SIKU YA 17 KUPOTEA NDEGE YA MALAYSIA: NDEGE YA MALAYSIA ILIRUKA CHINI YA FUTI 12,000
![](http://api.ning.com:80/files/72Jod1iYAGFMwh5Ceg7BXEC662X9vMFXEnx1z9OTx*7cfJZorojLiN4FpgOdi*Lmfz-hdnOtWfQ4ZoBEkxbiQdjbhCS99Mb2/NDEGEKUPOTEA1.jpg?width=650)
Naibu Waziri Mkuu wa Malaysia, Warren Truss, kulia, akizungumza na ofisa wa juu ya kikosi cha uokoaji na mratibu wa operesheni ya kuitafuta ndege iliyopotea, John Rice. Wataalamu wa Rada wakiwa wamepigwa picha ndani ya ndege ya Kijeshi ya New Zealand wakiwa katika msako wa chombo hicho kilichopotea Kusini mwa bahari ya…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*X48WsmNc23pmAB6oPcDv5ITM4Ut6B81jkUWsZQnbW89vUcnUyeltPn5O34Ge4z1GYQDZKo3PdFtKSkDX--vxEg/article25841331C69423300000578784_634x422.jpg?width=650)
SIKU YA KUMI NA MOJA BAADA YA NDEGE KUPOTEA: NDUGU WA ABIRIA WA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA WAISHUTUMU SERIKALI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nGTcCv7erQJztPvYEO8BtIHnOD347wEbr7SSq1*mkURHWebGooYSR2Wlx-MBqGDBqs6TxvgbuyVoQQ3ADdpTN6BAn6kQgAHj/malaysiaairlinesmh370.jpg?width=650)
UTATA WAZIDI KUPOTEA KWA NDEGE YA MALAYSIA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hiOw4xekqhmxEpcM5NKRVYcj176nP8jC-vTe3qNFifzWYnR5EQTf7ojf7oMxlcw7TcPYwDNzLwhsgz7N*Z-WuHrnkLrGeUNq/MH3701.jpg?width=650)
PICHA SI ZA MABAKI YA NDEGE YA MALAYSIA - MAOFISA WA MALAYSIA
10 years ago
Vijimambo30 Jul
MABAKI YA NDEGE YANAYOSEMEKANA NI YA NDEGE YA MALAYSIA
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/03/07/150307074359_mh370_512x288_non_nocredit.jpg)
Mamlaka ya usafirishaji nchini Ufaransa imesema inachunguza mabaki ya ndege ya yanayodaiwa kupatikana ndani ya Bahari ya Hindi yanachunguzwa ili kubaini kama ni ya ndege ya Malaysia ya MH370 iliyopotea bila kuwa na taarifa zozote kwa muda mrefusasa.
Taarifa kutoka Marekani zinasema wachunguzihao ambao wameona picha za mabaki hayo wana uhakika mkubwa kwamba ni ya ndege hiyo ya Malaysia ambapo mabaki hayo ni sehemu ya bawa la ndege.
Hata hivyo,...
11 years ago
BBCSwahili11 Mar
Ndege ya Malaysia haijapatikana
11 years ago
BBCSwahili24 Mar
Malaysia:Ndege ilianguka baharini
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k4J3V8U2tthMImFbr1mtds3G0KPEEGyOdXKRqscgwM7211NoquHIVwTXMRa8duUGczs9xfJVzl0iAL*XanmEI5z/1.jpg?width=650)
MIILI YA NDEGE YA MALAYSIA YASAFIRISHWA
11 years ago
BBCSwahili20 Mar
Mabaki ya ndege ya Malaysia hayajapatikana
11 years ago
CloudsFM29 May
NDEGE YA MALAYSIA YATENGENEZEWA MOVIE
Wakati wataalamu wanaendelea kuitafuta Boeng 777 ile ndege ya nchini Malaysia iliyopotea tarehe 8 March ikiwa na abiria 239.
Indian Film Director Rupesh Paul amewaambia hollywood reporter kuwa anatengeneza movie inayohusu ndege ya Malaysia MH370,
Movie itaitwa Vanishing Act na kwa mujibu wa Pupesh anasema movie hiyo haitowaumiza familia za abiria waliopotea na ndege hiyo, na wala hailengi kuharibu uchunguzi unaoendelea.
Na director anaamini itasaidia katika uchunguzi huo, na movie tayari...