MSIBA MAREKANI NA TANZANIA WA MAMA TAMALI MWAKYOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-UDV5Zo9PcEg/ViU7QdSglQI/AAAAAAAIA9w/ko6c9nFzPyE/s72-c/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
BJ and Hellen Mwakyoma (Gwantwa) Wa Chicago-IL anasikitika kutangaza kifo cha Mama yao Mama Tamali Mwakyoma, Kilichotokea nchini India juzi October 17, 2015 alikokwenda kwa matibabu. Habari ziwafikie Ndugu jamaaa na Marafiki Popote Pale walipo.
BJ na Hellen wanatarajia kuondoka Marekani Jumanne kurudi Tanzania kwa Mazishi, ambapo shughuli za awali za msiba ziko nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es salaam, nyuma ya jengo la Kamisheni ya Vyuo Vikuu barabara ya Rose Garden.
Kwa pole na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-G4hYlcg_PSY/Vih1lAFg0KI/AAAAAAAIBmo/pPOjjTzEfn4/s72-c/unnamed%2B%252835%2529.jpg)
Update ya Msiba wa mama/shangazi/bibi yetu TAMALI LEBI MWAKYOMA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-G4hYlcg_PSY/Vih1lAFg0KI/AAAAAAAIBmo/pPOjjTzEfn4/s400/unnamed%2B%252835%2529.jpg)
Utaratibu ni kwamba Mwili huo utapelekwa moja kwa moja kwenye Hospitali ya Aghakhan kwa ajili ya kuhifadhiwa na Maandalizi..Taarifa hii ni kutokana na Kuvurugika kidogo kwa Ratiba...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RlfF5o26k5A/UvONK5Wyv9I/AAAAAAAFLPg/5BnL3jHA3NA/s72-c/unnamed+(11).jpg)
Shughuli za Msiba wa Mama Theonestina Rweyemamu new york, MAREKANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-RlfF5o26k5A/UvONK5Wyv9I/AAAAAAAFLPg/5BnL3jHA3NA/s1600/unnamed+(11).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-f_JRc5jOdg0/Uu-IFwIsNQI/AAAAAAAFKqI/gCjzgivx4vo/s72-c/bbb.jpg)
Maendeleo ya Taarifa ya Msiba wa mama Theonestina Rweyemamu huko new york, marekani
![](http://2.bp.blogspot.com/-f_JRc5jOdg0/Uu-IFwIsNQI/AAAAAAAFKqI/gCjzgivx4vo/s1600/bbb.jpg)
Bado harambe ya kutafuta dolla 10,000 za kufanikisha mipango ya mazishi inaendelea. Tunawaomba mtafute walau muda mchache mweze kujumuika na Watanzania wenzetu...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3RJKVvYUGXY/VgxcM47towI/AAAAAAAD_J4/nCb1SG3-leE/s72-c/b4a6297d3516cc010eda1174237cbdd5.jpg)
MSIBA MAREKANI NA TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-3RJKVvYUGXY/VgxcM47towI/AAAAAAAD_J4/nCb1SG3-leE/s640/b4a6297d3516cc010eda1174237cbdd5.jpg)
10 years ago
Vijimambo31 May
Msiba Tanzania na Marekani
Msiba upo kwa binamu yake Patricia,Jeff Deo Nkanda Address:5701 union bridge ct Bowie MD 20720
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:Patricia:240 486 9948Jeff Deo Nkanda: 240 413 1925Dotto Haruna: 240 274 7921Betty Lulanda:240 486 7082Shukurani Magoma:202 607 1976
Bwana alitoa na sasa bwana ametwa amenitumia.
11 years ago
MichuziMaendeleo ya Msiba wa Mama Kagaruki na Safari ya Marehemu Mama Harriette Peace Kagaruki kuelekea Tanzania
· Watanzania Marekani wametoa dolla 5,300 · Familia, ndugu na Jamaa wa Tanzania wametoa dolla 11,000 · Watoto wa Marehemu Erick na Mary Kagaruki wametoa kiasi kilichobakia cha dolla 3,700. Watoto wa Marehemu Erick Kagaruki na Mary Kagaruki na...
10 years ago
Dewji Blog25 Jun
Tangazo la msiba Tanzania na Marekani
DR. ALI MZIGE wa Mikocheni, Dar es salaam anasikitika kutangaza kifo cha Dada yake MRS MARIAMU -MWAJUMA MUSISA (NEE MZIGE) kilichotokea Raleigh, North Carolina Marekani tarehe 21-06-2015. Mwili wa marehemu utaletwa Tanzania kwa ajili ya mazishi.
Tutatoa taarifa zaidi mwili utakapowasili. Kwa mawasiliano tafadhali mpigie Yussuf Mhiro 0754-609-338 / 0714-979-014.Usoma taarifa hii tafadhali wajulishe ndugu jamaa na marafiki wa Ukoo wa Humbi Ziota na Musisa. Au Kaka wa Marehemu DR. ALI A....
10 years ago
VijimamboTangazo la msiba Marekani na Tanzania:
Familia ya Mang'ulo na ndugu Isaac Kibodya wanasikitika kutangaza kifocha bwana Abbas Khalfani Mang'ulo (68) ambaye ni baba mzazi wa KhajatSwalha Kibodya, mke wa bwana Isaac Kibodya kilichotokea Bagamoyo,Tanzania. Mazishi yamefanyika leo mchana huko Msata, Mkoa waPwani. kwa hapa Marekani msiba upo nyumbani kwa bwana na bibi Kibodya58 Vail Street, Springfield, Mass. Dua imepangwa kufanyika JumapiliJulai 19 Masjid Al Baqi 148 Fort Pleasant Avenue, Springfield, Masskuanzia saa 10...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-22ebg_Mjue4/VcQSB0hnIJI/AAAAAAAD2iI/EgsQdpAWcAg/s72-c/4e2f05a2d00b89c8711fbb5e407838d5.jpg)
MSIBA MAREKANI NA TANZANIA. EDDIE MALCOM.
![](http://3.bp.blogspot.com/-22ebg_Mjue4/VcQSB0hnIJI/AAAAAAAD2iI/EgsQdpAWcAg/s640/4e2f05a2d00b89c8711fbb5e407838d5.jpg)
Jumuiya ya Watanzania New York, New Jersey, Connecticut na Pennsylvania Pamoja na Jumuiya ya Watanzania Southern California zinaungana na Familia ya Mawhite kutangaza kifo cha Mtoto wao Eddie Ally Buna maarufu Eddie Malcolm kilichotokea Ghafla New Jersey, Marekani siku ya Jumanne August 04 2015.Mwili utasafirishwa siku ya jumaamosi kwenda Zanzibar kwa mazishi kwa Qatar Airways.Jumuiya inawaomba Watanzania wote watakaokuwa na nafasi kuungana nasi...