Ndege ya AirAsia yapotea na abiria 160
Shirika la ndege la AirAsia linasema kuwa limeanzisha shughuli ya kuitafuta ndege yake iliyopoteza mawasiliano
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo28 Dec
KUNA NINI AIRASIA NDEGE NYINGINE IKIWA NA ABIRIA 160 YA POTEA
Ndege ya AirAsia
Shirika la ndege la AirAsia linasema kuwa limeanzisha shughuli ya kuitafuta ndege yake iliyopoteza mawasiliano na kituo cha kuelekeza safari za ndege dakika 45 baada ya kuondoka kwenye mji wa Surabaya nchini Indonesia.Zadi ya watu 160 walikuwa ndani ya ndege hiyo ya Airbus 320 iliyokuwa safarini kwenda nchini Singapore.
Wengi wa abiria waliokuwa ndani ya ndege hiyo wanatoka nchini Indonesia.
Msemaji wa wizara ya usafiri nchini Indonesia amesema mawasiliano yalipotea kati ya...
10 years ago
CloudsFM29 Dec
NDEGE YA AIRASIA QZ8501 YAPOTEA IKIWA NA WATU 162
Ndege ya AirAsia, QZ8501iliyopoteza mawasiliano ikiwa na watu 162 ikitokea Indonesia kwenda Singapore.
NDEGE ya AirAsia, QZ8501 iliyokuwa na watu 162 ikitokea Indonesia kwenda Singapore imepoteza mawasiliano leo asubuhi.Kati ya watu hao 162, abiria walikuwa 155, marubani 2 na wafanyakazi wa ndege hiyo 5. Watu 157 ni raia wa Indonesia, 3 raia wa Korea Kusini, 1 kutoka Malaysia na 1 raia wa Singapore.
Imeelezwa kuwa kabla ya ndege hiyo kupoteza mawasiliano, rubani aliomba kubadili uelekeo wa...
10 years ago
Bongo528 Dec
Ndege ya shirika la AirAsia yapotea, ilikuwa na watu 162
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria yapotea katika rada, yaanguka na abiria 116
10 years ago
GPLMAJANGA MWISHONI MWA MWAKA 2014: NDEGE YA AIRASIA QZ8501 YAPOTEA IKIWA NA WATU 162
11 years ago
BBCSwahili08 Mar
Ndege ya Malaysia yapotea na abiria 239
10 years ago
GPLMKIA WA NDEGE YA AIRASIA QZ8501 WAPATIKANA
10 years ago
GPLMABAKI YA NDEGE YA AIRASIA QZ8501 YAZIDI KUPATIKANA
11 years ago
CloudsFM24 Jul
Just In: Ndege ya Algeria yenye watu 116 yapotea angani, haionekani kwenye radar
Ndege ya shirika la Air Algerie la Algeria iliyokuwa ikitoka nchini Burkina Faso kwenda Algiers imepotea kwenye radar mapema leo.
Mamlaka inayohusika na uchunguzi wa anga imesema imepoteza mawasiliano na ndege hiyo saa 0155 GMT, au dakika 50 baada ya kupaa. Hiyo ina maana kuwa ndege hiyo imepotea kwa saa kadhaa kabla ya habari hiyo kujulikana.
Ndege hiyo ilikuwa ikitoka Ouagadougou, mji mkuu wa Burkina Faso.