Taarifa za uongo kuhusu Rambirambi za Msiba wa Mama yake Aslay
![](http://4.bp.blogspot.com/-Rk2KSuo_Hiw/VfQL1eM35EI/AAAAAAAH4Nc/t2b04FC6ch4/s72-c/IMG_20150912_115432.jpg)
Kuna mtu anatumia akaunti feki ya msanii wa Yamoto Band Enock Bella akiomba kutumiwa rambirambi ya msiba wa mama mzazi wa Aslay Isihaka Ambaye amefariki Dunia leo asubuhi.
Mtu huyo anatumia namba 0716281999 na amesajili kwa jina la Aslay Isihaka tunawaomba wadau na mashabiki wa Yamoto Band na Aslay wapuuze tariifa siyo za ukweli na hakuna utaratibu wa kutuma rambirambi katika simu.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo513 Oct
Aslay adai asilimia 60 ya mafanikio yake yametokana na marehemu mama yake
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
JK atuma salam za rambirambi za msiba wa mama mzazi wa Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale, mwili wasafirishwa kwenda Mbeya leo kwa mazishi
![IMG_9952](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_9952.jpg)
Mwili wa Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mfumu mama yao Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale ukiwa unaandaliwa tayari kwa...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-BUZSJFYEywQ/UvHRWHDCRJI/AAAAAAAFK5I/CkkDouNCPCk/s72-c/bbb+(1).jpg)
Taarifa ya Maendeleo ya Msiba wa Mama Theonestina Rweyemam
![](http://2.bp.blogspot.com/-BUZSJFYEywQ/UvHRWHDCRJI/AAAAAAAFK5I/CkkDouNCPCk/s1600/bbb+(1).jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0NnbyC9fgxg/Xn3m8An5VzI/AAAAAAALlSg/23AuC6e-pvUhOseL5DzpwNFXwdr81r-8ACLcBGAsYHQ/s72-c/39a1c201-bb67-4b73-aa44-3876b031b88d.jpg)
JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM YAWASHIKILIA MUME,MKE KWA TUHUMA ZA KUENEZA TAARIFA ZA UONGO KUHUSU CORONA
Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linawashikilia watu wawili ambao ni mume na mke kwa tuhuma na kueneza taarifa za uongo kwa wananchi kuhusu ugonjwa COVID-19(Corona) na kwamba watafikishwa mahakamani wakati wowote.
Akizungumza leo Machi 27 mwaka 2020 ,Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amesema watu hao wamekamatwa Machi 20 mwaka huu saa saba mchana wakiwa kwenye daladala aina ya Toyota DCM...
11 years ago
Michuzi12 Feb
TAARIFA YA MSIBA WA DADA YAKE LOVENESS MAMUYA
Watanzania tujumuike na dada yetu Loveness Mamuya, na kuhudhuria msiba wa kifo cha dada yake mpendwa MERCY MAMUYA MTUI kilichotokea leo alfajiri Tanzania. Kwa wakazi wa DMV na vitongoji vyake msiba upo nyumbani kwa Bi Loveness Mamuya. kama ilivyo mila na desturi yetu tunaomba tumfariji katika kipindi hiki kigumu cha majonzi. ADDRESS: 1005 Meandaring way Odeton MD 21113 NAMBA YA SIMU: LOVENESS MAMUYA:240-4230437 AZIZI: 301-768-9195
Mwenyezi mungu amlaze marehemu mahala pema...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-e5Ej3RD5PYs/UzotxxsfpuI/AAAAAAAFXnw/TNu9uLxH_-s/s72-c/mama+halima.jpg)
TAARIFA YA MSIBA: MAMA MZAZI WA SAID MDOE WA SALUTI5 AFARIKI DUNIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-e5Ej3RD5PYs/UzotxxsfpuI/AAAAAAAFXnw/TNu9uLxH_-s/s1600/mama+halima.jpg)
Alipata homa kali Jumapili mchana, akapelekwa hospitali (IMTU) akapata matibabu na kuruhusiwa kurudi nyumbani. Hali yake haikuwa mbaya wala ya kutia mashaka.
Jumatatu akaamka vizuri na akashinda vizuri hadi saa 12 za jioni hali ipoanza kubadilika tena. Akafariki akiwa njiani kupelekwa hospitali. Msiba uko Dar es Salaam, Mbezi Beach Old...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-f_JRc5jOdg0/Uu-IFwIsNQI/AAAAAAAFKqI/gCjzgivx4vo/s72-c/bbb.jpg)
Maendeleo ya Taarifa ya Msiba wa mama Theonestina Rweyemamu huko new york, marekani
![](http://2.bp.blogspot.com/-f_JRc5jOdg0/Uu-IFwIsNQI/AAAAAAAFKqI/gCjzgivx4vo/s1600/bbb.jpg)
Bado harambe ya kutafuta dolla 10,000 za kufanikisha mipango ya mazishi inaendelea. Tunawaomba mtafute walau muda mchache mweze kujumuika na Watanzania wenzetu...
10 years ago
VijimamboRAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI ZA MSIBA WA MAMA MZAZI WA KULWA,DOTTO NA NICO MWAIBALE, MWILI WASAFIRISHWA KWENDA MBEYA LEO KWA MAZISHI.