Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA KUPOTEA KWA BIBI HUSNA NCHINI MALAYSIA .

Tunamtafuta Bibi Husna ambaye asili ya kimalaysia, aliolewa na Mtanzania Baba yake ambaye kwa sasa ni marehemu alikuwa ni Bw. Said Abdullah Belwal.
Kwa taarifa Husna ni Muuguzi (Nurse) ila haifahamiki hospitali gani na mji gani.
Mume wake ni Mwanajeshi na ndoa yao ilifungwa kijeshi.  Tafadhali atapopata tangazo hili au yeyote mwenye taarifa zake awasiliane na namba hizi Mob: +60102987357 Tel: +60342517603 Kuala Lumpur, Malaysia Email: apoloniamwangosi@yahoo.com

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UTATA WAZIDI KUPOTEA KWA NDEGE YA MALAYSIA

Ndege ya Malaysia iliyopotea MH370.
Machi 8, mwaka huu dunia ilisikia vilio vingi kutoka Beijing, China na Kuala Lumpur, Malaysia. Ndugu, jamaa na marafiki walikusanyika viwanja vya ndege wakiwalilia ndugu zao waliopotea kwenye ndege ya Shirika la Ndege la Malaysia, Malaysia Airlines. Baadhi ya ndugu wa abiria waliopotea na ndege MH370. Ilikuwa hivi; ndege hiyo iliyokuwa ikifanya safari namba Flight… ...

 

11 years ago

Michuzi

DAKIKA 90: Kupotea kwa Air Malaysia na takwimu za usalama wa anga duniani

Ndege aina ya Boeing 777 ya Malaysia Airlines ikiruka kutoka Roissy-Charles de Gaulle Airport nchini Ufaransa mwaka 2011. Photo Credits: PressTv Wakati harakati za kutafuta ndege ya Shirika la ndege la Malaysia iliyopotea zikizidi kushika kasi na kuvunja rekodi ya kushirikisha mataifa mengi duniani, baadhi ya takwimu kuhusu hali ya usalama wa safari za anga duniani zimezidi kuibuka na kufungua macho ya wengi waliokuwa wakiamini kuwa tukio hili ni la kwanza na / ama miongoni mwa machache...

 

11 years ago

GPL

SIKU YA 17 KUPOTEA NDEGE YA MALAYSIA: NDEGE YA MALAYSIA ILIRUKA CHINI YA FUTI 12,000

Naibu Waziri Mkuu wa Malaysia, Warren Truss, kulia, akizungumza na ofisa wa juu ya kikosi cha uokoaji na mratibu wa operesheni ya kuitafuta ndege iliyopotea, John Rice. Wataalamu wa Rada wakiwa wamepigwa picha ndani ya ndege ya Kijeshi ya New Zealand wakiwa katika msako wa chombo hicho kilichopotea Kusini mwa bahari ya…

 

5 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KUPOTEA KWA MTOTO SAMIR DAIM LUAMBANI

Mtoto amepotea anaitwa Samir Daim Luambani ana miaka 8, anasoma Darasa la pili St.Mary’s. Mtoto anaishi Image- Dodoma. Amepotea tarehe 14/04/2020 saa 1 jioni akiwa amevaa suruali track suti nyeusi na jezi yenye rangiya kijani na nyeupe na koti la dark blue.  Tafadhali kwa atakayemuona atoe taarifa kituo cha polisi kilicho karibu naye au kwa namba zifuatazo namba: 0712 455 228, 0653 822 486, 0716 671 085, 0682 805 208, 0787 239 439, 0712 730 788.

 

11 years ago

GPL

SIKU YA KUMI NA MOJA BAADA YA NDEGE KUPOTEA: NDUGU WA ABIRIA WA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA WAISHUTUMU SERIKALI

Wanawake wawili (mmoja hayupo pichani) wakiondolewa kwa nguvu kwenye mkutano wa waandishi wa habari ambao ulipangwa kufanyika leo mjini Kuala Lumpur.  Wanawake hao ni baadhi ya ndugu ‘waliopotea’ katika ndege aina ya Boeing 777 namba MH370 iliyopotea zaidi ya siku 10 zilizopita ambao wameilaumu serikali ya Malaysia kwa kutowaambia ukweli na kuwazungusha kuhusu juhudi za kweli kuhusiana na ndugu zao.… ...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA WA BIBI MAGDALENA ONGUKA ALLONGA (MEME)

KWA NIABA YA FAMILIA YA MZEE JOHN ALLONGA WA BUTURI RORYA, NAPENDA KUWAJULISHA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WOTE KUWA BIBI YETU MPENDWA MAGDALENA ONGUKA(MEME) AMEAGA DUNIA TAREHE 5.2.2014 KATIKA KIJIJI CHA BUTURI AKIWA NA UMRI WA MIAKA 108 MIPANGO YA MAZISHI YANAFANYIKA KIJIJINI BUTURI, BIBI AMEACHA WATOTO WANNE, WAJUKUU 35 NA VITUKUU 42.
TUTAPEANA TAARIFA YA TARATIBU ZITAKAVYOKUWA
Michael G.Allonga Mjukuu wa Marehemu

 

11 years ago

CloudsFM

TAARIFA MPYA JUU YA NDEGE NYINGINE YA MALAYSIA ILIYOANGUKA UKRAINE.

Ndege ya Malaysia iliyokuwa imebeba abiria 295 ndani yake imeanguka Mashariki mwa Ukraine ikitokea Amsterdam kwenda Kuala Lumpur, kufuatia tuhuma kuwa ilitunguliwa.Miili kadhaa ya watu imesambaa katika eneo ilipoanguka ndege hiyo karibu na kijiji cha Grabovo, kinachodaiwa kushikiliwa na waasi.Ndege hiyo ya MH17 ilikuwa inakaribia kuingia katika ardhi ya Urusi wakati ilipopoteza mawasiliano.Pande zote mbili serikali ya Ukraine na waasi wamekanusha kuitungua ndege hiyo katika mji ulio karibu...

 

10 years ago

GPL

RAY AMSALITI CHUCHU KWA HUSNA, WANASWA USIKU

Musa mateja
MUIGIZAJI nyota wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’, amedaiwa kumsaliti mpenzi wake wa siku nyingi, Chuchu Hans baada ya kukutwa akiwa amepozi kimahaba na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2011, Husna Maulid katika Ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini Dar, hivi karibuni. Muigizaji nyota wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ akipozi kimahaba na Husna Maulid. Wawili hao waliokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani