Ndege ya shirika la AirAsia yapotea, ilikuwa na watu 162
Ndege ya shirika la AirAsia Indonesia iliyokuwa ikisafiri kutoka Indonesia kwenda Singapore ikiwa na watu 162 ndani yake imepotea. Ndege hiyo aina ya Airbus A320-200, ilipotea katikati ya safari yake zaidi ya masaa mawili kutoka mji wa Surabaya. Hali mbaya ya hewa iliripotiwa kutoka kwenye eneo hilo na shughuli za uokozi zimesitishwa hadi Jumatatu asubuhi. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM29 Dec
NDEGE YA AIRASIA QZ8501 YAPOTEA IKIWA NA WATU 162
Ndege ya AirAsia, QZ8501iliyopoteza mawasiliano ikiwa na watu 162 ikitokea Indonesia kwenda Singapore.


Kati ya watu hao 162, abiria walikuwa 155, marubani 2 na wafanyakazi wa ndege hiyo 5. Watu 157 ni raia wa Indonesia, 3 raia wa Korea Kusini, 1 kutoka Malaysia na 1 raia wa Singapore.
Imeelezwa kuwa kabla ya ndege hiyo kupoteza mawasiliano, rubani aliomba kubadili uelekeo wa...
10 years ago
GPL
MAJANGA MWISHONI MWA MWAKA 2014: NDEGE YA AIRASIA QZ8501 YAPOTEA IKIWA NA WATU 162
10 years ago
GPL
UPDATES: NDEGE YA AIRASIA QZ8501 ILIYOPOTEA NA WATU 162
10 years ago
BBCSwahili28 Dec
Ndege ya AirAsia yapotea na abiria 160
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria yapotea katika rada, yaanguka na abiria 116
11 years ago
CloudsFM24 Jul
Just In: Ndege ya Algeria yenye watu 116 yapotea angani, haionekani kwenye radar
Ndege ya shirika la Air Algerie la Algeria iliyokuwa ikitoka nchini Burkina Faso kwenda Algiers imepotea kwenye radar mapema leo.
Mamlaka inayohusika na uchunguzi wa anga imesema imepoteza mawasiliano na ndege hiyo saa 0155 GMT, au dakika 50 baada ya kupaa. Hiyo ina maana kuwa ndege hiyo imepotea kwa saa kadhaa kabla ya habari hiyo kujulikana.
Ndege hiyo ilikuwa ikitoka Ouagadougou, mji mkuu wa Burkina Faso.
10 years ago
TheCitizen29 Dec
AirAsia plane with 162 on board missing: reports
11 years ago
BBCSwahili08 Mar
Ndege ya Malaysia yapotea na abiria 239
10 years ago
Vijimambo05 Mar
NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK