Ndege ya Malaysia yapotea na abiria 239
Juhudi za kimataifa zinaendelea kutafuta ndege ya shirika la ndege la Malaysia iyokuwa na abiria 239 ambayo imepotelea baharini.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria yapotea katika rada, yaanguka na abiria 116
Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria (Air Algerie) iliyopoteza mawasiliano ya Rada katika anga la Mali mapema leo ikiwa na abiria 116 na watumishi sita imeanguka, Shirika la Habari la Reuters linaripoti.
10 years ago
BBCSwahili28 Dec
Ndege ya AirAsia yapotea na abiria 160
Shirika la ndege la AirAsia linasema kuwa limeanzisha shughuli ya kuitafuta ndege yake iliyopoteza mawasiliano
11 years ago
GPL
SIKU YA KUMI NA MOJA BAADA YA NDEGE KUPOTEA: NDUGU WA ABIRIA WA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA WAISHUTUMU SERIKALI
Wanawake wawili (mmoja hayupo pichani) wakiondolewa kwa nguvu kwenye mkutano wa waandishi wa habari ambao ulipangwa kufanyika leo mjini Kuala Lumpur. Wanawake hao ni baadhi ya ndugu ‘waliopotea’ katika ndege aina ya Boeing 777 namba MH370 iliyopotea zaidi ya siku 10 zilizopita ambao wameilaumu serikali ya Malaysia kwa kutowaambia ukweli na kuwazungusha kuhusu juhudi za kweli kuhusiana na ndugu zao.… ...
11 years ago
GPL
SIKU YA 17 KUPOTEA NDEGE YA MALAYSIA: NDEGE YA MALAYSIA ILIRUKA CHINI YA FUTI 12,000
Naibu Waziri Mkuu wa Malaysia, Warren Truss, kulia, akizungumza na ofisa wa juu ya kikosi cha uokoaji na mratibu wa operesheni ya kuitafuta ndege iliyopotea, John Rice. Wataalamu wa Rada wakiwa wamepigwa picha ndani ya ndege ya Kijeshi ya New Zealand wakiwa katika msako wa chombo hicho kilichopotea Kusini mwa bahari ya…
11 years ago
Michuzi
MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA AOMBOLEZA VIFO VYA ABIRIA KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA
Mhe. Balozi Tuvako Manongi, Muwakilishi wa Kudumu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, jana Jumatano ameungana na Mabalozi wengine wanaoziwakilishi Nchi zao katika Umoja wa Mataifa, kutia saini kitabu cha maombolezo kilichofunguliwa katika Uwakilishi wa Kudumu wa Udachi ( Netherlandes) katika Umoja wa Mataifa kuwakumbuka watu 298 waliopoteza maisha baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria ya MH17 inayomilikiwa la Shirika la Ndege la Malaysia ...
11 years ago
GPL
MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA AOMBOLEZA VIFO VYA ABIRIA KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA
Balozi Tuvako Manongi,akiandika katika kitabu cha maombolezo kilichofunguliwa katika Uwakilishi wa Kudumu wa Udachi ( Nertherlands) kuomboleza familia 298  ambazo maisha yao yamekatishwa baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria MH17 kuangushwa nchini Ukraine wiki iliyopita.
Balozi Manongi akiwaombea marehemu…
11 years ago
GPL
PICHA SI ZA MABAKI YA NDEGE YA MALAYSIA - MAOFISA WA MALAYSIA
Waziri wa ulinzi Hishammuddin Hussein (katikati) akikanusha madai ya ndege kukaa masaa manne hewani kabla ya kupotea.…
10 years ago
CloudsFM29 Dec
NDEGE YA AIRASIA QZ8501 YAPOTEA IKIWA NA WATU 162
Ndege ya AirAsia, QZ8501iliyopoteza mawasiliano ikiwa na watu 162 ikitokea Indonesia kwenda Singapore.


Kati ya watu hao 162, abiria walikuwa 155, marubani 2 na wafanyakazi wa ndege hiyo 5. Watu 157 ni raia wa Indonesia, 3 raia wa Korea Kusini, 1 kutoka Malaysia na 1 raia wa Singapore.
Imeelezwa kuwa kabla ya ndege hiyo kupoteza mawasiliano, rubani aliomba kubadili uelekeo wa...
10 years ago
Bongo528 Dec
Ndege ya shirika la AirAsia yapotea, ilikuwa na watu 162
Ndege ya shirika la AirAsia Indonesia iliyokuwa ikisafiri kutoka Indonesia kwenda Singapore ikiwa na watu 162 ndani yake imepotea. Ndege hiyo aina ya Airbus A320-200, ilipotea katikati ya safari yake zaidi ya masaa mawili kutoka mji wa Surabaya. Hali mbaya ya hewa iliripotiwa kutoka kwenye eneo hilo na shughuli za uokozi zimesitishwa hadi Jumatatu asubuhi. […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania