Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA MSIBA WA DADA YAKE LOVENESS MAMUYA


Watanzania  tujumuike na dada yetu Loveness Mamuya, na kuhudhuria msiba wa  kifo cha  dada yake mpendwa MERCY MAMUYA MTUI kilichotokea leo alfajiri Tanzania.

Kwa wakazi wa DMV na vitongoji vyake msiba upo nyumbani kwa Bi Loveness Mamuya.

 kama ilivyo mila na desturi yetu tunaomba tumfariji katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.

ADDRESS:  1005 Meandaring way Odeton MD 21113

NAMBA YA SIMU: LOVENESS MAMUYA:240-4230437

       AZIZI: 301-768-9195  


Mwenyezi mungu amlaze marehemu mahala pema...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MSIBA WA DADA YAKE YAKE KIJIJINI CHATO LEO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za Mwisho katika jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo Chato mkoani Geita. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za Mwisho katika jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MRATIBU WA CCM MAREKANI LOVENESS MAMUYA AKIMKABIDHI KADI YA UANACHAMA ANDREW SMASHER

ANDREW SMASHER NI MDAU WA SIKU NYINGI - HAPA AKICHUKUA UANACHAMA RASMI WA CCM JIJINI MINNEAPOLIS, MINNESOTA JANA KWENYE UZINDUZI WA SHINA LA CCM  MJINI HUKO

 

10 years ago

Vijimambo

Kada Mzalendo Loveness Mamuya na Mrejesho wa Kwanini Usiku wa Jakaya ni Kitu cha Kujivunia Daima

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH. DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE NA MAENDELEO NCHINI TANZANIA


1.   UTANGULIZI

Binadamu hakuumbwa katika ombwe, ameumbwa akiwa katika dimbwi la majukumu, kwake binafsi, familia, jamii na dunia kwa ujumla. Wachache sana wanaoweza kupitia ngazi zote za uwajibikaji huu. Katika hao wachache, hatutasita kumtaja Jakaya Khalifan Mrisho Kikwete. Ili kujijenga vema katika misingi ya uongozi, Jakaya Kikwete alijijenga vema katika taasisi hizi za msingi na alipikwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MRATIBU WA MATAWI YA CCM MAREKANI LOVENESS MAMUYA AZINDUA SHINA JIPYA JIJI LA WASOMI TULSA, OKLAHOMA


Mratibu wa Matawi ya CCM Ndugu. Loveness Mamuya akisema machache wakati wa Uzinduzi wa Shina Jipya, Tulsa OklahomaViongozi Wandamizi wa Shina la Jipya Kushoto Ndugu Emmanuel J Kamara na Katibu wake Ndugu Edgar ChiwangaMdau Akifurahia Kupata Kadi yakeMjumbe Bryceson Motto akimwaga Sera kwa WanaCCM waliyojumuikaKikao Kikiendelea








 

10 years ago

Vijimambo

JESSICA MUSHALA, LOVENESS MAMUYA NA CHRIS LUKOSI WAKANUSHA HABARI KUHUSIANA KUTANGAZA VITA BAADA YA KUKOSA UKUU WA WILAYA

Bi. Jessica Mushala          Bi. Loveness Mamuya              Bwn. Chris Lukosi
Habari iliyoandikwa leo kwenye mtandao wa Jamii Forums na mdau ambaye hakujitambulisha jina na baadae kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ikiwemo SMS na Whatsup iliyobeba kichwa cha habari "Makada wa CCM Diaspora watangaza vita baada ya kukosa ukuu wa Wilaya"
Vijimambo ilibidi uwavutie waya kwa nyakati tofauti wahusika wakuu waliotajwa kwenye habari hoyo kutaka kujua kulikoni na kama habari yenyewe ina ukweli ndani...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA WA DADA LETICIA MATTEI RWECHUNGURA ULIOTOKEA NCHINI UJERUMANI

 Tunasikitika kutangaza kifo cha ghafla cha  dada yetu mpendwa Leticia Mattei Rwechungura kilichotokea hapa Ujerumani tarehe 06.01.2015.Mazishi yatafanyika hapa Ujerumani Königswinter, karibu na mji wa Bonn tarehe 24.01.2015. Misa itaanza saa tano asubuhi (11:00 a.m.), katika Kanisa la St. Michael Niederdollendorf, Petersbergerstr. 14, 53639 Königswinter.
Dada Leticia Mattei alikuwa mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa huko South Sudan (UNMIS) - United Nations Mission in Südan, Eastern...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPENI ZA CCM ZAPAMBA MOTO,MWIGULU,LOVENESS MAMUYA WASHIRIKI UFUNGUZI WA KAMPENI KISESA-MEATU

Mwigulu Nchemba na Mgombea Ubunge Jimbo la Kisesa-Meatu Ndg.Mpina wakiwasili Uwanja wa Mkutano hii leo wakati wa Ufunguzi wa kampeni katika Jimbo hilo.Mapokezi ya Mgombea Ubunge Jimbo la kisesa wakati wa Mkutano wa kufungua kampeni za Ubunge na Udiwani hii leo.Mwigulu NChemba akisalimiana na Wananchi wa Kisesa hii leo alipokwenda kufanya ufunguzi wa kampeni katika Jimbo hilo.Makada wa chama cha Mapinduzi wakifuatilia Mkutano wa Kufungua Kampeni Jimbo la Kisesa.Kada Mtiifu wa Chama cha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Majaliwa ahani msiba wa dada yake Rais Mstaafu, Tausi Kikwete

IMGS5809

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana  na Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete wakati alipokwenda kuwapa pole wanafamilia kutokana na kifo cha dada yake Rais Mstaafu, Tausi Kikwete, Mikocheni jijini Dar es salaam Desemba 19, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMGS5810

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na wanafamilia wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete  wakati alipokwenda kuwapa pole wanafamilia kutokana na kifo cha dada yake Rais Mstaafu, Tausi...

 

9 years ago

Michuzi

MSAADA TUTANI: DADA WA NYUMBANI ATOWEKA NA MTOTO LOVENESS COLETHA JULLLU, FAMILIA YAMSAKA

Picha ya hivi karibuni ya mtoto Loveness C. Jullu
Familia ya Jullu ya Wazo Hill kwa Msabaha jijini Dar es Salaam inaomba msaada kutoka kwa raia wema ili kufanikisha kumpata mtoto wao Loveness Coletha Jullu aliyepotea nyumbani na msichana aliyekuwa akimlea na kusaidia shughuli za nyumbani.Wawili hao hawajaonekana tangu juzi Jumanne. Taarifa zimefikishwa katika kituo cha polisi na RPC wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni amekiri kupata taarifa za tukio hilo.Ikiwa una taarifa zozote zitakazosaidia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani