Maendeleo ya Taarifa ya Msiba wa mama Theonestina Rweyemamu huko new york, marekani
![](http://2.bp.blogspot.com/-f_JRc5jOdg0/Uu-IFwIsNQI/AAAAAAAFKqI/gCjzgivx4vo/s72-c/bbb.jpg)
Kufuatia taarifa ya msiba tuliyowatumia jana, tunapenda kuwakumbusha kwamba watoto wa marehemu na ndugu na jamaa watakuwepo nyumbani leo na mnaweza kwenda kuwafariji na kutoa rambi rambi zenu wakati wowote. Address ni:
40 East Sidney Avenue,
Apt # 10C , Mount Vernon,
NY 10550.
Na namba ya simu ya nyumbani ni 914-667-6456.
Bado harambe ya kutafuta dolla 10,000 za kufanikisha mipango ya mazishi inaendelea. Tunawaomba mtafute walau muda mchache mweze kujumuika na Watanzania wenzetu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RlfF5o26k5A/UvONK5Wyv9I/AAAAAAAFLPg/5BnL3jHA3NA/s72-c/unnamed+(11).jpg)
Shughuli za Msiba wa Mama Theonestina Rweyemamu new york, MAREKANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-RlfF5o26k5A/UvONK5Wyv9I/AAAAAAAFLPg/5BnL3jHA3NA/s1600/unnamed+(11).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-0ijrZoPwLXo/UvClb3xIr_I/AAAAAAAFKxU/WHMfL0lxUYI/s72-c/bbb.jpg)
Maendeleo ya Msiba wa Mama Theonestina Rweyemamu
![](http://2.bp.blogspot.com/-0ijrZoPwLXo/UvClb3xIr_I/AAAAAAAFKxU/WHMfL0lxUYI/s1600/bbb.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-BUZSJFYEywQ/UvHRWHDCRJI/AAAAAAAFK5I/CkkDouNCPCk/s72-c/bbb+(1).jpg)
Taarifa ya Maendeleo ya Msiba wa Mama Theonestina Rweyemam
![](http://2.bp.blogspot.com/-BUZSJFYEywQ/UvHRWHDCRJI/AAAAAAAFK5I/CkkDouNCPCk/s1600/bbb+(1).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-0ijrZoPwLXo/UvClb3xIr_I/AAAAAAAFKxU/WHMfL0lxUYI/s72-c/bbb.jpg)
Tangazo la Misa ya Mrs Theonestina Rweyemamu - New York
![](http://2.bp.blogspot.com/-0ijrZoPwLXo/UvClb3xIr_I/AAAAAAAFKxU/WHMfL0lxUYI/s1600/bbb.jpg)
Shughuli itafanyika tarehe 1 Februari, 2015 siku ya jumapili, kuanzia saa nane mchana mpaka saa kumi na mbili jioni.
Anuani : 40 East Sidney Avenue, Mount Vernon NY 10550 (COMMUNITY ROOM).
Wote mnakaribishwa.
Asante
Mungu wetu azidi kukubariki na wewe.Doris Rweyemamu
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ZERVkoJGFHo/Ux9RV6UoShI/AAAAAAAFS9c/mHEaRQVP53I/s72-c/20140308_184516.jpg)
Taarifa ya Maendeleo ya Msiba, New York
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZERVkoJGFHo/Ux9RV6UoShI/AAAAAAAFS9c/mHEaRQVP53I/s1600/20140308_184516.jpg)
Mama Mwaluko alikuwa akikaa Queens, New York, na alishawahi kuwa mwalimu na alifundisha high school hapa New York.
Mama Mwaluko alifariki baada ya kuugua ugonjwa wa saratani yaani kansa. Alikuwa akitibiwa huko katika hospitali ya Calvary huko Bronx, New York. Michango yenu kwa ajili ya kufanikisha shughuli za msiba huu itumwe kwenye akaunti...
11 years ago
MichuziTAARIFA YA MSIBA WA PRIVATE BRIAN SALVA RWEYEMAMU
Bwana Salvatory Rweyemamu wa Kinondoni Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mpendwa Private Brian Salvatory Rweyemamu aliyefariki alfajiri ya kuamkia tarehe 15 Mei,2014 katika hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es salaam alipokuwa akitibiwa.
Mipango ya mazishi ambayo yanatarajiwa kufanyika Jumamosi inafanyika. Msiba uko nyumbani kwa Bwana Salvatory Rweyemamu Kinondoni jirani na Vijana Social Hall ama Mango Garden, jijini Dar es...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-HSFHD28Zqzk/VXnQA4HrNtI/AAAAAAADrG8/jLpPJt0s-zk/s72-c/unnamed.jpg)
TAARIFA YA MSIBA NEW YORK NA TANZANIA, LEO NI SIKU YA MWISHO MWILI WA MAREHEMU UNAPUMZISHWA KWENYE NYUMBA YA MILELE HUKO TANZANIA, WATANZANI TUTAKUTANA NYUMBANI KWA DR TEMBA
![](http://2.bp.blogspot.com/-HSFHD28Zqzk/VXnQA4HrNtI/AAAAAAADrG8/jLpPJt0s-zk/s320/unnamed.jpg)
Alizaliwa Uru Shimbwe na alikuwa Mwalimu Lyamungu Secondary School, Moshi Kilimamjaro Tanzania.
Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania kwa Masikitiko makubwa tunaungana na Mweka na Mweka Hazina wetu Dr.Temba kutangaza kifo cha Kaka yake mpenzi Mzee Flavian Temba kilichotokea ghafla usiku wa June 10,2015 katika Hospitali ya Mawenzi Moshi Kilimanjaro, Tanzania. Kama ilivyo desturi yetu wanajumuiya tuungane na Dr.Temba...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-dL7A62utTxg/Uu6b4JGTydI/AAAAAAAFKbw/D9WGIiR0GMY/s72-c/bbb.jpg)
death announcement of Mrs. Theonestina Rweyemamu
![](http://4.bp.blogspot.com/-dL7A62utTxg/Uu6b4JGTydI/AAAAAAAFKbw/D9WGIiR0GMY/s1600/bbb.jpg)
11 years ago
MichuziMaendeleo ya Msiba New York na Philadelphia
Michango kwa ajili ya kufanikisha shughuli za msiba wa Marehemu Mama Harriette Peace Kagaruki aliyefariki dunia huko Philadelphia tarehe 28 April 2014 bado inaendelea. Mpaka sasa kiasi cha dolla 8,800 zimeshapatikana. Lengo ni kuchangisha dolla 20,000 ili kufanikisha shughuli za msiba huu uliotokea tarehe 28 April 2014. Tunawaomba tuzidi kuchanga ili tuweze kufikia kiasi kinachohitajika na ili tuweze kufanikisha shughuli za kuurudisha mwili wa Marehemu Tanzania. Ukipata taarifa hizi...