TAARIFA YA MSIBA WA BIBI MAGDALENA ONGUKA ALLONGA (MEME)
KWA NIABA YA FAMILIA YA MZEE JOHN ALLONGA WA BUTURI RORYA, NAPENDA KUWAJULISHA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WOTE KUWA BIBI YETU MPENDWA MAGDALENA ONGUKA(MEME) AMEAGA DUNIA TAREHE 5.2.2014 KATIKA KIJIJI CHA BUTURI AKIWA NA UMRI WA MIAKA 108 MIPANGO YA MAZISHI YANAFANYIKA KIJIJINI BUTURI, BIBI AMEACHA WATOTO WANNE, WAJUKUU 35 NA VITUKUU 42.
TUTAPEANA TAARIFA YA TARATIBU ZITAKAVYOKUWA
Michael G.Allonga
Mjukuu wa Marehemu
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzimajonzi yatawala wakati wa kumuaga BIBI MAGDALENA PETRO MAGIGE
Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) mstaafu, Jenerali George Mwita Waitara akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Magdalena Petro Magige. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Magdalena Petro Magige kilichotokea tarehe 19 Aprili 2015, jijini Dar es salaam. Mzee Galius Abeid akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Magdalena Petro Magige. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akifunga jeneza la marehemu Magdalena Petro Magige.
10 years ago
VijimamboMAMIA YA WAOMBOLEZAJI WAJITOKEZA KUMUAGA BIBI MAGDALENA PETRO MAGIGE
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Magdalena Petro Magige likiteremshwa kutoka kwenye gari tayari kwa kutoa heshima ya mwisho kabla ya safari ya kwenda kuupumzisha kijiji cha Kamange,Tarime mkani Mara. Ndugu , Jamaa na marafiki waliojitokeza kuja kutoa heshima za mwisho kwa mpendwa wao Bibi Magdalena Petro Magige aliyefariki tarehe 19 Aprili jijini Dar es Salaam.
Padri Valence Matungwa akitoa somo wakati wa misa maalum ya kumuaga marehemu Magdalena Petro Magige,Mikocheni jijini Dar es...
Padri Valence Matungwa akitoa somo wakati wa misa maalum ya kumuaga marehemu Magdalena Petro Magige,Mikocheni jijini Dar es...
9 years ago
MichuziUpdate ya Msiba wa mama/shangazi/bibi yetu TAMALI LEBI MWAKYOMA.
Ndugu Issa BAtenga wa Dar es salaam anapenda kuchua nafasi hii kwa niamba ya familia kutoa tangazo kuwa Mwili wa Marehemu wa mama/shangazi/bibi yetu TAMALI LEBI MWAKYOMA.unawasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam alasiri ya leo Jumatano saa 9 kutoka India na ndege ya Emirates.
Utaratibu ni kwamba Mwili huo utapelekwa moja kwa moja kwenye Hospitali ya Aghakhan kwa ajili ya kuhifadhiwa na Maandalizi..Taarifa hii ni kutokana na Kuvurugika kidogo kwa Ratiba...
Utaratibu ni kwamba Mwili huo utapelekwa moja kwa moja kwenye Hospitali ya Aghakhan kwa ajili ya kuhifadhiwa na Maandalizi..Taarifa hii ni kutokana na Kuvurugika kidogo kwa Ratiba...
11 years ago
MichuziTAARIFA YA KUPOTEA KWA BIBI HUSNA NCHINI MALAYSIA .
Tunamtafuta Bibi Husna ambaye asili ya kimalaysia, aliolewa na Mtanzania Baba yake ambaye kwa sasa ni marehemu alikuwa ni Bw. Said Abdullah Belwal.
Kwa taarifa Husna ni Muuguzi (Nurse) ila haifahamiki hospitali gani na mji gani.
Mume wake ni Mwanajeshi na ndoa yao ilifungwa kijeshi. Tafadhali atapopata tangazo hili au yeyote mwenye taarifa zake awasiliane na namba hizi Mob: +60102987357 Tel: +60342517603 Kuala Lumpur, Malaysia Email: apoloniamwangosi@yahoo.com

MichuziTaarifa ya Msiba
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) anasikitika kutangaza kifo cha Mfanyakazi wa Wakala Mhandisi Charles M. Madinda kilichotokea ghafla leo jumamosi tarehe 8/3/2014 katika hospitali ya Amana – Ilala Dar es Salaam. Habari ziwafikie Wafanyakazi wote wa TANROADS, Wizara ya Ujenzi na Taasisi zake zote pamoja na ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo.
Marehemu anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwake Morogoro siku ya Jumanne tarehe 11/3/2014. Marehemu ataagwa kesho Jumapili...
Marehemu anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwake Morogoro siku ya Jumanne tarehe 11/3/2014. Marehemu ataagwa kesho Jumapili...
10 years ago
Vijimambo02 Nov
TAARIFA YA MSIBA DMV
JEFF DEO NKANDA (JAFFARI), Mtanzania mwenzetu DMV anasikitika kutangaza kifo cha mpendwa mama yake mzazi kilichotokea leo Tanzania. Jaffari anategemea kusafiri Jumatano Novemba 5, 2014 kuelekea Tanzania kumpimzisha mama yake katika nyumba yake ya milele .
Kama ilivyo mila na desturi yetu kupeana pole ndio utamaduni wetu hasa katika kipindi hiki kigumu cha Jaffari kumpoteza mpendwa mama yake.
Kwa yeyote anayetaka kutoa mkono wa pole anapatikana katika address hii 5701 UNION BRIDGET CT, BOWIE...

Michuzi23 Oct
TAARIFA YA MSIBA MINNESOTA
Ndugu, Jamaa na Marafiki,
Familia ya ndugu Joel & Janeth Mburu inasikitika kuwataarifu juu ya msiba wa ghafla wa mama mzazi wa Janeth na Godson Gabagambi uliotokea leo hii asubuhi-Karagwe, nchini Tanzania.Mipango ya mazishi inaendelea kufanyika huko Karagwe, Tanzania .
Kwa marekani, Msiba upo nyumbani kwa Ndugu Joel & Janeth Mburu, Minnesota na watu wanakutanika nyumbani hapo kuanzia leo kwa anwani ifuatayo:-5250 Villa WayEdina MN 55436.
Kwa Uingereza ,msiba upo kwa Peter Gabagambi ;61...

MichuziTAARIFA YA MSIBA JIJINI DAR
Bi. Agnes Matle Ngula
24 Dec 1948 – 25 Feb 2014
Familia ya Bwana Venance Ngula inasikitika kutangaza kifo cha mkewe Bi. Agnes Matle Ngula kilichotokea saa 1.30 asubuhi siku ya Jumanne, tarehe 25 Februrari 2014, katika Hospitali ya TMJ, Dar Es Salaam- Tanzania.
Msiba upo nyumbani kwa familia ya Bw. Venance Ngula, eneo la Masaki, mkabala na Seacliff Appartments, Dar Es Salaam.
Mazishi yanatarajiiwa kufanyika Jumamosi, jijini Dar Es Salaam. Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki...

MichuziTAARIFA YA MSIBA WASHINGTONG DC NA TANZANIA
Mheshimiwa Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani, anasikitika kutangaza kifo cha Bi. Nyamiti Ivan Lusinde, aliyekuwa mfanyakazi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Washington DC.
Bi. Nyamiti Ivan Lusinde alifariki dunia Jumanne tarehe 17 Novemba, 2015 Dar Es Salaam, Tanzania ambapo alikuwa likizo yake ya mwaka.
Kitabu cha rambirambi kipo nyumbani kwa marehemu20408 Honey Crisp Lane, Apartment E Germantown, MD 20876
Maelezo zaidi kuhusu...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10