Update ya Msiba wa mama/shangazi/bibi yetu TAMALI LEBI MWAKYOMA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-G4hYlcg_PSY/Vih1lAFg0KI/AAAAAAAIBmo/pPOjjTzEfn4/s72-c/unnamed%2B%252835%2529.jpg)
Ndugu Issa BAtenga wa Dar es salaam anapenda kuchua nafasi hii kwa niamba ya familia kutoa tangazo kuwa Mwili wa Marehemu wa mama/shangazi/bibi yetu TAMALI LEBI MWAKYOMA.unawasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam alasiri ya leo Jumatano saa 9 kutoka India na ndege ya Emirates.
Utaratibu ni kwamba Mwili huo utapelekwa moja kwa moja kwenye Hospitali ya Aghakhan kwa ajili ya kuhifadhiwa na Maandalizi..Taarifa hii ni kutokana na Kuvurugika kidogo kwa Ratiba...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-UDV5Zo9PcEg/ViU7QdSglQI/AAAAAAAIA9w/ko6c9nFzPyE/s72-c/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
MSIBA MAREKANI NA TANZANIA WA MAMA TAMALI MWAKYOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-UDV5Zo9PcEg/ViU7QdSglQI/AAAAAAAIA9w/ko6c9nFzPyE/s640/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
BJ na Hellen wanatarajia kuondoka Marekani Jumanne kurudi Tanzania kwa Mazishi, ambapo shughuli za awali za msiba ziko nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es salaam, nyuma ya jengo la Kamisheni ya Vyuo Vikuu barabara ya Rose Garden.
Kwa pole na...
10 years ago
Michuzi28 Oct
Msiba wa Mama Maleko Lema -Update 2
Kwa Marekani,Msiba utakuwepo nyumbani kwa CM & Martha huko Apple Valley -Minnesota.Adress:15483 Flight Way,Apple Valley MN 55124.
Kama ilivyo desturi yetu,tunaendelea kukutanika nyumbani kwao ili kuwafariji na kuleta rambi rambi zetu kwa pamoja.
Jumatano 10/29/14 kutakuwa na Ibada maalum ya kuomba...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-EqoUHoxMR9g/UvN8waAIFkI/AAAAAAAFLM0/lTvIS5uBul4/s72-c/New+Picture.png)
TAARIFA YA MSIBA WA BIBI MAGDALENA ONGUKA ALLONGA (MEME)
![](http://4.bp.blogspot.com/-EqoUHoxMR9g/UvN8waAIFkI/AAAAAAAFLM0/lTvIS5uBul4/s1600/New+Picture.png)
TUTAPEANA TAARIFA YA TARATIBU ZITAKAVYOKUWA
Michael G.Allonga Mjukuu wa Marehemu
10 years ago
Michuzi27 Oct
Msiba Mwingine Minnesota-Update 1
Kwa Marekani, Msiba utakuwepo nyumbani kwa CM & Martha huko Apple Valley -Minnesota.Adress:15483 Flight Way,Apple Valley, MN 55124.
Kama ilivyo desturi yetu,tutakutanika nyumbani kwao leo jioni kuanzia saa kumi jioni kuwafariji na kuleta rambi rambi...
10 years ago
Vijimambo07 Dec
Msiba wa Godfrey Rupia: update
Account ya kupokelea michango ni Bank of America. Checking 00 4660 5330 94. Routing# 011000138 Suzana Rupia
Tunashukuru sana kwa upendo wenu. Mungu ailaze roho ya marehemu mpendwa wetu Godfrey mahali pema peponi, Amin.
Tafadhali mjulishe mwenzio
The bereavement of Godfrey Rupia: update: Abela and...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-bngF30W75Zw/VdaK6RmZHSI/AAAAAAAD3pY/EX8blGdiytg/s72-c/Marehemu%2BBi.Khadija%2BIsmail%2BKube%2Benzi%2Bya%2Buhai%2Bwake.jpg)
MSIBA WA NDUGU YETU MAREHEM BI.KHADIJA ISMAIL KUBE MTAA WA AGREY ,KARIAKOO, DAR-ES-SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-bngF30W75Zw/VdaK6RmZHSI/AAAAAAAD3pY/EX8blGdiytg/s640/Marehemu%2BBi.Khadija%2BIsmail%2BKube%2Benzi%2Bya%2Buhai%2Bwake.jpg)
Innalilahi Wainna Iilahi Rajiunn
11 years ago
MichuziMaendeleo ya Msiba wa Mama Kagaruki na Safari ya Marehemu Mama Harriette Peace Kagaruki kuelekea Tanzania
· Watanzania Marekani wametoa dolla 5,300 · Familia, ndugu na Jamaa wa Tanzania wametoa dolla 11,000 · Watoto wa Marehemu Erick na Mary Kagaruki wametoa kiasi kilichobakia cha dolla 3,700. Watoto wa Marehemu Erick Kagaruki na Mary Kagaruki na...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-T2kd8Glq57s/VX2Ym1_YckI/AAAAAAADrTY/tQQhf9Kzdis/s72-c/unnamed.jpg)
MSIBA BRONX NEW YORK NA TANZANIA NDUGU WATANZANIA TUNAOMBA MICHANGO YENU HILI TUWEZE KUMPUMZISHA BABA YETU MPENDWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-T2kd8Glq57s/VX2Ym1_YckI/AAAAAAADrTY/tQQhf9Kzdis/s320/unnamed.jpg)
Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inaungana na Familia ya Magege kwa masikitiko kutangaza kifo cha marehemu Mzee Alfred Magege kilichotokea jumamosi June 13,2015. Marehemu Alfred Magege alisumbuliwa na Saratani ya mifupa kwa zaidi ya miaka kumi. Marehemu ameacha Mke na watoto 7. Kama kawaida yetu tunaombwa watanzania tujitokeze ili kuwafariji wafiwa.Ili tukamilishe Msiba huu kiasi cha $10,000 kinahitajika.Watanzania...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XOPcP3wzQ8g/VEYZ2Xytr3I/AAAAAAAGsIc/otP9N3qQdLw/s72-c/unnamed%2B(5).jpg)
Update ya msiba wa MAREHEMU REHEMA RAMADHANI BARAKA, mdogo wake mwenyekiti wa ASET BARAKA MSIILWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-XOPcP3wzQ8g/VEYZ2Xytr3I/AAAAAAAGsIc/otP9N3qQdLw/s1600/unnamed%2B(5).jpg)
Ifuatayo ni update ya msiba wa mdogo wake Mwenyekiti wa African Stars Entertainment (ASET) Baraka Msiilwa, Marehemu Furaha Ramadhani Baraka, kilichotokea wikiendi iliyopita huko Ubelgiji.
Taarifa ni kwamba mwili wa Marehemu mdogo wetu Furaha unaondoka Brussels kesho usiku kwenda Zurich. Utalala Zuruch na kusafirishwa Jumatano Asubuhi kwa ndege ya shirika la Swiss Air, na unatarajiwa kuwasili Dar es salaam siku hiyo hiyo ya Jumatano mnamo saa mbili usiku
Mazishi yamepangwa kufanyika siku ya...