nertherlands) kuomboleza familia 298   ambazo maisha yao yamekatishwa baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria MH17 kuangushwa nchini Ukraine wiki iliyopita.
Balozi Manongi akiwaombea marehemu…

 

11 years ago

GPL

SIKU YA KUMI NA MOJA BAADA YA NDEGE KUPOTEA: NDUGU WA ABIRIA WA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA WAISHUTUMU SERIKALI

Wanawake wawili (mmoja hayupo pichani) wakiondolewa kwa nguvu kwenye mkutano wa waandishi wa habari ambao ulipangwa kufanyika leo mjini Kuala Lumpur.  Wanawake hao ni baadhi ya ndugu ‘waliopotea’ katika ndege aina ya Boeing 777 namba MH370 iliyopotea zaidi ya siku 10 zilizopita ambao wameilaumu serikali ya Malaysia kwa kutowaambia ukweli na kuwazungusha kuhusu juhudi za kweli kuhusiana na ndugu zao.… ...

 

11 years ago

Michuzi

Ubalozi wa Tanzania Malaysia wakutana na wafanyabiashara wa Malaysia (MEXPA)

Ubalozi wa Tanzania leo hii ulikutana na kufanya Manzungumzo ya pamoja kuangalia fursa za Kiuchumi zilizipo Tanzania na na kikundi na uongozi wa Malaysian Exporters Association.(MEXPA) Kwenye picha ya pamoja baada ya mazungumzo hayo kutoka kushoto ni: Mr. Rogathian Shao,  Naibu Mkurugenzi na Balozi Mdogo, Dr. S. P.Dhanabalan Makamu wa Rais wa Kuala Lumpur & Selangor Indian Chamber of Commerce and Industry, Ms. Puan severan Dhalliwal- Makamu wa Rais wa MEXPA, Mr. Abdul Kabur Ibrahim-Rais...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani