Kada Mzalendo Loveness Mamuya na Mrejesho wa Kwanini Usiku wa Jakaya ni Kitu cha Kujivunia Daima
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH. DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE NA MAENDELEO NCHINI TANZANIA
1. UTANGULIZI
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi12 Feb
TAARIFA YA MSIBA WA DADA YAKE LOVENESS MAMUYA
Watanzania tujumuike na dada yetu Loveness Mamuya, na kuhudhuria msiba wa kifo cha dada yake mpendwa MERCY MAMUYA MTUI kilichotokea leo alfajiri Tanzania. Kwa wakazi wa DMV na vitongoji vyake msiba upo nyumbani kwa Bi Loveness Mamuya. kama ilivyo mila na desturi yetu tunaomba tumfariji katika kipindi hiki kigumu cha majonzi. ADDRESS: 1005 Meandaring way Odeton MD 21113 NAMBA YA SIMU: LOVENESS MAMUYA:240-4230437 AZIZI: 301-768-9195
Mwenyezi mungu amlaze marehemu mahala pema...
11 years ago
Vijimambo
MRATIBU WA CCM MAREKANI LOVENESS MAMUYA AKIMKABIDHI KADI YA UANACHAMA ANDREW SMASHER

11 years ago
VijimamboMRATIBU WA MATAWI YA CCM MAREKANI LOVENESS MAMUYA AZINDUA SHINA JIPYA JIJI LA WASOMI TULSA, OKLAHOMA
10 years ago
Vijimambo
JESSICA MUSHALA, LOVENESS MAMUYA NA CHRIS LUKOSI WAKANUSHA HABARI KUHUSIANA KUTANGAZA VITA BAADA YA KUKOSA UKUU WA WILAYA



Habari iliyoandikwa leo kwenye mtandao wa Jamii Forums na mdau ambaye hakujitambulisha jina na baadae kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ikiwemo SMS na Whatsup iliyobeba kichwa cha habari "Makada wa CCM Diaspora watangaza vita baada ya kukosa ukuu wa Wilaya"
Vijimambo ilibidi uwavutie waya kwa nyakati tofauti wahusika wakuu waliotajwa kwenye habari hoyo kutaka kujua kulikoni na kama habari yenyewe ina ukweli ndani...
10 years ago
Vijimambo21 Sep
KAMPENI ZA CCM ZAPAMBA MOTO,MWIGULU,LOVENESS MAMUYA WASHIRIKI UFUNGUZI WA KAMPENI KISESA-MEATU






10 years ago
GPL
RAIS JAKAYA KIKWETE AMUANDALIA RAIS WA UJERUMANI DHIFA YA KITAIFA YA CHAKULA CHA USIKU, IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete(wa pili kutoka kulia) na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Ujerumani, Joachim Gauck (wa tatu kutoka kulia) wakifurahia wakati wa dhifa ya kitaifa ya chakula cha usiku aliyomwandalia kiongozi  huyo jana usiku, Ikulu jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mke wa Rais wa Tanzania, mama Salma Kikwete na Mke wa Rais wa Ujerumani Bi. Daniella Schadt.…
...
11 years ago
Michuzi
UCHAGUZI DMV: MREJESHO WA KIKAO CHA WAGOMBEA NA BALOZI MULAMULA
Na Liberatus Mwangombe “Libe”
Libe akifuatilia mkutano Ubalozini
10 years ago
Vijimambo
Mrejesho wa kikao cha mashauriano kuhusu Mji mpya Kigamboni


Siku ya Jumapili tarehe 10 Agosti 2014 kilifanyika kikao cha mashauriano kuhusu Mpango Kabambe wa Uendelezaji Mji Mpya wa Kigamboni kilichojumuisha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Prof. Anna Tibaijuka (Mb), Waheshimiwa Madiwani, Maofisa Watendaji Kata, Mbunge wa Kigamboni na wadau wengine. Mhe. Waziri alielezea kuwa lengo la kikao hiki ni pamoja na kutoa elimu kuhusu suala la hisa na kutaka kuwashawishi Madiwani na Mbunge kulikubali suala hili na pia kutoa taarifa ya...
11 years ago
VijimamboUSIKU WA JAKAYA WASHINGON DC
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania