Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSAADA WA MATIBABU UNAHITAJIKA KWA KIJANA BARAKA RAMADHANI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Msaada wa wasamaria wema wa matibabu unahitajika kwa dada huyu

Ndugu Wasamaria wema

Napenda kutumia fursa hii kukushirikisha habari ya kusikitisha kuhusu dada Joyce Mwambepo (pichani akiwa na mwanaye, na migu yake iliyopooza) mkaazi wa Sinde jijini Mbeya. Dada huyu mwenye umri wa miaka 27 anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na mwanaye mwenye umri wa miaka 4. Kwa bahati mbaya mwezi April mwaka jana dada huyu alipata ajali ya kugongwa na gari ambayo haikusimama kumsaidia. Ila kwa msaada wa wasamaria wema alipelekwa hospitali ya rufaa...

 

10 years ago

Michuzi

OMBI LA MSAADA WA HALI NA MALI ; KIJANA ABEL MACHANGA ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU

Kijana Abel Machanga mwenye umri wa miaka 24 amelazwa Hospital ya Taifa Muhimbili Wodi ya Sewahaji,chumba namba 19,Kitanda namba 28 kwa tatizo la uvimbe kwenye ubongo ambalo limesababisha macho yake kutoka nje.
Familia inaomba msaada wa wasamaria wema ili kugharamia matibabu ya Abel kutokana kuwa gharama za matibabu ni kubwa kuliko uwezo wa familia.


Kwa yeyote atakayetakayeguswa na taarifa hii, anakaribishwa kumtembelea Abel Hospitalini ili kukutana naye na kusikia kilio chake Kwa mlio mbali,...

 

11 years ago

Michuzi

Update ya msiba wa MAREHEMU REHEMA RAMADHANI BARAKA, mdogo wake mwenyekiti wa ASET BARAKA MSIILWA


Ifuatayo ni update ya msiba wa mdogo wake Mwenyekiti wa African Stars Entertainment (ASET) Baraka Msiilwa, Marehemu Furaha Ramadhani Baraka, kilichotokea wikiendi iliyopita huko Ubelgiji.

Taarifa ni kwamba mwili wa Marehemu mdogo wetu Furaha unaondoka Brussels kesho  usiku kwenda Zurich. Utalala Zuruch na kusafirishwa Jumatano Asubuhi kwa ndege ya shirika la Swiss Air, na unatarajiwa kuwasili Dar es salaam siku  hiyo hiyo ya Jumatano mnamo saa mbili usiku
Mazishi yamepangwa kufanyika siku ya...

 

9 years ago

Michuzi

MSAADA MKUBWA UNAHITAJIKA KWA DADA ELIZA ILI AWEZE KUFANYIWA UPASUAJI WA UVIMBE TUMBONI

Eliza Juma (30), mkazi wa Mtaa wa Mbwanga Manispaa ya Dodoma anaomba msaada wa hali na mali kutoka kwa yeyote ataeguswa ili aweze kufanyiwa upasuaji wa uvimbe tumboni ambao umekuwa ukiongezeka kila siku.
Akizunguma na waandishi wa habari mjini hapa Dodoma, alisema kuwa uvimbe huo ambao umekuwa ukiongezeka kila siku umekuwa kikwazo kwake katika kutekeleza majukumu yake ya kujipatia kipato.
Alisema kuwa uvumbe huo unaotokana na yeye kufanyiwa upasuaji wa utumbo aliofanyiwa miaka miwili...

 

11 years ago

BBCSwahili

Msaada wa dharura unahitajika Syria

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon anasema kuwa nusu ya wananchi wa Syria wanahitaji msaada wa dharura wa kibinadamu.

 

9 years ago

Michuzi

MSAADA WA MATIBABU UNAHIDAJIKA KWA DADA HUYU

Habari kaka,
Napenda kutumia fursa hii kukushirikisha habari ya kusikitisha kuhusu dada Joyce Mwambepo mkazi wa Sinde jijini Mbeya. Dada huyu mwenye umri wa 27 anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na mwanaye mwenye umri wa miaka 4.
Kwa bahati mbaya mwezi April mwaka jana dada huyu alipata ajali ya kugongwa na gari ambayo hata hivyo haikusimama kumsaidia. Ila kwa msaada wa wasamaria wema alipelekwa hospitali ya raufaa mkoani Mbeya ambako alikaa kwa miezi mitatu bila kupata...

 

11 years ago

Michuzi

Msaada wa Matibabu kwa Mtoto Maimuna Yahaya (11)

   Pichani ni Mtoto Maimuna Yahaya  Mtoto Maimuna Yahaya akiwa na Mama yake Mzazi  Tunu Juma  **********************
Msaada wa Matibabu kwa mtoto Maimuna Yahaya Mtoto Maimuna Yahaya (11) anayesoma shule ya Msingi ya watoto wenye mahitaji maalum (wenye ulemavu) ya Irente Rainbow (Lushoto- Tanga) Darasa la pili, anasumbuliwa na tatizo la mifupa na ukubwa wa kichwa tangu kuzaliwa kwake, tatizo lililompelekea kuwa na ulemavu wa viungo na mtindio wa Ubongo. Mama wa mtoto huyo, Bi. Tunu...

 

11 years ago

Michuzi

MSAADA WAKO UNAHITAJIKA KUOKOA MAISHA YA MTOTO HUYU

Paulina Nyoni (Mama wa mtoto Fatuma Msuya) akiwa amembeba mwanaye ambaye anahitaji msaada wa matimabu .

---------------------- Paulina nyoni mkazi wa kijiji cha Hanga wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma anaomba msaada kwa yeyote atakaye guswa na tatizo la mwanaye  aitwaye Fatuma Msuya ili aweze kupata matibabu katika hospitali ya KCMC moshi.
Paulina ni mama mwenye watoto wa tano anayejishugulisha na kilimo , Mume wake aitwaye  Jafari Msuya amemtelekeza baada ya kujifungua mtoto mwenye tatizo hili...

 

11 years ago

Michuzi

MSAADA WA HARAKA UNAHITAJIKA KUOKOA MAISHA YA MTOTO ADOLOTEA NJAVIGE

MTOTO Adolotea Njavike(1.4) ambae Kichwa na Kiwiliwili vimeungana baada ya kupata na ajali ya Moto akiwa na mama yake Mzazi. Mama Mkubwa wa Mtoto huyo, Salome Kiegu(35) mkazi wa Mtaa wa Maendeleo Iyunga Jijini Mbeya anasema Mtoto huyo akiwa na mama yake walipata janga la moto katika mazingira ya kutatanisha waliangukia kwenye moto ambapo Mtoto huyo aliungua vibaya. Mdau Joseph Mwaisango wa Mbeya yetu akiwa amempakata mtoto huyo. Baadhi ya waandishi wa habari wakiongea na mama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani