TAARIFA YA MSIBA WA PRIVATE BRIAN SALVA RWEYEMAMU
Private Brian Salvatory Rweyemamu
Bwana Salvatory Rweyemamu wa Kinondoni Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mpendwa Private Brian Salvatory Rweyemamu aliyefariki alfajiri ya kuamkia tarehe 15 Mei,2014 katika hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es salaam alipokuwa akitibiwa.
Mipango ya mazishi ambayo yanatarajiwa kufanyika Jumamosi inafanyika. Msiba uko nyumbani kwa Bwana Salvatory Rweyemamu Kinondoni jirani na Vijana Social Hall ama Mango Garden, jijini Dar es...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziRais Kikwete Amfariji Salva Rweyemamu na familia kwa msiba wa Private Brian
11 years ago
GPLJK AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMFARIJI SALVA RWEYEMAMU NA FAMILIA YAKE KWA MSIBA WA PRIVATE BRIAN
11 years ago
MichuziSHUKRANI: PRIVATE BRIAN SALVA RWEYEMAMU
11 years ago
MichuziMAZISHI YA PRIVATE BRIAN SALVA RWEYEMAMU
11 years ago
Dewji Blog18 May
Private Brian Salva Rweyemamu azikwa jijini Dar
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ofisi ya Rais Bw. Salva Rweyemamu na mkewe Isabella wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mtoto wao Private Brian Salva Rweyemamu katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jana Mei 17, 2014.
Dada wa Marehemu Private Brian Salva Rweyemamu wakiweka shada la maua wakati wa mazishi katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salva Kikwete wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Private Brian Salva Rweyemamuwakati...
11 years ago
MichuziRATIBA YA MAZISHI YA PRIVATE BRIAN SALVA RWEYEMAMU, NA WASIFU WAKE
SAA 1.00 ASUBUHI CHAI
SAA 4.00-5.00 CHAKULA CHA MCHANA
SAA 5.00-6.00 KUAGA MWILI
SAA 6.00-7.00 MISA KATIKA KANISA KATOLIKI MWANANYAMALA
SAA 10.00 SHUGHULI ZA MAZISHI MAKABURI YA KINONDONI
--------------------------------------------------------------- WASIFU WA PRIVATE BRIAN SALVA RWEYEMAMU
Rwechungura Brian Salva Rweyemamu, aliyefariki dunia alfajiri ya juzi, Alhamisi, Mei 15, 2014 ni mtoto wa kwanza wa Salva Rweyemamu na Isabella Kafumba Rweyemamu. Alizaliwa...
11 years ago
Michuzi18 May
11 years ago
MichuziMaendeleo ya Taarifa ya Msiba wa mama Theonestina Rweyemamu huko new york, marekani
Bado harambe ya kutafuta dolla 10,000 za kufanikisha mipango ya mazishi inaendelea. Tunawaomba mtafute walau muda mchache mweze kujumuika na Watanzania wenzetu...
10 years ago
IPPmedia15 Aug
Director of President Communications, Salva Rweyemamu
IPPmedia
Director of President Communications, Salva Rweyemamu
IPPmedia
There is no likelihood for President Jakaya Kikwete to dissolve the ongoing Constituent Assembly despite mounting pressure for him to do so from the Coalition of People's Constitution (Ukawa). But speaking to journalists in Dar es Salaam yesterday the ...