KAMPENI ZA CCM ZAPAMBA MOTO,MWIGULU,LOVENESS MAMUYA WASHIRIKI UFUNGUZI WA KAMPENI KISESA-MEATU
Mwigulu Nchemba na Mgombea Ubunge Jimbo la Kisesa-Meatu Ndg.Mpina wakiwasili Uwanja wa Mkutano hii leo wakati wa Ufunguzi wa kampeni katika Jimbo hilo.
Mapokezi ya Mgombea Ubunge Jimbo la kisesa wakati wa Mkutano wa kufungua kampeni za Ubunge na Udiwani hii leo.
Mwigulu NChemba akisalimiana na Wananchi wa Kisesa hii leo alipokwenda kufanya ufunguzi wa kampeni katika Jimbo hilo.
Makada wa chama cha Mapinduzi wakifuatilia Mkutano wa Kufungua Kampeni Jimbo la Kisesa.
Kada Mtiifu wa Chama cha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania21 Jan
Kampeni chafu urais CCM zapamba moto
JOTO la uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linazidi kupamba moto, huku uongozi wa juu wa chama hicho ukihaha kuwazima makada wanaodaiwa kuanza kampeni kabla ya muda.
Kutokana na hali hiyo, CCM imewataka wapambe na wagombea wao kuacha kutoa taarifa za uzushi dhidi ya makada sita wa chama hicho kwa lengo la kupotosha umma.
Akizungumza na waandishi wa habari jana visiwani Zanzibar, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Nape Nnauye, alisema chama hicho kitawachukulia hatua kali...
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Kampeni Bunge la Katiba zapamba moto
10 years ago
BBCSwahili18 Jan
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-1xNgUlrVdnQ/VFaNYef28jI/AAAAAAABLyI/DxQn2h8dTGw/s72-c/blogger-image-1397358458.jpg)
MRATIBU WA CCM MAREKANI LOVENESS MAMUYA AKIMKABIDHI KADI YA UANACHAMA ANDREW SMASHER
![](http://2.bp.blogspot.com/-1xNgUlrVdnQ/VFaNYef28jI/AAAAAAABLyI/DxQn2h8dTGw/s1600/blogger-image-1397358458.jpg)
10 years ago
VijimamboMRATIBU WA MATAWI YA CCM MAREKANI LOVENESS MAMUYA AZINDUA SHINA JIPYA JIJI LA WASOMI TULSA, OKLAHOMA
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/234.jpg)
WANANCHI WAJITOKEZA KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA CCM
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/234.jpg)
WANANCHI WAJITOKEZA KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA CCM
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/5w1-REdHCYw/default.jpg)
9 years ago
Vijimambo23 Aug
MKUTANO WA UFUNGUZI WA KAMPENI YA CCM JANGWANI JIJINI DAR