Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTATA WAZIDI KUPOTEA KWA NDEGE YA MALAYSIA

Ndege ya Malaysia iliyopotea MH370.
Machi 8, mwaka huu dunia ilisikia vilio vingi kutoka Beijing, China na Kuala Lumpur, Malaysia. Ndugu, jamaa na marafiki walikusanyika viwanja vya ndege wakiwalilia ndugu zao waliopotea kwenye ndege ya Shirika la Ndege la Malaysia, Malaysia Airlines. Baadhi ya ndugu wa abiria waliopotea na ndege MH370. Ilikuwa hivi; ndege hiyo iliyokuwa ikifanya safari namba Flight… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SIKU YA 17 KUPOTEA NDEGE YA MALAYSIA: NDEGE YA MALAYSIA ILIRUKA CHINI YA FUTI 12,000

Naibu Waziri Mkuu wa Malaysia, Warren Truss, kulia, akizungumza na ofisa wa juu ya kikosi cha uokoaji na mratibu wa operesheni ya kuitafuta ndege iliyopotea, John Rice. Wataalamu wa Rada wakiwa wamepigwa picha ndani ya ndege ya Kijeshi ya New Zealand wakiwa katika msako wa chombo hicho kilichopotea Kusini mwa bahari ya…

 

11 years ago

GPL

SIKU YA KUMI NA MOJA BAADA YA NDEGE KUPOTEA: NDUGU WA ABIRIA WA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA WAISHUTUMU SERIKALI

Wanawake wawili (mmoja hayupo pichani) wakiondolewa kwa nguvu kwenye mkutano wa waandishi wa habari ambao ulipangwa kufanyika leo mjini Kuala Lumpur.  Wanawake hao ni baadhi ya ndugu ‘waliopotea’ katika ndege aina ya Boeing 777 namba MH370 iliyopotea zaidi ya siku 10 zilizopita ambao wameilaumu serikali ya Malaysia kwa kutowaambia ukweli na kuwazungusha kuhusu juhudi za kweli kuhusiana na ndugu zao.… ...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KUPOTEA KWA BIBI HUSNA NCHINI MALAYSIA .

Tunamtafuta Bibi Husna ambaye asili ya kimalaysia, aliolewa na Mtanzania Baba yake ambaye kwa sasa ni marehemu alikuwa ni Bw. Said Abdullah Belwal.
Kwa taarifa Husna ni Muuguzi (Nurse) ila haifahamiki hospitali gani na mji gani.
Mume wake ni Mwanajeshi na ndoa yao ilifungwa kijeshi.  Tafadhali atapopata tangazo hili au yeyote mwenye taarifa zake awasiliane na namba hizi Mob: +60102987357 Tel: +60342517603 Kuala Lumpur, Malaysia Email: apoloniamwangosi@yahoo.com

 

11 years ago

Michuzi

DAKIKA 90: Kupotea kwa Air Malaysia na takwimu za usalama wa anga duniani

Ndege aina ya Boeing 777 ya Malaysia Airlines ikiruka kutoka Roissy-Charles de Gaulle Airport nchini Ufaransa mwaka 2011. Photo Credits: PressTv Wakati harakati za kutafuta ndege ya Shirika la ndege la Malaysia iliyopotea zikizidi kushika kasi na kuvunja rekodi ya kushirikisha mataifa mengi duniani, baadhi ya takwimu kuhusu hali ya usalama wa safari za anga duniani zimezidi kuibuka na kufungua macho ya wengi waliokuwa wakiamini kuwa tukio hili ni la kwanza na / ama miongoni mwa machache...

 

11 years ago

GPL

PICHA SI ZA MABAKI YA NDEGE YA MALAYSIA - MAOFISA WA MALAYSIA

Waziri wa ulinzi Hishammuddin Hussein (katikati) akikanusha madai ya ndege kukaa masaa manne hewani kabla ya kupotea.…

 

10 years ago

Vijimambo

MABAKI YA NDEGE YANAYOSEMEKANA NI YA NDEGE YA MALAYSIA

Ndege ya Malaysia iliyopotea yaBoing 777 , MH370
Mamlaka ya usafirishaji nchini Ufaransa imesema inachunguza mabaki ya ndege ya yanayodaiwa kupatikana ndani ya Bahari ya Hindi yanachunguzwa ili kubaini kama ni ya ndege ya Malaysia ya MH370 iliyopotea bila kuwa na taarifa zozote kwa muda mrefusasa.

Taarifa kutoka Marekani zinasema wachunguzihao ambao wameona picha za mabaki hayo wana uhakika mkubwa kwamba ni ya ndege hiyo ya Malaysia ambapo mabaki hayo ni sehemu ya bawa la ndege.

Hata hivyo,...

 

11 years ago

Mwananchi

Ndege nne ziliwahi kupotea Tanzania

>Wakati tukio la kupotea kwa ndege ya Shirika la Ndege la Malaysia, MH370, linaendelea kuitikisa dunia, imebainika kuwa Tanzania si jambo jipya kutokana na kuwapo kwa kumbukumbu ya matukio manne tofauti kama hayo katika miongo minane iliyopita

 

9 years ago

BBCSwahili

Utata wazidi kuhusu mawaziri Zanzibar

Utata umezingira hatima ya mawaziri katika serikali ya visiwani Zanzibar baada ya kuongezewa muda kwa rais wa visiwani kutokana na utata kuhusu matokeo ya uchaguzi.

 

11 years ago

Mwananchi

Utata wazidi kugubika kifo cha mtumishi wa ndani

Wakati utata ukizidi kugubika kifo cha mtoto Asela Triphone (16), aliyekuwa mfanyakazi wa ndani mkoani Arusha, wananchi wa Kijiji cha Buyango wilayani Muleba wamevamia na kuchoma nyumba mbili za aliyekuwa mwajiri wake na kufyeka migomba wakimtuhumu kumuua binti huyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani