Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANANCHI WAJITOKEZA KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA CCM

Kundi la WanaCCM likiingia kwa mbwembwe kwenye viwanja hivyo. Dokta Cheni (kulia) na Stive Nyerere nao walikuwepo. Wema Sepetu (kushoto) na Batuli wakiingia viwanjani hapo kusikiliza sera za Rais mtarajiwa, John Magufuli…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

WANANCHI WAJITOKEZA KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA CCM

  Kundi la WanaCCM likiingia kwa mbwembwe kwenye viwanja hivyo. Dokta Cheni (kulia) na Stive Nyerere nao walikuwepo. Wema Sepetu (kushoto) na Batuli wakiingia viwanjani hapo kusikiliza sera za Rais mtarajiwa, John Magufuli…

 

9 years ago

Michuzi

MAMIA WAJITOKEZA KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU ZA CHAMA CHA CCM LEO

Mzee akiwa amevaa Picha ya Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,John Magufuli leo katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.



Wiliam ngereja ajitokeza katika kumunga mkono Magufuli katika ufunguzi wa Kampeni leo jijini Dar es Salaam.Vijana wakiwa wamebebana ili waweze kuona mbele katika ufunguzi wa kampeni za chama cha mapinduzi leo katika viwanja vya Jangwani  jijini Dar es Salaam. Furaha imetawala kwenye mioyo ya wanaCCM kama inavyoonekana kwenye taswira yetu hapo...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPENI ZA CCM ZAPAMBA MOTO,MWIGULU,LOVENESS MAMUYA WASHIRIKI UFUNGUZI WA KAMPENI KISESA-MEATU

Mwigulu Nchemba na Mgombea Ubunge Jimbo la Kisesa-Meatu Ndg.Mpina wakiwasili Uwanja wa Mkutano hii leo wakati wa Ufunguzi wa kampeni katika Jimbo hilo.Mapokezi ya Mgombea Ubunge Jimbo la kisesa wakati wa Mkutano wa kufungua kampeni za Ubunge na Udiwani hii leo.Mwigulu NChemba akisalimiana na Wananchi wa Kisesa hii leo alipokwenda kufanya ufunguzi wa kampeni katika Jimbo hilo.Makada wa chama cha Mapinduzi wakifuatilia Mkutano wa Kufungua Kampeni Jimbo la Kisesa.Kada Mtiifu wa Chama cha...

 

9 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA UFUNGUZI WA KAMPENI YA CCM JANGWANI JIJINI DAR

Umati wa wanachama wa CCM wakiwa katika mkutano huo.Screen kubwa iliyofungwa jukwaani kwa ajili ya kutoa matukio live kwa walio mbali.Bendera za CCM zikiwa zimezunguka uwanjani hapo.Wanachama wa CCM wakishangilia mara baada ya kuwasili Jangwani.Wana CCM wakiingia kwa mbwebwe uwanjani.Bango kubwa la mgombea urais kupitia CCM, John Magufuli likiwa pembezoni mwa viwanja vya Jangwani.Wanachuo mbalimbali wakiingia viwanja vya Jangwani.Msululu wa wanachama wa CCM wakiingia uwanjani.  Picha kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali pichani wakati wa Mkutano wa ufunguzi wa kampeni za CCM Jangwani leo

IMG_0256Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Makamu wake, Gharib Bilal (Kushoto) katikati ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein.

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, John Pombe Magufuli akiwasalimia Wana-CCM waliofika viwanjani hapo.

Katibu wa Itikiadi na Uenezi, Nape Nnauye akiamsha shamrashamra.

Malkia wa Taarab, Khadija Kopa akitumbuiza sambamba na bendi ya TOT.

Wasanii wa Bongo Muvi, Wema Sepetu na Batuli wakiingia...

 

9 years ago

Vijimambo

MAELFU WAJITOKEZA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI ZA MGOMBEA MWENZA WA UKAWA BUSANDA GEITA

 Msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni ukiwasili katika kata ya Katolo wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Busanda mkoani Geita.Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwasili katika mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita leo. (Picha na Francis Dande) Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwapungia mkono wananchi waliofurika katika mkutano wa kampeni wa uliofanyika katika kata ya Katolo...

 

11 years ago

GPL

WANANCHI WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI JIMBO LA KIEMBESAMAKI

Wananchi Jimbo la Kiembesamaki, Zanzibar wakiangalia majina yao kujua vituo vyao walivyopangiwa kupiga kura leo asubuhi. Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
HABARI kutoka Zanzibar zinasema uchaguzi mdogo wa uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki kisiwani humo unaendelea vizuri na wapiga  kura wengi wamejitokeza kwenda kutimiza haki yao ya kimsingi. Ulinzi umeimarishwa katika vituo vya kupigia kura. Mwandishi wetu wa huko anasema jana...

 

9 years ago

Michuzi

MAELFU WAJITOKEZA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI ZA BABU DUNI, MGOMBEA MWENZA WA UKAWA BUSANDA GEITA

 Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwapungia mkono wananchi waliofurika katika mkutano wa kampeni wa uliofanyika katika kata ya Katolo jimbo la  Busanda mkoani Geita. Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita. Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani