Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikao cha tcd, ni kipi mlichokubaliana kuhusu hatima ya Katiba Mpya?

Nimeendelea kuyasoma magazeti ya siku ya Ijumaa ambayo yalisheheni maudhui ya kikao cha wadau wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) na Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Wadau wakubwa wa TCD ni vyama vya siasa hasa Chama cha Mapinduzi (CCM), Chama cha Wananchi (CUF), Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Chama cha NCCR-Mageuzi na Chama cha UDP.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mrejesho wa kikao cha mashauriano kuhusu Mji mpya Kigamboni




Siku ya Jumapili tarehe 10 Agosti 2014 kilifanyika kikao cha mashauriano kuhusu Mpango Kabambe wa Uendelezaji Mji Mpya wa Kigamboni kilichojumuisha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Prof. Anna Tibaijuka (Mb), Waheshimiwa Madiwani, Maofisa Watendaji Kata, Mbunge wa Kigamboni na wadau wengine. Mhe. Waziri alielezea kuwa lengo la kikao hiki ni pamoja na kutoa elimu kuhusu suala la hisa na kutaka kuwashawishi Madiwani na Mbunge kulikubali suala hili na pia kutoa taarifa ya...

 

10 years ago

Mwananchi

KATIBA MPYA: Wingu linavyogubika hatima Mchakato wa Katiba Mpya

>Bado hakuna mwafaka kuhusu hatima ya Katiba Mpya, baada ya kuahirishwa kwa upigaji Kura ya Maoni iliyopaswa ifanyike Aprili 30 mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: TCD YATOA TAMKO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA UCHAGUZI MKUU WA 2015

Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Mhe. John Cheyo akitoa tamko kuhusu mchakato wa Katiba na Uchaguzi Mkuu wa 2015 leo 9 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Idara ya Habari Bungeni mjini Dodoma.Picha na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma----------------------------VIONGOZI Wakuu wa Vyama vya siasa vyenye Wabunge vinavyounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wamekuwa katika mashauriano ya zaidi ya mwezi mmoja tangu tarehe 2 Agosti mwaka huu huku wakishauriana juu ya mwenendo wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda: Uchaguzi unasubiri hatima ya Katiba Mpya

Waziri Mkuu amesema maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa yameanza lakini kikwazo ni msimamo wa Ukawa katika kupata Katiba Mpya kwa wakati uliopangwa.

 

10 years ago

Vijimambo

MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA

Dar es Salaam, Oktoba 16, 2014
UTANGULIZI
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana katika kikao chake cha kawaida na kujadili, pamoja na mambo mengine, mchakato wa Katiba Mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbali mbali wakati wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na marekebisho yake na, baadaye, Sheria ya Kura ya Maoni.
Aidha, Kamati Kuu imepata taarifa ya mchakato ulivyokuwa katika hatua ya kuundwa kwa Tume...

 

10 years ago

Bongo5

Video Teaser: Kionjo cha video mpya ya Professor Jay ‘Kipi Sijasikia’ (HD)

Joseph Haule aka Professor Jay yuko mbioni kuachia video ya single yake ‘Kipi Sijaskia’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz. Hiki ni kionjo cha video hiyo ambayo imeongozwa na Adam Juma wa Visual Lab: Next Level.

 

11 years ago

GPL

KUHUSU KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHADEMA KESHO

Kutokana na maswali kutoka kwa wanahabari wa vyumba mbalimbali vya habari juu ya agenda za kikao cha Kamati Kuu kesho, Chama kimetoa kauli ifuatayo; Ni kweli kutakuwa na mkutano maalum wa Kamati Kuu ya chama kesho tarehe 3 Januari 2014 Jijini Dar Es Salaam. Ajenda kuu katika mkutano huo ni tatu; Mosi: Kupokea taarifa kuhusu mchakato na maudhui ya mabadiliko ya katiba
Kamati Kuu itapokea taarifa juu ya kupitishwa kwa marekebisho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani