Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taarifa ya Maendeleo ya Msiba wa Mama Theonestina Rweyemam


Ratiba fupi ya shughuli za msiba wa mama Theonestina Rweyemamu ni kama ifuatavyo: Kuaga Mwili wa Marehemu Mama Theonestina Rweyemamu itakuwa Jumatano tarehe 5 Februari 2014 kuanzia saa kumi jioni hadi saa mbili usiku. Mahala: Camelot Funeral Home, 174 Stevens Avenue, Mount Vernon, NY 10550; Misa ya Kumwombea Marehemu itakuwa saa nne asubuhi siku ya Alhamisi tarehe 6 Februari 2014 kwenye kanisa la Moyo Mtakatifu au Sacred Heart Church. Mahala: 115 Sharpe Blvd., South Mount Vernon, NY...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Maendeleo ya Taarifa ya Msiba wa mama Theonestina Rweyemamu huko new york, marekani

Kufuatia taarifa ya msiba tuliyowatumia jana, tunapenda kuwakumbusha kwamba watoto wa marehemu na ndugu na jamaa watakuwepo nyumbani leo na mnaweza kwenda kuwafariji na kutoa rambi rambi zenu wakati wowote. Address ni:  40 East Sidney Avenue,  Apt # 10C , Mount Vernon,  NY 10550.  Na namba ya simu ya nyumbani ni 914-667-6456. 
Bado harambe ya kutafuta dolla 10,000 za kufanikisha mipango ya mazishi inaendelea.  Tunawaomba mtafute walau muda mchache mweze kujumuika na Watanzania wenzetu...

 

11 years ago

Michuzi

Maendeleo ya Msiba wa Mama Theonestina Rweyemamu

Familia ya Nestory Mwombeki Rweyamamu ya Mt. Vernon New York imetoa ratiba fupi ya shughuli za msiba wa mama yao mpendwa Theonestina Rweyemamu kama ifuatavyo: Kuaga Mwili wa Marehemu Mama Theonestina Rweyemamu itakuwa Jumatano tarehe 5 Februari 2014 kuanzia saa kumi jioni hadi saa mbili usiku. Mahala: Camelot Funeral Home, 174 Stevens Avenue, Mount Vernon, NY 10550; Misa ya Kumwombea Marehemu itakuwa saa nne asubuhi siku ya Alhamisi tarehe 6 Februari 2014 kwenye kanisa la Moyo Mtakatifu au...

 

11 years ago

Michuzi

Shughuli za Msiba wa Mama Theonestina Rweyemamu new york, MAREKANI

Shughuli za Msiba wa Mama Theonestina Rweyemamu zinaendelea vizuri. Leo kutakuwa na misa ya Kumwombea Marehemu saa nne asubuhi kule Mount Vernon, New York na Anwani ya Kanisa ni kama ifuatavyo: The Sacred Heart Church, 115 Sharpe Blvd, South Mount Vernon, NY 10550. Jana heshima za mwisho zilitolewa ambapo Watanzania wengi walifika kuuaga mwili wa Marehemu pale Camelot Funeral Home, 174 Stevens Avenue, Mount Vernon, NY 10550. Chini ni taswira za picha za jana ni kama ifuatavyo: Sehemu ya...

 

11 years ago

Michuzi

Taarifa ya Maendeleo ya Msiba, New York

Kama mlivyofahamishwa awali Mtanzania mwenzetu Mama Lulu John Maro Mwaluko (pichani) amefariki dunia asubuhi ya siku ya Ijumaa tarehe 7 Machi 2014. 
Mama Mwaluko alikuwa akikaa Queens, New York,  na alishawahi kuwa mwalimu na alifundisha high school hapa New York.  
Mama Mwaluko alifariki baada ya kuugua ugonjwa wa saratani yaani kansa. Alikuwa akitibiwa huko katika hospitali ya Calvary huko Bronx, New York. Michango yenu kwa ajili ya kufanikisha shughuli za msiba huu itumwe kwenye akaunti...

 

11 years ago

Michuzi

Maendeleo ya Msiba wa Mama Kagaruki na Safari ya Marehemu Mama Harriette Peace Kagaruki kuelekea Tanzania

 Michango kwa ajili ya kufanikisha shughuli za msiba wa Marehemu Mama Harriette Peace Kagaruki aliyefariki dunia huko Philadelphia tarehe 28 April 2014 imekamilika. Mpaka sasa kiasi cha dolla 20,000 kimepatikana kama ifuatavyo:
·      Watanzania Marekani wametoa dolla 5,300 ·      Familia, ndugu na Jamaa wa Tanzania wametoa dolla 11,000 ·      Watoto wa Marehemu Erick na Mary Kagaruki wametoa kiasi kilichobakia cha dolla 3,700.   Watoto wa Marehemu Erick Kagaruki na Mary Kagaruki na...

 

10 years ago

Vijimambo

Maendeleo ya Msiba wa Mama Maleko Lema

Ndugu ,Jamaa na Marafiki .Tunasikitika kuwataarifu ya kuwa Mama Mzazi wa Cuthbert (CM) na Martha Lema amefariki dunia jana usiku Arusha Tanzania.Mazishi yatafanyika alhamis kule Machame ,Tanzania .
Kwa Marekani,Msiba utakuwepo nyumbani kwa CM & Martha huko Apple Valley -Minnesota.Adress:15483 Flight Way,Apple Valley MN 55124.
 Kama ilivyo desturi yetu,tunaendelea kukutanika nyumbani kwao  ili kuwafariji na kuleta rambi rambi zetu kwa pamoja.
Jumatano 10/29/14 kutakuwa na Ibada maalum ya kuomba...

 

9 years ago

Michuzi

Taarifa za uongo kuhusu Rambirambi za Msiba wa Mama yake Aslay

Kuna mtu anatumia akaunti feki ya msanii wa Yamoto Band Enock Bella akiomba kutumiwa rambirambi ya msiba wa mama mzazi wa Aslay Isihaka Ambaye amefariki Dunia leo asubuhi.
Mtu huyo anatumia namba 0716281999 na amesajili kwa jina la Aslay Isihaka tunawaomba wadau na mashabiki wa Yamoto Band na Aslay wapuuze tariifa siyo za ukweli na hakuna utaratibu wa kutuma rambirambi katika simu.

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA: MAMA MZAZI WA SAID MDOE WA SALUTI5 AFARIKI DUNIA

MAMA mzazi wa mmiliki wa mtandao wa Saluti5, Said Mode - Bi Desta Mohamed - amefariki ghafla Jumatatu ya tarehe 31/3/2014 saa 1 za jioni.
 Alipata homa kali Jumapili mchana, akapelekwa hospitali (IMTU) akapata matibabu na kuruhusiwa kurudi nyumbani. Hali yake haikuwa mbaya wala ya kutia mashaka.
 Jumatatu akaamka vizuri na akashinda vizuri hadi saa 12 za jioni hali ipoanza kubadilika tena. Akafariki akiwa njiani kupelekwa hospitali. Msiba uko Dar es Salaam, Mbezi Beach Old...

 

10 years ago

GPL

MAENDELEO YA MSIBA WA MAMA KULWA, DOTTO NA NICO MWAIBALE JIJINI DAR, KUSAFIRISHWA KESHO KWENDA MBEYA KWA MAZISHI

 Meneja Mkuu  wa Global Publishers Limited Bwana. Abdalah Mrisho akitoa mkono wa pole kwa  Dada mkubwa wa kina Mwaibale Mwalimu Mary Anyitike

Mwanahabari Kulwa Mwaibale (mwenye Fulana nyekundu) akiwatambulisha wafanyakazi wenzake wa Kampuni ya Global Publisher kwa wanafamilia.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani