Mrejesho wa kikao cha mashauriano kuhusu Mji mpya Kigamboni
![](http://3.bp.blogspot.com/--MmCO9APEmE/VFugTH5pNLI/AAAAAAADMhI/5j4oxsprK_4/s72-c/FAUSTINE%2BNDUGULILE%2CMbunge%2Bwa%2BKigamboni.jpg)
Siku ya Jumapili tarehe 10 Agosti 2014 kilifanyika kikao cha mashauriano kuhusu Mpango Kabambe wa Uendelezaji Mji Mpya wa Kigamboni kilichojumuisha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Prof. Anna Tibaijuka (Mb), Waheshimiwa Madiwani, Maofisa Watendaji Kata, Mbunge wa Kigamboni na wadau wengine. Mhe. Waziri alielezea kuwa lengo la kikao hiki ni pamoja na kutoa elimu kuhusu suala la hisa na kutaka kuwashawishi Madiwani na Mbunge kulikubali suala hili na pia kutoa taarifa ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMKUTANO KUHUSU UENDELEZAJI WA MJI MPYA WA KIGAMBONI WAFANYIKA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALAIMU NYERERE,JIJINI DAR
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-4_-JMKSHClY/U8tHg7X534I/AAAAAAAAAC4/O8Z443nM_qY/s72-c/Libe+ubalozini.jpg)
UCHAGUZI DMV: MREJESHO WA KIKAO CHA WAGOMBEA NA BALOZI MULAMULA
Libe akifuatilia mkutano Ubalozini
10 years ago
VijimamboMbunge wa jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile Afungua kipya Mji Mwema Kigamboni cha Fursat Dhahabiyya.
10 years ago
Mwananchi15 Feb
Kikao cha tcd, ni kipi mlichokubaliana kuhusu hatima ya Katiba Mpya?
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/dmJaMXHxalk/default.jpg)
10 years ago
Habarileo02 Jun
Mgogoro wa Mji Mpya Kigamboni waisha
HATIMAYE mgogoro wa ardhi uliokuwepo kwa muda mrefu baina ya serikali na wakazi wa Kigamboni, umefikia tamati baada ya serikali kukubaliana na wananchi kuhusu uendelezaji wa ardhi kupitia mpango wa Mji Mpya.
11 years ago
Habarileo27 Mar
CCM kujadili sakata la Mji Mpya Kigamboni
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amewahakikishia wakazi wa Kigamboni, atawasilisha malalamiko yao dhidi ya mradi wa ujenzi wa Mji Mpya wa Kigamboni katika vikao ya juu vya chama hicho ili hatua za haraka zichukuliwe.
10 years ago
Mtanzania02 Jun
Lukuvi amaliza mgogoro mji mpya Kigamboni
Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, ametegua kitendawili kuhusu hatima ya madai ya wananchi katika mradi wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni.
Lukuvi amesema kutokana na hali hiyo kuanzia sasa kila mwananchi mwenye kiwanja au nyumba yake atalazimika kuuza kiwanja chake kwa bei anayoitaka au kujenga nyumba kwa mujibu wa ramani ya mji mpya
Akizungumza na wananchi hao juzi katika mkutano uliofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Kumbukumbu ya...
10 years ago
Mtanzania30 Mar
Lukuvi asimamisha ujenzi mji mpya Kigamboni
Na Grace Shitundu, Dar es Salaam
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, amesitisha kuanza kwa mradi wa mji mpya Kigamboni hadi pale mikataba itakapopitiwa upya.
Pamoja na hali hiyo Lukuvi, amewataka wananchi wa maeneo hayo kutouza ardhi yao kwa sasa.
Ahadi ya hiyo aliitoa jana katika mkutano na wananchi wa Kigamboni baada ya kutokea kutoelewa baina ya aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Profesa Anna Tibaijuka na wananchi kuhusu ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni.
Kutokana na hali...