Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSIBA WA NDUGU YETU MAREHEM BI.KHADIJA ISMAIL KUBE MTAA WA AGREY ,KARIAKOO, DAR-ES-SALAAM

Tunasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu Bi. Khadija Ismail Kube maziko yatafanyika siku ya Ijumaa 21 -08-2015,saa 4.00 asubuhi nyumbani kwao mtaa Aggrey. Kariakoo msikiti wa Qiblatein mwenyezimungu amlaze mahala pema peponi.Taarifa zimetolewa na Masjid Qubah,Segerea mwisho,Dar.
Innalilahi Wainna Iilahi Rajiunn

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Kumbukumbu ya Marehemu Sheikh Ali Mzee Comorian kufanyika leo mtaa wa Simba na Amani, Kariakoo, Dar es salaam

unnamed (7)
Hauli (Kumbukumbu) ya Marehemu Sheikh Ali Mzee Comorian (pichani) aliyefariki dunia mwaka mmoja uliopita itafanyika Mtaa wa Amani na Simba, Kariakoo,  jijini Dar es salaam mara baada ya Swalatul Ishai Zawiyan siku ya leo Desemba 30. 

Familia ya marehemu inawaalika ndugu, jamaa, marafiki na majirani popote pale walipo kuhudhuria shughuli hii,  kumkumbuka na kumuenzi Sheikh Comorian, aliyekuwa mwanazuoni nguli na mwalimu wa wengi.

Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un

 

9 years ago

Michuzi

Hauli (Kumbukumbu) ya Marehemu Sheikh Ali Mzee Comorian kufanyika kesho mtaa wa Simba na Amani, Kariakoo, Dar es salaam

Hauli (Kumbukumbu) ya Marehemu Sheikh Ali Mzee Comorian (pichani) aliyefariki dunia mwaka mmoja uliopita itafanyika Mtaa wa Amani na Simba, Kariakoo,  jijini Dar es salaam mara baada ya Swalatul Ishai Zawiyan. Familia ya marehemu inawaalika ndugu, jamaa, marafiki na majirani popote pale walipo kuhudhuria shughuli hii,  kumkumbuka na kumuenzi Sheikh Comorian, aliyekuwa mwanazuoni nguli na mwalimu wa wengi.Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES: MSIBA WA MAREHEMU SHEM KARENGA WAHAMISHIWA MTAA WA UFIPA, KINONDONI, DAR ES SALAAM

TAARIFA ZILIZOTUFIKIA SASA HIVI ZINASEMA KWAMBA FAMILIA YA MAREHEMU SHEM KARENGA IMEHAMISHIA MSIBA HUO KINONDONI, MTAA WA UFIPA (JIRANI NA OFISI ZA CHADEMA). 
MIPANGO YA MAZISHI INABAKI PALEPALE YAANI KESHO MAREHEMU ATASWALIWA KATIKA MSIKITI WA MANYEMA, KARIAKOO, BAADA YA SWALA YA ALASIRI NA KISHA KUELEKEA MAKABURI YA KISUTU KWA MAZISHI>

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA SHEIKH ALI MZEE KOMORIAN KARIAKOO, DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu SheikhAli Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorianalifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana JumapiliDesemba 29, 2014:Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua na familia yaMarehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorianalifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana JumapiliDesemba 29, 2014

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

MSIBA BRONX NEW YORK NA TANZANIA NDUGU WATANZANIA TUNAOMBA MICHANGO YENU HILI TUWEZE KUMPUMZISHA BABA YETU MPENDWA

MAREHEMU MZEE ALFRED MAGEGE.

Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inaungana na Familia ya Magege kwa masikitiko kutangaza kifo cha marehemu Mzee Alfred Magege kilichotokea jumamosi June 13,2015. Marehemu Alfred Magege alisumbuliwa na Saratani ya mifupa kwa zaidi ya miaka kumi. Marehemu ameacha Mke na watoto 7. Kama kawaida yetu tunaombwa watanzania tujitokeze ili kuwafariji wafiwa.Ili tukamilishe Msiba huu kiasi cha $10,000 kinahitajika.Watanzania...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete ahani msiba wa Sheikh Ali Mzee Komorian Kariakoo, Dar

ko1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa Jumapili Desemba 29, 2014.

ko2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua na familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo  Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa Jumapili Desemba 29, 2014.

ko3

Rais...

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: MGOMBEA CHADEMA ASHINDA UIENYEKITI MTAA WA MIGOMBANI SEGEREA DAR ES SALAAM


Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Migombani Kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Bw. Japhet Kembo akifurahia huku akipongezwa na wanachama na wapenzi wa Chadema mara baada ya kuibuka mshindi wa Kiti cha Mwenyekiti kwa Kupata Kura 510 huku CCM wakiwa wamepata kura 215 na NCCR kupata kura 205
 Mawakala wa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Migombani wakihesabu kura ambapo sanduku hilo ndio lilikuwa sanduku la mwisho kuhesabiwa katika Kituo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani