RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA SHEIKH ALI MZEE KOMORIAN KARIAKOO, DAR ES SALAAM
![](http://4.bp.blogspot.com/-m7rhyFe9GDw/VKJzhE-qVAI/AAAAAAADTZM/6TEZHQSzOdk/s72-c/ko1.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu SheikhAli Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorianalifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana JumapiliDesemba 29, 2014
:Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua na familia yaMarehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorianalifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana JumapiliDesemba 29, 2014
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog30 Dec
Rais Kikwete ahani msiba wa Sheikh Ali Mzee Komorian Kariakoo, Dar
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa Jumapili Desemba 29, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua na familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa Jumapili Desemba 29, 2014.
Rais...
9 years ago
Dewji Blog30 Dec
Kumbukumbu ya Marehemu Sheikh Ali Mzee Comorian kufanyika leo mtaa wa Simba na Amani, Kariakoo, Dar es salaam
Hauli (Kumbukumbu) ya Marehemu Sheikh Ali Mzee Comorian (pichani) aliyefariki dunia mwaka mmoja uliopita itafanyika Mtaa wa Amani na Simba, Kariakoo, jijini Dar es salaam mara baada ya Swalatul Ishai Zawiyan siku ya leo Desemba 30.
Familia ya marehemu inawaalika ndugu, jamaa, marafiki na majirani popote pale walipo kuhudhuria shughuli hii, kumkumbuka na kumuenzi Sheikh Comorian, aliyekuwa mwanazuoni nguli na mwalimu wa wengi.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9Qe7BqKa1r8/VoJ_-ynHLbI/AAAAAAAIPMk/Q83rcFvfP30/s72-c/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
Hauli (Kumbukumbu) ya Marehemu Sheikh Ali Mzee Comorian kufanyika kesho mtaa wa Simba na Amani, Kariakoo, Dar es salaam
![](http://3.bp.blogspot.com/-9Qe7BqKa1r8/VoJ_-ynHLbI/AAAAAAAIPMk/Q83rcFvfP30/s320/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
11 years ago
Dewji Blog10 Jun
Rais Kikwete aungana na waombolezaji kwenye Msiba wa marehemu Mzee Said Ngamba “Mzee Small” Jijini Dar
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Msiba wa msiba wa msanii maarufu wa filamu ya vichekesho hapa nchini,Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam jana Juni 9, 2014.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amejumuika na waombolezaji mbali mbali kwenye Msiba wa msanii maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam jana.Kushoto ni Rais wa Chama cha Filamu nchini,Simon Mwakifwamba na...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7Cn9ebi4iYw/U5XUqFJIFyI/AAAAAAAFpLM/CEwN9msyvP0/s72-c/16.jpg)
RAIS KIKWETE AWAONGOMA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WA MAREHEMU MZEE SAID NGAMBA "MZEE SMALL" JIJINI DAR LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-7Cn9ebi4iYw/U5XUqFJIFyI/AAAAAAAFpLM/CEwN9msyvP0/s1600/16.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-1KVXjmxkPmM/U5XUplUezCI/AAAAAAAFpLI/rz-rCnDTMfU/s1600/17.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-UjNnWqonmuI/U5XWQy_pcAI/AAAAAAAFpP4/-ElXwHuRzVk/s1600/_5.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-gwrGe28cIOU/U5XWQZ_LE-I/AAAAAAAFpPw/1rkRJa3Ip8s/s1600/_4.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-E3AWfzx1iz4/VRM_O563aZI/AAAAAAADdn0/i-xt8wis_8w/s72-c/FullSizeRender_2.jpg)
MTANZANIA WA DMV AHANI MSIBA WA ALLY MIKIDADI MAGOMENI MAPIPA JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-E3AWfzx1iz4/VRM_O563aZI/AAAAAAADdn0/i-xt8wis_8w/s1600/FullSizeRender_2.jpg)
Alawi (kushoto) akitoa mkono wa pole kwa Bi.Badria(Mama Mzazi wa Ally Mikidadi) siku ya Jumapili March 22, 2015 nyumbani kwa marehemu Magomeni Mapipa jijini Dar Es Salaam, kulia ni Bure mjomba wake Ally Mikidadi na kaka ya Bi. Badria. Ally Mikidadi ni mkazi wa Hyattsville, Maryland nchini Marekani aliyefiwa na baba yake mzazi nchini Tanzania na misba hapa DMV upo 6200 Ager Road, Hyattsville, Maryland.
![](http://3.bp.blogspot.com/-x61zh9tCGho/VRM_QnsiNwI/AAAAAAADdoM/zfgLvIEVtwY/s1600/FullSizeRender_3.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Gk3NmaEga34/VRM_0mGrSSI/AAAAAAADdoc/qIaHhD84U3o/s1600/unnamed.jpg)
9 years ago
Dewji Blog20 Dec
Waziri Mkuu Majaliwa ahani msiba wa dada yake Rais Mstaafu, Tausi Kikwete
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete wakati alipokwenda kuwapa pole wanafamilia kutokana na kifo cha dada yake Rais Mstaafu, Tausi Kikwete, Mikocheni jijini Dar es salaam Desemba 19, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wanafamilia wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete wakati alipokwenda kuwapa pole wanafamilia kutokana na kifo cha dada yake Rais Mstaafu, Tausi...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-o5WYUnYrxJM/VMZ_IgwyZoI/AAAAAAACWSw/WjmuCjnaJYM/s72-c/jk1.jpg)
RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA MFALME WA SAUDI ARABIA, AWASILI BERLIN, UJERUMANI, KWA ZIARA YA KIKAZI
![](http://4.bp.blogspot.com/-o5WYUnYrxJM/VMZ_IgwyZoI/AAAAAAACWSw/WjmuCjnaJYM/s640/jk1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-LOVJApbTy7k/VMZ_FHFDbdI/AAAAAAACWSo/7IcpYiHp2hc/s640/jk4.jpg)