Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU PRIVATE BRIAN SALVA GWEYEMAMU

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SHUKRANI: PRIVATE BRIAN SALVA RWEYEMAMU

PRIVATE BRIAN SALVA RWEYEMAMU

27.12.1987-15.05.2014

Familia ya Bwana Salva Rweyemamu na Bibi Isabella Kafumba Rweyemamu wa Kinondoni, Dar Es Salaam inayo heshima kubwa kutoa shukrani za dhati kabisa kwa ndugu, Jamaa na marafiki ambao walishiriki kwa namna moja ama nyingine kufanikisha msiba, mazishi na hatimaye matanga ya mtoto wao mpendwa, Brian Salva Rweyemamu aliyefariki dunia alfajiri ya Alhamisi ya Mei 15 kwenye Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo na...

 

11 years ago

Michuzi

MAZISHI YA PRIVATE BRIAN SALVA RWEYEMAMU

Mkurugenzi wa Mawasiliano Ofisi ya Rais Ikulu Bw. Salva Rweyemamu na mkewe Mama Isabella Salva Rweyemamu wakijiandaa kuweka shada la maua wakati wa mazishi ya mtoto wao Private Brian Salva Rweyemamu yaliyofanyika jioni ya leo kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam. Wazazi wakiweka shada lao la maua Majonzi makubwa Dada wa marehemu na shada lao maalumu kwa kaka yao Dada wakiweka shada lao Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka mashada yao Waziri wa Mambo ya Nje na...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA WA PRIVATE BRIAN SALVA RWEYEMAMU

Private Brian Salvatory Rweyemamu
Bwana Salvatory Rweyemamu wa Kinondoni Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mpendwa Private Brian Salvatory Rweyemamu aliyefariki alfajiri ya kuamkia  tarehe 15 Mei,2014 katika hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es salaam alipokuwa akitibiwa.
Mipango ya mazishi ambayo yanatarajiwa kufanyika Jumamosi inafanyika. Msiba uko  nyumbani kwa Bwana Salvatory Rweyemamu Kinondoni jirani na Vijana Social Hall ama Mango Garden, jijini Dar es...

 

11 years ago

Dewji Blog

Private Brian Salva Rweyemamu azikwa jijini Dar

salva1

 Mkurugenzi wa Mawasiliano Ofisi ya Rais Bw. Salva Rweyemamu na mkewe Isabella wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mtoto wao Private Brian Salva Rweyemamu katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jana Mei 17, 2014.

salva2

salva3

Dada wa Marehemu Private Brian Salva Rweyemamu wakiweka shada la maua wakati wa mazishi katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.

salva4

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salva Kikwete wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Private Brian Salva Rweyemamuwakati...

 

11 years ago

Michuzi

RATIBA YA MAZISHI YA PRIVATE BRIAN SALVA RWEYEMAMU, NA WASIFU WAKE

TAREHE 17.05.2014


SAA      1.00  ASUBUHI CHAI


SAA 4.00-5.00  CHAKULA CHA MCHANA


SAA 5.00-6.00 KUAGA MWILI


SAA 6.00-7.00 MISA KATIKA KANISA KATOLIKI MWANANYAMALA


SAA 10.00 SHUGHULI ZA MAZISHI MAKABURI YA KINONDONI
--------------------------------------------------------------- WASIFU WA PRIVATE  BRIAN SALVA RWEYEMAMU
Rwechungura Brian Salva Rweyemamu, aliyefariki dunia alfajiri ya juzi, Alhamisi, Mei 15, 2014 ni mtoto wa kwanza wa Salva Rweyemamu na Isabella Kafumba Rweyemamu. Alizaliwa...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete Amfariji Salva Rweyemamu na familia kwa msiba wa Private Brian

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi ya Rais Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye Private Brian Salva Rweyemamu kilichotokea jana katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini baada ya kuugua kwa muda mfupi. Marehemu Private Brian anatarajiwa kuzikwa kesho mchana(Jumamosi) katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipa pole Bibi...

 

11 years ago

GPL

JK AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMFARIJI SALVA RWEYEMAMU NA FAMILIA YAKE KWA MSIBA WA PRIVATE BRIAN

Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi ya Rais Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye Private Brian Salva Rweyemamu kilichotokea jana katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

Michuzi

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU MAXMILIAN NGUBE

Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Maxmilian John Ngube likiwa kwenye viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam mchana wa leo tayari kwa shughuli ya kuagwa na kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni.Max Ngobe alifariki Dunia mwishoni mwa wiki iliyopita kutoka na maradhi ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.
Risala fupi ikisomwa wakati wa Shughuli hiyo na Kuangwa kwa Marehemu Max Ngobe mmoja wa wanahabari wakongwe Tanzania.
Wanahabari wakirekodi tukio la kuaga Mwili wa Marehemu...

 

11 years ago

GPL

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU AMINA NGALUMA

Waombelezaji wakitoka msikitini tayari kwa kwenda kwenye maziko. Mwili wa marehemu Amina Ngaluma ukishushwa tayari kuingia kaburini kwa maziko, Machimbo Mnarani.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani