Update ya msiba wa MAREHEMU REHEMA RAMADHANI BARAKA, mdogo wake mwenyekiti wa ASET BARAKA MSIILWA
Ifuatayo ni update ya msiba wa mdogo wake Mwenyekiti wa African Stars Entertainment (ASET) Baraka Msiilwa, Marehemu Furaha Ramadhani Baraka, kilichotokea wikiendi iliyopita huko Ubelgiji.
Taarifa ni kwamba mwili wa Marehemu mdogo wetu Furaha unaondoka Brussels kesho usiku kwenda Zurich. Utalala Zuruch na kusafirishwa Jumatano Asubuhi kwa ndege ya shirika la Swiss Air, na unatarajiwa kuwasili Dar es salaam siku hiyo hiyo ya Jumatano mnamo saa mbili usiku
Mazishi yamepangwa kufanyika siku ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi20 Nov
UP DATES ZA MSIBA WA MPIGANAJI BARAKA KARASHANI
Tunaomba tushirikiane katika kuhifadhi mwili wa mpendwa wetu, ambapo sekreterieti ya TASWA imemteua Majuto Omary ambaye ni Mwenyekiti wa TASWA FC, Mwani Nyangassa ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji na Zena Chande Mhazini Msaidizi kusimamia...
10 years ago
MichuziWENGI WAJITOKEZA MAZISHI YA MWANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO, MAREHEMU BARAKA KARASHANI LEO
9 years ago
MichuziMAGUFULI AHANI MSIBA WA MDOGO WAKE FATHER CHARLES KITIMA
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na wana familia wa Fadher Charles Kitima wakati akihani msiba huo hapo jana.
10 years ago
GPLMWENYEKITI WA PROIN, JOHNSON LUKAZA NA MDOGO WAKE WASHINDA KESI YA EPA
10 years ago
GPL18 Feb
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
Baraka na laana — 2
ZIMWI likujualo halikuli likakwisha. Pia upo msemo usemao kuuma na kupulizia. Misemo yote hii haina mwisho mzuri. Niseme balaa na laana huandamana navyo na havileti matumaini ya utukufu wa Mwenyezi Mungu....
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Baraka na laana
WANADAMU wote naamini tunaishi katika kivuli cha Mwenyezi Mungu wa kweli kilichojaa baraka tele zenye imani kamili ya upendo. Baraka maana yake ni mambo mema kwa jumla, heri, neema na...